TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

nipo kwenye daradara maeneo ya mwenge nasikia watu wakionge kuwa mr ebo kafariki nauliza kulikoni naona kama hawana data za kutosha naachana nao,je ni kweli jamaa hatunaye?
 
R.I.P NA Vengu naye ianadaiwa amefariki
 
Angalia kwenye michuzi blog. Inaonekana ni kweli. RIP "Mi Mmasai Bwana"
 
Back
Top Bottom