Bill Lugano
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,210
- 6,774
Huu uzi tungemualika ndugu yetu Kiduku Lilo aone jamaa zake tunavyopata shida za usafiri.
Hahaah Daaah we jamaaaNmeshtushwa .ila kama mabasi yanakuwa hayaeleweki si watumie ndege tu kuepuka usumbufu?
Ungeeleza maana ya hiyo kuchimba dawa kwa kuwa mwalimu wako hakuwa na matatizo kama wa kwangu
Tupende kujipanga kusafiri na luxury choo ndani for short call, raha kinyama unayumba tuu huku unakojoa, ila usiombe yatokee ya kutokea ukiwa chooni..siombei.
Wewe unafikilia safari ya dar_mbeya_ sumbawanga ya kulinganisha na dar to Arusha eti? Sitaki kusema Sana Kama huna haraka panda bus ambazo hazina haraka inaingia tunduma saa 5 mpaka 6, sumbawanga inaingia saa 8 mpaka saa 9
Comfort ipo Ila Haina wateja, hotel ni Al jazeera, comfort na Bismillah ilula
!
!
halafu kuna mtu anakuja anasema selikali haijafanya lolote
Ukitaka kujua mkojo unabanaje panda kisbo...kuacha abiria sio ishu. Gari baya ndani mpka nje ila kuwahi linajitaidi. tusiwalaumu sana hawa watu wa mabasi...abiria wengine wanapenda hayo maisha ya mikiki.
pia,watu wanaofanya Biashara ya mabasi wanafanya kwenye mazingira magumu sana...hivi kweli MTU akutoe dar mpaka mwanza kwa 40,000?mkiongezewa nauli mpate huduma nzuri na magari mazuri, makelele.
mswahili hana jema...
hilo basi la kilimanjaro wanakula hotel yao eti robo kuku 8000Tsh,dah nikauliza mara mbilimbili tena broiler,
majizi CHADEMA yametufikisha hapa
Kukojoa lishawekwa kwenye neno la tusi, na kweli ni tusi.Hapo kwenye kula sawa.
Ila jiyo ya kuchimba dawa imekaaje?
Yaani watu wanaugua njiani kiasi cha kutafuta dawa za kuchimba njiani?
Watu wengine mnasumbua sana unaonekana mkeo anapata taabu sana na wewe jamaa
Karibu sana Kiduku LiloNmeshtushwa .ila kama mabasi yanakuwa hayaeleweki si watumie ndege tu kuepuka usumbufu?
40,000- 45,000 inategemea unapanda basi ganiMwanza to Dar ni 40,000tsh??
Nmeshtushwa .ila kama mabasi yanakuwa hayaeleweki si watumie ndege tu kuepuka usumbufu?
Mi nafikiri tuite wachina... Waje wawekeze kwenye usafiri wa Uma.Nadhani shida ni uwekezaji wakija wawekezaji wanaojua biashara kama Zuberi njia ya Mwanza - Dar nadhani wakikosa abiria watajifunza customer care.
Comfort kitonga ilishafungwa muda mrefu sasaLakini mkuu nilichoona njia ya Nyanda za Juu Kusini ina hotel 2 nzuri ambazo ni Al Jazeera na pale Comfort Kitonga, Kama kuna nyingine bas ni vijihoteli tu. Ombi langu kuhusu muda uongezwe tu Dk10 chache sana kwa abiria mtu aende maliwaton + chakula kweli hautoshi.