Pre GE2025 Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naona kaona apumzike tu kabla ya kipenga na kuanza kula ugali vijijini tena
Wapeni vijana kazi za hivyo
Wazee wale bata tu sasa wasubiri kipenga cha Ahera
 
Hilo zee linaenda kujipanga na safu yake ya kina mwanzo wa mwaka.!!
Mbona patachimbika shosti.!!
Brii anasemaje? 😹

CCM inameguka vipande vipande kuelekea 2025 ?

Chama kipya kuundwa kama cha Mzee Zuma wa South Afrika kutoa changamoto kwa chama dola tawala ?

Mzee Jacob Zuma wa ANC amesababisha hadi serikali ya Umoja wa Kitaifa kuundwa South Africa
SOMA ZAIDI :

 
Safi sana,lazima wapukutishwe wote 😂😂
 
Kwanza hakuna mtu aliyejiuzulu hapo. Wameona wasimudhalilishe wakamwomba ajiuzulu tu ila nafikiri mipango ilikuwa hot sana ngoja tuendelee kumsoma Britt huenda tukapata mengi zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…