Maishamapya
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 1,279
- 375
RIP Ebo. Huo muda mrefu alikuwa anaumwa nini? Sijamsikia kwnye stage siku nyingi sana. Mwenyezi alaze roho yake pema poponi AMEN.
Acha UJINGA wewe! una any USHAHIDI. hata kama amekufa kwa Ugonjwa huo, Tumekuuliza.Naona amekufa siku moja baada ya kusherehekea siku ya ugonjwa uliomuua!