Abel na Kaini (kizazi cha Adamu na Hawa); Je, wake zao ni kizazi cha nani?

Abel na Kaini (kizazi cha Adamu na Hawa); Je, wake zao ni kizazi cha nani?

Hivyo vitu vimeandikwa na binadamu tu, chuki ya majina ndio maana kwa Dunia ya leo wazazi hawataki kuwapa watoto wao jina la kaini
 
Dini zinachanganya akili zetu. Mungu yupo lakini sijui yupo dini gani ? Na Kama hana dini hizi dini zetu na mathehebu tofauti wapi pako sahihi ?
Usahihi upo moyoni mwako,dini ya kweli unaweza ifanya wewe mwenyewe,mabaya unayajua na mazuri unayajua
 
Binadamu wa kwanza kuumbwa Na Mungu ni Adam Na Hawa.Watoto waliowazaa ni Abel Na Kaini.Abeli Na Kaini walioa je Wake zao ni kizazi cha nani?
Ukiwa msom mzur wa biblia na vitamin vingine vya dini msahafu utapata Jibu law swali lako,kwa kifupi zaman enzi hizo watoto wakiume ndo walikuwa wanahesabika xo Adam alikuwa na watoto wengi sio tuuu Cain na Azeri,pia jingine law kuniambia ni Kuwa vitabu vya dini haviwez kuandika kila kitu xo hiyo ya Cain na Abel ilikuwa Iwapo ili tujifunze kupitia hilo haina maaana kuwa walikuwa haoooo tuuuuuuuuu ......soma elewa
 
Umetumia kigezo gani kujibu hivo?
 
Ndio ubaya wa story za kutunga....mara nyingi zinaishia hewani pasipo na majibu ya maswali yatakayo ibuka....kama Mungu ndiye aliyeumba watu basi angeumba wanawake na wanaume wakutosha ili wasizalishane ndugu kwa ndugu.....na kama aliruhusu ndugu kuzaliana, kwa nini akataze sasa hivi???
Kabisaaaa ,leo hii kwenye biblia wanakwambia alaaniwe yy alalae na umbu lake,inashangaza sana na kiukweli biblia ni ngumu sana kuielewa
 
Nilianzisha uzi unaohusu chimbuka hili ulifutwa na mods, ilaAbel aliuawa na ndugu yake Kaini, halafu baada ya kaini kulaaniwa kwa kitendo cha kumuua ndugu yake akakimbilia "nchi" ya Nodi akaoa huko na hapo ndipo unapozuka utata kuhusu binadamu wa kwanza kuwa ni Adamu au walikuwapo binadamu wengine.
 
Mimi nilisikiaga kuwa walitembeaga na mama yao.. (Ila cjawah kuprove) na wala Bible haijawah kupinga
 
Binadamu wa kwanza kuumbwa Na Mungu ni Adam Na Hawa.Watoto waliowazaa ni Abel Na Kaini.Abeli Na Kaini walioa je Wake zao ni kizazi cha nani?

Katika biblia na maandiko yako..yalikuwa hayamzungumzii mwanamke kama mtu...na kama akizungumziwa basi...lazima kuwe kuna umuhimu mkubwa sana na kitu cha msingi alichokifanya...
 
Kabisaaaa ,leo hii kwenye biblia wanakwambia alaaniwe yy alalae na umbu lake,inashangaza sana na kiukweli biblia ni ngumu sana kuielewa
Bible ni story za kutunga... Zimeandikwa na watu wa kale,pia imesheheni hadithi zenye uhalisia zinazohusu maisha..... Kwa Sasa inaonekana ngumu kueleweka sababu watu wanaishi kwa logic ili hali Bible haina logic.

Mf.kiuhalisia inawezekana kweli kuamini watu wote duniani wametokana na Baba na Mama mmoja miaka 6000 tu, iliyopita? Vitabu vyote vya dini vimejaa dhahania zisizo na mantiki.Ndio maana hawataki uhoji na ukihoji watakuambia unakufuru sababu wanajua dini na vitabu vyake ni kamba ya kufunga vikra za watu ili watawalike kirahisi. Dini hazisemi kweli.
 
Kwani Lutu baada ya mkewe kugeuzwa jiwe la chumvi na akabaki na binti zake wawili biblia inatuambia nini? biblia inasema Lutu alilala na binti zake,na wakazaliana sasa mnashangaa nini mtu kumuoa dada yake wakati Lutu alilala na binti zake wakitoka sodoma.
 
Sasa kwa nini hawa wakina Adam na Eva wengi walipozaa anatokea Abel mmoja tu au kaini mmoja tu?! Kwa nini wasitokee kina abel wengi ?!

Adam na Hawa walizaa uzao 20, na kila uzao walizaa pacha wakike na wakiume. Hivyo Adam na Hawa walipata jumla ya watoto 40. Na katika kuoana walikuwa hawaoani uzao mmoja, yaani pacha wakiolala tumbo moja hawakuoana. Adam alikuwa akiwaozesha kwa kucross uzao.

Hawa tunaowajua ni watoto wa Adam wenye impact. Wengine waliishi maisha ya kawaida ya wakati huo na kuendelea kuzaana kutafuta makazi/ territory. Ni kama mimi na wewe ambavyo hatutakua kwenye historia lkn Max na JF au Magufuli watasomwa vizazi na vizazi.
 
me nawaangalieni...[emoji19] [emoji19] ...tuu.. manavyoandaa matango pori mtulishe...
 
Kwani Lutu baada ya mkewe kugeuzwa jiwe la chumvi na akabaki na binti zake wawili biblia inatuambia nini? biblia inasema Lutu alilala na binti zake,na wakazaliana sasa mnashangaa nini mtu kumuoa dada yake wakati Lutu alilala na binti zake wakitoka sodoma.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ......!!!!!!........
 
Mkuu masikhara hayo maandishi yenyewe yamepiga sarakasi tutajulia wapi sisi wa upa ade wa pili we lete ufafanuzi hapa.
vipo ambavyo vimetafsiriwa kwa lugha ya kiswahili mkuu.....juzuu zote 30 na sura zake zote 114.....hakuna kilichobakishwa humo ktk ulimwengu tuliomo......
 
Adam na hawa walisimama kwa niaba haina maana kwamba kulikuwa hakuna watu wengine.
 
Back
Top Bottom