Hayo ndio huwa siyapendi kabisa.Unapenda ma yutong?
hilo basi la kilimanjaro wanakula hotel yao eti robo kuku 8000Tsh,dah nikauliza mara mbilimbili tena broiler,Tangu Scandinavia iondoke barabarani kwa kweli abiria wa njia hii wanasafirishwa kama wafungwa, hakuna utaratibu unaeleweka mkiwa safarini.
Kwa mfano, haieleweki abiria wanakula hoteli gani, wala haijulikani hata abiria anatakiwa kula kwa dakika ngapi, basi inasimama kwenye hotel yoyote ambayo dereva ameahidiwa chakula cha bure, abiria mnatangaziwa kutumia dk 10 tu kula na kuchimba dawa, wakati huo huo abiria wa siti ya nyuma anatumia zaidi ya dk 5 kushuka, maana ni lazima asubiri walio mbele yake washuke kwanza, wakiwemo wagonjwa na wazee ambao hutembea taratibu, Scandinavia ilikuwa inatoa dk 15 ambazo zilianza kuhesabiwa baada ya abiria wa mwisho kushuka (niko tayari kusahihishwa).
Haijawahi kutokea kwa binadamu aliye huru kula kwa muda wa dk mbili tu na akamaliza, labda wafungwa wa gerezani ambao ulaji wa namna hii ni sehemu ya adhabu kutokana na makosa waliyoyatenda.
Natoa wito kwa mamlaka kuhakikisha abiria wanapewa muda wa kutosha kula na kuchimba dawa ili wasipate matatizo ya kiafya, kwa mtu anayesafiri kwa zaidi ya masaa 15 kutoka Dar hadi Kyela kumshindisha na njaa ni uonevu mkubwa sana, bado hatujachelewa tunaweza kurekebisha.
kweli mku,30minUongo hauna namba , 30 au 45 ?
Yani marcopolo generation 7 unasema lipo kama eicher? Izo bus east africa zipo kwa Kilimanjaro na dar express tuu huku school bus zikiwepo kwa kaizirege tuu acha mzaha usirudie tenaHilo basi mbona lipo kama eicher , atafute mabasi mazuri yenye mvuto.
Kumbe kuna Kilimanjaro bus za Dar-Mbeya???
Hahahaha.... Hii ni kweli, na inaboa kiukweli.hiyo route ya mbeya hovyo sana..yan ukipanda mabasi ya huko madereva wanapigia simu watu wao walio mbele wawaandalie misosi. nyie abiria wengine mtajijua
Siyo Njia hiyo Tu mkuu. Jaribu Dar_mwanza, Kagera.Mara na Simiyu!! Ole wako upate tumbo la kuharisha ukiwa Safari hizo. Hujamaliza kushusha nguo Dereva keshaondoa Gari wako Barabara I ukiwa msalani. Hawana utu wala Subra. Eti wanawahi kugeuza (kurudi).Tangu Scandinavia iondoke barabarani kwa kweli abiria wa njia hii wanasafirishwa kama wafungwa, hakuna utaratibu unaeleweka mkiwa safarini.
Kwa mfano, haieleweki abiria wanakula hoteli gani, wala haijulikani hata abiria anatakiwa kula kwa dakika ngapi, basi inasimama kwenye hotel yoyote ambayo dereva ameahidiwa chakula cha bure, abiria mnatangaziwa kutumia dk 10 tu kula na kuchimba dawa, wakati huo huo abiria wa siti ya nyuma anatumia zaidi ya dk 5 kushuka, maana ni lazima asubiri walio mbele yake washuke kwanza, wakiwemo wagonjwa na wazee ambao hutembea taratibu, Scandinavia ilikuwa inatoa dk 15 ambazo zilianza kuhesabiwa baada ya abiria wa mwisho kushuka (niko tayari kusahihishwa).
Haijawahi kutokea kwa binadamu aliye huru kula kwa muda wa dk mbili tu na akamaliza, labda wafungwa wa gerezani ambao ulaji wa namna hii ni sehemu ya adhabu kutokana na makosa waliyoyatenda.
Natoa wito kwa mamlaka kuhakikisha abiria wanapewa muda wa kutosha kula na kuchimba dawa ili wasipate matatizo ya kiafya, kwa mtu anayesafiri kwa zaidi ya masaa 15 kutoka Dar hadi Kyela kumshindisha na njaa ni uonevu mkubwa sana, bado hatujachelewa tunaweza kurekebisha.
Aiseeee !!Siyo Njia hiyo Tu mkuu. Jaribu Dar_mwanza, Kagera.Mara na Simiyu!! Ole wako upate tumbo la kuharisha ukiwa Safari hizo. Hujamaliza kushusha nguo Dereva keshaondoa Gari wako Barabara I ukiwa msalani. Hawana utu wala Subra. Eti wanawahi kugeuza (kurudi).
wanachaji na Simu zinajaa.Panda kilimanjaro anatoa dk 30 mpka 45 hadi watu wanaenda kuoga kabisa
Wanajiita wasafiNashangaa mtoa mada hajui halafu anabisha..wale wanatoa dk nyingi kwa sababu hawaruhusu mtu kurudi na chakula kwenye bus
Hapana,ni dar-tundumaKumbe kuna Kilimanjaro bus za Dar-Mbeya???
Mkuu kwani wastani huwa ni kukojoa Mara ngapi kwa safari moja!Pia na njia ya kwenda mikoa ya kanda ya ziwa dakika kumi bado ukienda msalani unakuta watu wamejaa maana basi sio moja zaidi ya mawili yaani safari nzima mtu unakojoa mara 2 tu ukizingatia safari inachukua masaa hadi kumi na 6
Basi gani hilo na kwann wanafanya hivyoHahahaha.... Hii ni kweli, na inaboa kiukweli.
Utashangaa tuu abiria wazoefu wanaletewa package za msosi, nyie wengine hamtaelewa what is happening!!
Acha ubishi comfort imefungwaComfort ipo Ila Haina wateja, hotel ni Al jazeera, comfort na Bismillah ilula
SUMATRA ilishakufa kifo cha mende kuna LATRA!!..Waambie sumatra