Pre GE2025 Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwizi wa taifa kaondoka na watoto wake yaani hapa ndipo tunapata picha kuwa hawa watu ni hatari sana Kwa watanzania wote na hata kifo cha Yule Mzee jiwe kimetokana na hawa jamaa.

Hawa watu ni shida Sana wakiongozwa na Mzee wa msoga
 
Mnamkuza sana Kikwete ilhali ni mwepesi kuliko karatasi! Kikwete na mtandao wake ulimalizwa haraka sana na Magufuli akabaki hoi bin taabani.

Mtandao pekee ambao haukufa na Magufuli aliamua kusalimu amri kwao na kuungana nao ni Lowassa na Rostam Aziz ambao kijana wao mtiifu na mpendwa ndo huyo Nchimbi kwa sasa!

Huyo JK hana lolote mnalotaka kuaminisha watu zaidi ya mvizia fadhila tuu.
Sasa aliyesambaratika ni nani hapo kati ya JK na Jiwe?😀
 
View attachment 3056347
Abdulrahman Kinana

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye amemwandikia barua ya kuomba kupumzika.

Katika majibu yake Mwenyekiti wa CCM amesema "Ni kweli nilipokuomba utusaidie kwa nafasi ya Makamu Mwenyekiti nilikuahidi utakaa muda mfupi kama ulivyoomba, na kwa kweli nilipenda uendelee kutusaidia lakini kwa kuwa umeomba sana na ahadi ni deni nalazimika kwa moyo mzito kuridhia kujiuzulu kwako".

Pia Mwenyekiti wa CCM amesisitiza kuwa Chama kitaendelea kutumia uzoefu na maarifa ya Ndugu Kinana kila vitakapohitajika.

Chama Cha Mapinduzi kinamshukuru Ndugu Abdulrahman Kinana kwa mchango wake mkubwa kwa Chama chetu.

PIA SOMA
- Matokeo CCM: Abdul Kinana Makamu Mwenyekiti Bara, Hussein Mwinyi Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti Taifa

Hii nchi ilishaanza kuwa ya makamisaa wa jeshi na watoto wao. Kikwete, kinana, makamba na Nauye
 
Attachments

  • 24c7d56a-4f15-41b2-acf4-541ed1b642c9.jpeg
    24c7d56a-4f15-41b2-acf4-541ed1b642c9.jpeg
    138.2 KB · Views: 2
Kwanini siasa ni sayansi?

Kwasababu inahusisha ukusanyaji wa taarifa,uchakataji....na....

.' .divide and rule system.
 
Back
Top Bottom