ShyaRuwa
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 7,895
- 13,643
.....uliojaa ukatili uongo na ujinga wa kutosha?Acha tantalila ka wajua majibu si useme,kwanini utuchoshe tukasome mkitabu wa kiarabu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.....uliojaa ukatili uongo na ujinga wa kutosha?Acha tantalila ka wajua majibu si useme,kwanini utuchoshe tukasome mkitabu wa kiarabu.
Hilo nalo neno mkuu,but vitabu vyadini hua vinaongelea homo sapiens tu since the beginning of the earth.Kwanza walikuwa Homo sapiens, Homo Erectus au Neanderthals? [emoji848]
Nimesema kichwa sababu kichwa bila kichwa siwi mimi yaani nimekuonyesha thamani ya kichwa na wewe kutoweza kuthibitisha kutokuwepo kwake.Kichwa chako nikipeleke wapi?
Mmezoea kuchinja watu kama hao Boko haram na ISIS?
Ndio hivyo mlivyoagizwa?
Thibitisha kwanza kama Allah yupo.....je umewahi kumuona, kumsikia, kumhisi?....unaabuduje kitu usichokuwa na uhakika juu ya uwepo wake?
Kashalika Allah si kitu wala hawi kitu Allah ni muumba na mwenye kupaswa kuabudiwa.Kichwa chako nikipeleke wapi?
Mmezoea kuchinja watu kama hao Boko haram na ISIS?
Ndio hivyo mlivyoagizwa?
Thibitisha kwanza kama Allah yupo.....je umewahi kumuona, kumsikia, kumhisi?....unaabuduje kitu usichokuwa na uhakika juu ya uwepo wake?
Halafu sijakwambia sina uhakika wa uwepo wake.Nina uhakika wa uwepo wake ndio maana namuabudu.Kichwa chako nikipeleke wapi?
Mmezoea kuchinja watu kama hao Boko haram na ISIS?
Ndio hivyo mlivyoagizwa?
Thibitisha kwanza kama Allah yupo.....je umewahi kumuona, kumsikia, kumhisi?....unaabuduje kitu usichokuwa na uhakika juu ya uwepo wake?
Hilo nalo neno mkuu,but vitabu vyadini hua vinaongelea homo sapiens tu since the beginning of the earth.
Hapo ndipo uwongo wa bible unavyojidhihirishaBinadamu wa kwanza kuumbwa Na Mungu ni Adam Na Hawa.Watoto waliowazaa ni Abel Na Kaini.Abeli Na Kaini walioa je Wake zao ni kizazi cha nani?
Blasphemy!Binadamu wa kwanza kuumbwa Na Mungu ni Adam Na Hawa.Watoto waliowazaa ni Abel Na Kaini.Abeli Na Kaini walioa je Wake zao ni kizazi cha nani?
Kwanini sasa hivi hapanaZaman watu walikuwa wanaowana ndugu kwa ndugu
Hivi wajua maana ya kuanza na neno LABDA??Sasa kama hufahamu mbona umesema? Umedanganya au??
Umechemka kutetaa hoja yakoSwali jepesi sana.iko hivi
Adam na hawa hawakuwa watu halisi kama tulivyo mimi na wewe bali yalikuwa ni majina ambayo yalitumika kuwakilisha makundi ya watu.so Adam alikuwa anawakilisha wanaume na hawa alikuwa anawakilisha wanawake.lengo la kitabu cha mwanzo ni kuonyesha historia ya binadamu so isingewezekana kuzungumziwa namna kila mtu alivyopatikana so yakachaguliwa majina mawili ili yawe vielelezo au kuwakilisha makundi hayo ya watu.ukisoma vizuri kitabu chenyewe kinajieleza mfano habari ya nyoka kuongea unaona kabisa kwamba No kitu ambacho hakileti maana.so mwandishi wa kitabu kile alitumia majina ya adamu na hawa kwa maana hizo.mfano mzuri ni hadithi za sungura na fisi ambazo hutumia majina hayo kuwakilisha watu halisi.
kuna uwezekano wa kuwa na pair nyingi za combination lakini kwa namna yoyote haiwezi kuwa watu wawiliZinatoka kwa watu wangapi ?
Weka basi hata vesrse kidogo from Biblia au Quraan ku support hili jibuAbel alimuoa pacha wa Kaini na Kaini alitakiwa amuoe pacha wa Abel ndipo Kaini akakataa kwani pacha wake alikuwa mzuri sana kuliko pacha wa Abel.Baada ya mzozo Adam akapewa maelekezo na Mwenyezi Mungu waandae sadaka na yayule itakayochukuliwa atakuwa imekubaliwa.Sadaka ya Abel ilikubaliwa na Kaini alikasirishwa sana na kuahidi lazima atamwangamiza Abel.Kaini alipewa mbinu na Shetani ya kumuua Abel na akamuua.Abeli akawa ndiyo mtu wa kwanza kuuwawa na Kaini akawa mtu wa kwanza kua.
Mfano...kuna uwezekano wa kuwa na pair nyingi za combination lakini kwa namna yoyote haiwezi kuwa watu wawili