Pre GE2025 Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

Pre GE2025 Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
kulazimisha wazee waendelee kukaa madarakani wakati vijana kibao wapo nje na ajira hakuna ni wendawazimu....haya sasa mzee mwenyewe ameamua kutumia akili kubwa kukukumbusha. Ung'ang'anizi wa kijinga tu....tunahitaji kila nafasi wawepo vijana ..ukistaafu ukapumzike hakuna kuongezea muda watu waliostaafu..hata walioko nje wanahitaji wafanye hizo kazi nao wazitumikie kabla hawajafikwa na umauti...nawapongeza wazee wote wanaokataa kurudi kwenye nafasi wakati umri wao umekwenda...wabarikiwe sana ktk maisha yao yaliyobakia duniani
 
20240729_202035.jpg
 
Option pekee ni Kikwete kumbeba Samia. Option ya Samia kwenda solo ni ngumu kwake, hana uwezo mkubwa kivile. Miaka yote yupoyupo tu. Atakuwa kama Joyce Banda
Mnamkuza sana Kikwete ilhali ni mwepesi kuliko karatasi! Kikwete na mtandao wake ulimalizwa haraka sana na Magufuli akabaki hoi bin taabani.

Mtandao pekee ambao haukufa na Magufuli aliamua kusalimu amri kwao na kuungana nao ni Lowassa na Rostam Aziz ambao kijana wao mtiifu na mpendwa ndo huyo Nchimbi kwa sasa!

Huyo JK hana lolote mnalotaka kuaminisha watu zaidi ya mvizia fadhila tuu.
 
Hii siyo mara ya kwanza Komredi Kinana Kujiuzulu.

Alishajiuzulu wakati wa Magufuli lakini akarejea tena kwa Cheo kikubwa zaidi zama hizi za Mpendwa Wetu Mwenyekiti Mh Dr Samia

Sasa Amejiuzulu na anaweza kurejea tena au Ndio anastaafu kama Mzee Tingatinga? 😃

Mlale Unono 😀😀
Wakati wa Magufuli baada ya Nape kutenguliwa na kunyooshewa bastola Kinana alipanga kwenda Lumumba kutangaza kujiuzulu lakini Jiwe hakutaka kwasababu aliona ni dharau. Akatuma wanausalama wazingire nyumba yake oysterbay asitoke na huku Jiwe anadanganya kamtuma kutibiwa india
 
Back
Top Bottom