Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usahihi upo moyoni mwako,dini ya kweli unaweza ifanya wewe mwenyewe,mabaya unayajua na mazuri unayajuaDini zinachanganya akili zetu. Mungu yupo lakini sijui yupo dini gani ? Na Kama hana dini hizi dini zetu na mathehebu tofauti wapi pako sahihi ?
Ukiwa msom mzur wa biblia na vitamin vingine vya dini msahafu utapata Jibu law swali lako,kwa kifupi zaman enzi hizo watoto wakiume ndo walikuwa wanahesabika xo Adam alikuwa na watoto wengi sio tuuu Cain na Azeri,pia jingine law kuniambia ni Kuwa vitabu vya dini haviwez kuandika kila kitu xo hiyo ya Cain na Abel ilikuwa Iwapo ili tujifunze kupitia hilo haina maaana kuwa walikuwa haoooo tuuuuuuuuu ......soma elewaBinadamu wa kwanza kuumbwa Na Mungu ni Adam Na Hawa.Watoto waliowazaa ni Abel Na Kaini.Abeli Na Kaini walioa je Wake zao ni kizazi cha nani?
Kwa andiko gani?Zaman watu walikuwa wanaowana ndugu kwa ndugu
Umetumia kigezo gani kujibu hivo?Ukiwa msom mzur wa biblia na vitamin vingine vya dini msahafu utapata Jibu law swali lako,kwa kifupi zaman enzi hizo watoto wakiume ndo walikuwa wanahesabika xo Adam alikuwa na watoto wengi sio tuuu Cain na Azeri,pia jingine law kuniambia ni Kuwa vitabu vya dini haviwez kuandika kila kitu xo hiyo ya Cain na Abel ilikuwa Iwapo ili tujifunze kupitia hilo haina maaana kuwa walikuwa haoooo tuuuuuuuuu ......soma elewa
Kabisaaaa ,leo hii kwenye biblia wanakwambia alaaniwe yy alalae na umbu lake,inashangaza sana na kiukweli biblia ni ngumu sana kuielewaNdio ubaya wa story za kutunga....mara nyingi zinaishia hewani pasipo na majibu ya maswali yatakayo ibuka....kama Mungu ndiye aliyeumba watu basi angeumba wanawake na wanaume wakutosha ili wasizalishane ndugu kwa ndugu.....na kama aliruhusu ndugu kuzaliana, kwa nini akataze sasa hivi???
Binadamu wa kwanza kuumbwa Na Mungu ni Adam Na Hawa.Watoto waliowazaa ni Abel Na Kaini.Abeli Na Kaini walioa je Wake zao ni kizazi cha nani?
Binadamu wa kwanza kuumbwa Na Mungu ni Adam Na Hawa.Watoto waliowazaa ni Abel Na Kaini.Abeli Na Kaini walioa je Wake zao ni kizazi cha nani?
Lea msaada tuuu soma Genesis 2:10-14Umetumia kigezo gani kujibu hivo?
Bible ni story za kutunga... Zimeandikwa na watu wa kale,pia imesheheni hadithi zenye uhalisia zinazohusu maisha..... Kwa Sasa inaonekana ngumu kueleweka sababu watu wanaishi kwa logic ili hali Bible haina logic.Kabisaaaa ,leo hii kwenye biblia wanakwambia alaaniwe yy alalae na umbu lake,inashangaza sana na kiukweli biblia ni ngumu sana kuielewa
Mkuu masikhara hayo maandishi yenyewe yamepiga sarakasi tutajulia wapi sisi wa upa ade wa pili we lete ufafanuzi hapa.Someni Quran mtapata majibu ya maswali yenu
Sasa kwa nini hawa wakina Adam na Eva wengi walipozaa anatokea Abel mmoja tu au kaini mmoja tu?! Kwa nini wasitokee kina abel wengi ?!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ......!!!!!!........Kwani Lutu baada ya mkewe kugeuzwa jiwe la chumvi na akabaki na binti zake wawili biblia inatuambia nini? biblia inasema Lutu alilala na binti zake,na wakazaliana sasa mnashangaa nini mtu kumuoa dada yake wakati Lutu alilala na binti zake wakitoka sodoma.
vipo ambavyo vimetafsiriwa kwa lugha ya kiswahili mkuu.....juzuu zote 30 na sura zake zote 114.....hakuna kilichobakishwa humo ktk ulimwengu tuliomo......Mkuu masikhara hayo maandishi yenyewe yamepiga sarakasi tutajulia wapi sisi wa upa ade wa pili we lete ufafanuzi hapa.