TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

Bora angekufa Afande Sele.
Kabisa tu(Ingawa ni dhambi kumuhukumu mtu)....Mtu gani full kigeu geu. yeye mwenyewe Kaimba kwa Anti Virus then siku ya tamasha lao yeye kaenda kwa wana MAGAMBA!kwa dau la one Million tu.
 
Bora angekufa Afande Sele.
"Bwana Ametoa Bwana Ametwaa,Jina la Bwana Lihimidiwe" Amen.

What a sad day.Jana nilipewa offer ya lunch na jamaa yangu.Kwa mara ya kwanza maishani nikala "KAMONGO"moja kwa moja nikamkumbuka jamaa na wimbo wake wa kamongo.Kumbe ndio alikua ananiachia kumbukumbu.
R.I.P Mr Ebbo,tutakukumbuka daima."Ningependa watu waongezeke kariakoo mnisameheee......Itakua New York"
 
kwa wale ambao bado hamja amini ni kweli Mr Eboo amefariki dunia. Arusha mita ya usa alipokuwa anatibiwa.kutoka kwa ndugu yake wa karibu sana. Media za Tanzani ni za ajabu sana alikufa Michael Jackson kila siku zikawa zinapigwa nyimbo zake na majonzi kibao hadi kumtengenezea shoo.lakini kafariki msani wa hapa kwetu habari zake zimechukulwa juu tu.hakuna hata media mmoja ilyo piga nyimbo yake zaid ya mara 3. jamani hatuwatendei haki wasani wetu tuwathamini.mna wathamini wa nje utafkiri wananaona mchango wenu. Change bana Tz media
 
Kwa kweli ameugua muda mrefu na nilipata bahati ya kumwona.
Alifariki jana usiku na maiti yake imehifadhiwa Mount Meru Hospital.
 
Mungu amempenda zaidi, Poleni ndugu, jamaa, marafiki na mashabiki wote wa Mr. Ebbo.
 
Dah aisee inasikitisha sana,huyu jamaa amefariki! Dah R.I.P MR ebbo you will always live in my heart brazah dah tumepoteza bonge la ICON
 
Back
Top Bottom