TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

nipo kwenye daradara maeneo ya mwenge nasikia watu wakionge kuwa mr ebo kafariki nauliza kulikoni naona kama hawana data za kutosha naachana nao,je ni kweli jamaa hatunaye?
 
R.I.P NA Vengu naye ianadaiwa amefariki
 
R.I.P Ebbo ulikuwa mfano wa kuigwa na wasanii wenzako wa hapa Bongo land
 
Angalia kwenye michuzi blog. Inaonekana ni kweli. RIP "Mi Mmasai Bwana"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…