ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Inatakiwa iwe hivyo Kwakweli 😅Na Mama lazima atapiga 15 ndanii ya white house, 5 ya JPM na 10 za Kwake officially! Tukutane 2035 ndiyo anaachia!!
Lakini ngoja tuone hii movie 😳🤠
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inatakiwa iwe hivyo Kwakweli 😅Na Mama lazima atapiga 15 ndanii ya white house, 5 ya JPM na 10 za Kwake officially! Tukutane 2035 ndiyo anaachia!!
Uwizi sio. ??!!😳Bila shaka ni yale ya kuhesabu na baadae kumwomba Mungu Msamaha.
Pale bado alikuwepo hai Strong man Che Nkapa !Yanii kama Lowasa alikatwaa trust me kuna kitu kitatokeaaa..
Kila alipo nape naye yupo kapumzike vice chairman kazi umeifanya kwa moyo safi!View attachment 3056347
Abdulrahman Kinana
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye amemwandikia barua ya kuomba kupumzika.
Katika majibu yake Mwenyekiti wa CCM amesema "Ni kweli nilipokuomba utusaidie kwa nafasi ya Makamu Mwenyekiti nilikuahidi utakaa muda mfupi kama ulivyoomba, na kwa kweli nilipenda uendelee kutusaidia lakini kwa kuwa umeomba sana na ahadi ni deni nalazimika kwa moyo mzito kuridhia kujiuzulu kwako".
Pia Mwenyekiti wa CCM amesisitiza kuwa Chama kitaendelea kutumia uzoefu na maarifa ya Ndugu Kinana kila vitakapohitajika.
Chama Cha Mapinduzi kinamshukuru Ndugu Abdulrahman Kinana kwa mchango wake mkubwa kwa Chama chetu.
PIA SOMA
- Matokeo CCM: Abdul Kinana Makamu Mwenyekiti Bara, Hussein Mwinyi Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti Taifa
Asipokuwa Jasiri, yatamshinda.Hakuna issue yoyote mama kashawashika pabaya safarii hawachomoki Tena hao ndio kwisha habari yao.
Yaani wazenji mumeanza kuwabagua katika kiti cha URAIS. ???!!Watanganyika tusimamie hapa. asirudi, akirudi tutauzwa wote dubai
Au ni danganya toto !Tabiri nyingi sana zimetoka zikiongea mpasuko mkubwa ndani ya kijani yajayo yanafurahisha sanaa
Akirudi it means alichosema Nape huko Kagera kimebarikiwa na wakubwa 🙌👍🙏Baada ya utenguzi nilishajua chama kinajipanga kwa uchaguz 2025 nape anarudi kwenye chama swala la muda tu
Baba yake Nape (×) , na baba wa kufikia Brigedia Moses Nahuye.View attachment 3056347
Abdulrahman Kinana
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye amemwandikia barua ya kuomba kupumzika.
Katika majibu yake Mwenyekiti wa CCM amesema "Ni kweli nilipokuomba utusaidie kwa nafasi ya Makamu Mwenyekiti nilikuahidi utakaa muda mfupi kama ulivyoomba, na kwa kweli nilipenda uendelee kutusaidia lakini kwa kuwa umeomba sana na ahadi ni deni nalazimika kwa moyo mzito kuridhia kujiuzulu kwako".
Pia Mwenyekiti wa CCM amesisitiza kuwa Chama kitaendelea kutumia uzoefu na maarifa ya Ndugu Kinana kila vitakapohitajika.
Chama Cha Mapinduzi kinamshukuru Ndugu Abdulrahman Kinana kwa mchango wake mkubwa kwa Chama chetu.
PIA SOMA
- Matokeo CCM: Abdul Kinana Makamu Mwenyekiti Bara, Hussein Mwinyi Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti Taifa
Na Kiyahudi kitabidi kifundishwe maana Waarabu na Wayahudi wanaishi pamoja huko Middle East 😳👍🙌Itaweka mkazo kufundisha Arabic mashuleni😎
Mbuga zetu zitaponaView attachment 3056347
Abdulrahman Kinana
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye amemwandikia barua ya kuomba kupumzika.
Katika majibu yake Mwenyekiti wa CCM amesema "Ni kweli nilipokuomba utusaidie kwa nafasi ya Makamu Mwenyekiti nilikuahidi utakaa muda mfupi kama ulivyoomba, na kwa kweli nilipenda uendelee kutusaidia lakini kwa kuwa umeomba sana na ahadi ni deni nalazimika kwa moyo mzito kuridhia kujiuzulu kwako".
Pia Mwenyekiti wa CCM amesisitiza kuwa Chama kitaendelea kutumia uzoefu na maarifa ya Ndugu Kinana kila vitakapohitajika.
Chama Cha Mapinduzi kinamshukuru Ndugu Abdulrahman Kinana kwa mchango wake mkubwa kwa Chama chetu.
PIA SOMA
- Matokeo CCM: Abdul Kinana Makamu Mwenyekiti Bara, Hussein Mwinyi Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti Taifa
Na Mama lazima atapiga 15 ndanii ya white house, 5 ya JPM na 10 za Kwake official
Soma katiba ya Tanzania ndio u commentNa Mama lazima atapiga 15 ndanii ya white house, 5 ya JPM na 10 za Kwake officially! Tukutane 2035 ndiyo anaachia!!
Makamu mwenyekiti ajae anakuwa mzanzibariHii si bure bali kuna jambo.
Huenda ule utenguzi wa wale jamaa unahusika.
CCM kimwili wako pamoja, ila kiroho wana makundi tena yanayotafunana kuelekea 2025.
Uzanzibari na uzanzibara ni petrol katika moto unaofukuta.
Wanamchekea Bi. Mkubwa ila sidhani kama wanampenda na wanapenda 2025 arudi ofisini.
Kwa madaraka makubwa ya kikatiba na yale ya ndani ya chama, akikomaa atavuka, ila watu wanaweza ku-defect dakika za mwisho na kumuweka katika mazingira magumu unless akumbatie kundi linalotajwa kumpinga na kutaka kiti chake.
Amkumbatie sana JK walau anaeweza kumsaidia kutuliza hali ya mtambo iwapo yatatokea ya kutokea.
Jinsia nayo ni tatizo lingine, na ukiongeza na tuhuma za kutapanya maliasili za watanganyika, naiona hatari kubwa sana mbele yake.
Muda utaongea.
Iwe Mwenyekiti taif toka znzMakamu mwenyekiti ajae anakuwa mzanzibari
Muda ushaongeaHii si bure bali kuna jambo.
Huenda ule utenguzi wa wale jamaa unahusika.
CCM kimwili wako pamoja, ila kiroho wana makundi tena yanayotafunana kuelekea 2025.
Uzanzibari na uzanzibara ni petrol katika moto unaofukuta.
Wanamchekea Bi. Mkubwa ila sidhani kama wanampenda na wanapenda 2025 arudi ofisini.
Kwa madaraka makubwa ya kikatiba na yale ya ndani ya chama, akikomaa atavuka, ila watu wanaweza ku-defect dakika za mwisho na kumuweka katika mazingira magumu unless akumbatie kundi linalotajwa kumpinga na kutaka kiti chake.
Amkumbatie sana JK walau anaeweza kumsaidia kutuliza hali ya mtambo iwapo yatatokea ya kutokea.
Jinsia nayo ni tatizo lingine, na ukiongeza na tuhuma za kutapanya maliasili za watanganyika, naiona hatari kubwa sana mbele yake.
Muda utaongea.
Kwani wanahusiana vipi?Usikute DP World wamebana, naye aka susa.
Tulime sisi, mfaidi nyie, bora tukose wote.