Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
hebu mkuu jiulize tena,abraham alitokea iraq,tunaeza sema alikuwa mwarabu yeye na mkewe,Mkuu tumia common sense hizo races zote lazima ziwe na distinct tofauti au unaweza eleza kisayansi mwafrika natokanaje na mzungu au mzungu anatokaje kwa mwafrika kama source yetu ni adam na eve tu.
nyumba ndogo alikuwa mmisri,akamzaa ishmael kwa mama wa kimisri,
pia akamzaa isaka kwa mama wa kiarabu yaani sara.
Halafu sasa huyu isaka akamzaa yakobo,
ambaye baadae akaitwa israel,
kumbuka yakobo hakuoa mke wa pale caanan,alirudi paran ama iraq ya leo kuchukua mke wa kiarabu,maana yake ni kuwa watoto wa yakobo ni pure arab kuliko watoto wa ismael.
Sasa swali israel na ishmael ni ndugu,
japo israel ni jina kapewa ukubwani,ni kwa jinsi gani hilo jina la ukubwani lilibadirisha DNA configuration za yakobo zikawa za kiisrael?.
Hivi jina la kupewa linaweza kubadili ukawa race tofauti na ya baba yako au babu yako?.
Ndo hapa unaona kuna uongo mwingi mno umepita hapa kati,haiwezi ukawa mnyantuzu halafu ukapewa jina tuseme mrema na ghafla Dna zibadirike kuwa za kimachame