Hii ni kweli?Panda kilimanjaro anatoa dk 30 mpka 45 hadi watu wanaenda kuoga kabisa
Watoa huduma hii ni Wapuuzi sana.Lakn mkuu nilichoona njia ya nyanda za juu kusini ina hotel 2 nzur ambazo n Al Jazeera na pale comfort kitonga Kama kuna nyingine bas n vijihoteli tu ombi langu kuhusu muda uongezwe tu Dk10 chache sana kwa abiria mtu aende maliwaton + chakula kweli hautoshi
Mabasi ya Kilimanjaro ya njia ya Mbeya/Tunduma ni mabayaaaaa...... sio kama yale ya njia ya Arusha; Mabaya mabaya tuu yaani,yamechoka kuanzia ndani hadi nje; Na pia ya njia ya Tunduma/Mbeya yanasifika kwa kukimbia na kuwahi kufika kwa njia hiyo; huwa yanashindana na Sauli na New Force kuwahi kufika Mbeya/Tunduma; kwa hiyo wala hawatoi zile huduma executive like kutoa dakika 30-45 za kula kwa njia hiyo, maana akifanya hivyo, Sauli na New Force watampiga gap la kutosha kuwahi kufika.Hii ni kweli?
Tatizo mabasi yao yale huwa siyapendi.
Mabasi ya Kilimanjaro ya njia ya Mbeya/Tunduma ni mabayaaaaa...... sio kama yale ya njia ya Arusha; Mabaya mabaya tuu yaani,yamechoka kuanzia ndani hadi nje; Na pia ya njia ya Tunduma/Mbeya yanasifika kwa kukimbia na kuwahi kufika kwa njia hiyo; huwa yanashindana na Sauli na New Force kuwahi kufika Mbeya/Tunduma; kwa hiyo wala hawatoi zile huduma executive like kutoa dakika 30-45 za kula kwa njia hiyo, maana akifanya hivyo, Sauli na New Force watampiga gap la kutosha kuwahi kufika. Hazard CFCPanda kilimanjaro anatoa dk 30 mpka 45 hadi watu wanaenda kuoga kabisa
Ungekaa na mtu ambaye husafiri kwakutumia usafiri wa mabasi akuelekeze,hapo imetumika tafsida mkuu,pole kwakutoweza kumuelewa mleta mada,ukianza kuelewa tafsida utajua makosa yalikua ya Mwalimu wako au wewe mwenyewe shuleni.Hapo kwenye kula sawa.
Ila jiyo ya kuchimba dawa imekaaje?
Yaani watu wanaugua njiani kiasi cha kutafuta dawa za kuchimba njiani?
Bwana mwingine akadai kuwa ATCL ni shirika la ndege la kijamaa!Wapande ATCL
Alisikika bwana mmoja.
Hahaha[emoji23][emoji23]Wapande ATCL
Alisikika bwana mmoja.
Ungekaa na mtu ambaye husafiri kwakutumia usafiri wa mabasi akuelekeze,hapo imetumika tafsida mkuu,pole kwakutoweza kumuelewa mleta mada,ukianza kuelewa tafsida utajua makosa yalikua ya Mwalimu wako au wewe mwenyewe shuleni.
Njia ya Arusha vyakula Bei inatisha sana yani chipsi tatu na kipapatio Cha kuku elfu saba
ππππKote niko na point mkuu, ila ukiwa mfuasi wa Jaffo huwezi kunielewa
Hilo basi mbona lipo kama eicher , atafute mabasi mazuri yenye mvuto.Kilimanjaro dakika anaaza hesabu baada ya abiria wa mwisho kushuka na gari haiondoki mpaka abiria wote wawe wamepanda pia ukiacha Aljazeera Kilimanjaro anakamilisha Restaurant yake mwenyewe, Uwekezaji ni akili Kilimanjaro anawashika soon tu chuma zote zina Vipusa kwanini nipate tabu? View attachment 1273256View attachment 1273257