stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 18,094
- 27,978
Erythrocyte,
Nadhani watakuwa wamekusikia,na hii si tu kwa mabasi ya huko,hata ruti nyinine za mikoa mingine utaratibu ni huo,sasa sijui huwa unapangwa na madereva wenyewe,kampuni au ni Organisation ya wamiliki wa mabasi?