maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Usalama wa Taifa au TRC management/board walikuwa wapi muda wote huo. Bila ku-anticipate kuwa kuna risk ya watu kulipa nauli ya pugu akaenda mpaka Dodoma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ubaguzi sasa 😄Nyie pandeni daladala au ile trenkya mwakyembe. Otherwise lipeni nauli ya Moro moja kwa moja
Hivi nyie wa Pugu huwa mnajiita wa mkoani au wa Dar?😁😁😁Huu ubaguzi sasa 😄
Ova
Kama ni dar ka-board treni stendeni siyo puguDar
Ova
Project ilishafeli tayari. Nchi ilishatekwa na wajanja miaka mingi. Sijawahi kuona Basi la Mkoani likitoka Mbezi lipakie abiria wa kibaha. Iweje iwezekane kwenye SGR? Soon tutasikia vichwa vimeenda kufanyiwa ukarabati na ndio itakua mwisho wa Hilo dubwana.Naskia SGR wanapakia abiria hadi wa buku alafu wanapitiliza hadi dodoma
Juzi hapa kulikuwa na malalamiko abiria wa Doodma wale original na wa moro wanakosa tiketi wanaona online treni imejaa kumbe mmewapa nafasi watu wa pugu na abira wa karibu kwa bei kitonga na hao kitonga ni wahuni wanaopitiliza hadi Morogoro, Dodoma kwa elfu moj hivi hamuoni aibu?
Huu mradi msipikuwa makini mtauuwa mapema tu maana naona hii ni michezo ya wafanyakazi
Ukienda abood pale hakuna nauli ya mlandizi wala nauli ya Chalinze ukipanda gari ya mro kama nuali ni sh 13000 utalipia hiyp hiyo 13000 hakuna masihara
Ukipanda tilisho,kilimanjaro,bm za arusha kama unashukia Tanga au himo wao haiwahusu utalipa 45000 ile ile ya Arusha wanafanya hivyo kuepuka upigaji wa wafanyakazi na abiria wasio waaminifu sasa nyie sgr hamjifunzi kwa wenzenu?
Abiria wa pugu si apande daladala za gongo la mboto pugu kwenye sgr anafuata nini
Hii nchi ina vituko sana. Nakumbuka walipotoa chati ya nauli miezi kadhaa iliyopita nikawa namsomea dereva wangu tukiwa safarini. Nauli ya Dar hadi pugu.Project ilishafeli tayari. Nchi ilishatekwa na wajanja miaka mingi. Sijawahi kuona Basi la Mkoani likitoka Mbezi lipakie abiria wa kibaha. Iweje iwezekane kwenye SGR? Soon tutasikia vichwa vimeenda kufanyiwa ukarabati na ndio itakua mwisho wa Hilo dubwana.
hivi kweli abiria wa pugu anapanda first class na anakunywa na chai, whats the hell, nauli ziwe mbili tu dom na moro, tena, ziwekwe scanner wakati wa kupanda na kushuka ukipitiliza faini lakimojaNaskia SGR wanapakia abiria hadi wa buku alafu wanapitiliza hadi dodoma
Juzi hapa kulikuwa na malalamiko abiria wa Doodma wale original na wa moro wanakosa tiketi wanaona online treni imejaa kumbe mmewapa nafasi watu wa pugu na abira wa karibu kwa bei kitonga na hao kitonga ni wahuni wanaopitiliza hadi Morogoro, Dodoma kwa elfu moj hivi hamuoni aibu?
Huu mradi msipikuwa makini mtauuwa mapema tu maana naona hii ni michezo ya wafanyakazi
Ukienda abood pale hakuna nauli ya mlandizi wala nauli ya Chalinze ukipanda gari ya mro kama nuali ni sh 13000 utalipia hiyp hiyo 13000 hakuna masihara
Ukipanda tilisho,kilimanjaro,bm za arusha kama unashukia Tanga au himo wao haiwahusu utalipa 45000 ile ile ya Arusha wanafanya hivyo kuepuka upigaji wa wafanyakazi na abiria wasio waaminifu sasa nyie sgr hamjifunzi kwa wenzenu?
Abiria wa pugu si apande daladala za gongo la mboto pugu kwenye sgr anafuata nini
we ni mshenzi sana, hao wanaoishi pugu daladala hazipo? watu wa daladala wafunge biadhara zao kisa sgr? acheni ujinga kutaka kuua mradi, nauli iwekwe flat rate, kutoka dar hadi moro na dar -dodoma, pia moro-Dodomawatanzania (baadhi) wajinga sana wanajifanya watalaamu na professional wa kila kitu, kwani Pugu hakuna station ya treni? na kwa nini iljengwa kama haina maana? low iq folks, emotions zimewajaa badala ya logic, sgr ina treni aina mbali mbali kuna ya kawaida ambayo itasimama kila kituo na kuna express ambayo itasimama vituo vikubwa tu, kipi ambacho hamuelewi hapo? nchi haiendeshwi kwa personal interest bali interest za wote, huko Pugu kuna watu wanaishi pia …
we ni mshenzi sana, hao wanaoishi pugu daladala hazipo? watu wa daladala wafunge biadhara zao kisa sgr? acheni ujinga kutaka kuua mradi, nauli iwekwe flat rate, kutoka dar hadi moro na dar -dodoma, pia moro-Dodoma
mnaoshukia njiano mfano nyie wa pugu na maeneo mengine njiani mnalipa nauli ile ile ya dar-moro, huwezi kapande daladara utafika tu😠 , serikali wekeni frat rate prices mkitaka kunusuru mradi
anza kuzoea tu daladala mkuu kwenda pugu, cas either ulipe nauli ya dar moro then hata ukishuka pugu sawa tu utajua mwenyewe, cas maoni yangu yashapokelewa huko TRC na majibu yamekuja ndio watafanya hivyo cas washaona changamoto iliopo. Bye mkuu rudi barabarani tu kadandie magari ya pugukwa nini station imejengwa hapo sasa kama haina maana? hata wewe kama hautaki treni isimame Pugu au station yoyote ile ndogo unaweza kupanda abudi au shabibi pia siyo lazima upande treni …
Nchi wa kifala sana hii.Naskia SGR wanapakia abiria hadi wa buku alafu wanapitiliza hadi dodoma
Juzi hapa kulikuwa na malalamiko abiria wa Doodma wale original na wa moro wanakosa tiketi wanaona online treni imejaa kumbe mmewapa nafasi watu wa pugu na abira wa karibu kwa bei kitonga na hao kitonga ni wahuni wanaopitiliza hadi Morogoro, Dodoma kwa elfu moj hivi hamuoni aibu?
Huu mradi msipikuwa makini mtauuwa mapema tu maana naona hii ni michezo ya wafanyakazi
Ukienda abood pale hakuna nauli ya mlandizi wala nauli ya Chalinze ukipanda gari ya mro kama nuali ni sh 13000 utalipia hiyp hiyo 13000 hakuna masihara
Ukipanda tilisho,kilimanjaro,bm za arusha kama unashukia Tanga au himo wao haiwahusu utalipa 45000 ile ile ya Arusha wanafanya hivyo kuepuka upigaji wa wafanyakazi na abiria wasio waaminifu sasa nyie sgr hamjifunzi kwa wenzenu?
Abiria wa pugu si apande daladala za gongo la mboto pugu kwenye sgr anafuata nini
station kujengwa pugu ilikua ni makosa, ila ndo ishajengwa, msijari mtakua mnalipia nauli ya morogoro kwenda hapo pugu kwenu😊kwa nini station imejengwa hapo sasa kama haina maana? hata wewe kama hautaki treni isimame Pugu au station yoyote ile ndogo unaweza kupanda abudi au shabibi pia siyo lazima upande treni …
You have got a point...Naskia SGR wanapakia abiria hadi wa buku alafu wanapitiliza hadi dodoma
Juzi hapa kulikuwa na malalamiko abiria wa Doodma wale original na wa moro wanakosa tiketi wanaona online treni imejaa kumbe mmewapa nafasi watu wa pugu na abira wa karibu kwa bei kitonga na hao kitonga ni wahuni wanaopitiliza hadi Morogoro, Dodoma kwa elfu moj hivi hamuoni aibu?
Huu mradi msipikuwa makini mtauuwa mapema tu maana naona hii ni michezo ya wafanyakazi
Ukienda abood pale hakuna nauli ya mlandizi wala nauli ya Chalinze ukipanda gari ya mro kama nuali ni sh 13000 utalipia hiyp hiyo 13000 hakuna masihara
Ukipanda tilisho,kilimanjaro,bm za arusha kama unashukia Tanga au himo wao haiwahusu utalipa 45000 ile ile ya Arusha wanafanya hivyo kuepuka upigaji wa wafanyakazi na abiria wasio waaminifu sasa nyie sgr hamjifunzi kwa wenzenu?
Abiria wa pugu si apande daladala za gongo la mboto pugu kwenye sgr anafuata nini
Sio makosa. Inawezekana kuweka behewa la watu wa njiani, au kuwa na train tofauti design ya daladala.station kujengwa pugu ilikua ni makosa, ila ndo ishajengwa, msijari mtakua mnalipia nauli ya morogoro kwenda hapo pugu kwenu😊
hawazuii mtu kushuka ila kama unaenda pugu lipa nauli ya moro, nikama kilimanjaro express harakama utashukia chalinze utalipa nauli ya arushaKuzuia mtu kushuka njiani utakua Ni uonevu maana sometimes watu hupata dharula na kuishia njiani kurudi walipotoka
Solution waweke nauli ambayo ni flat. Kama Dar to Moro ni 13k basi iwe hiyo hiyo atayeshuka njiani hiyo inakua hiari yake, atayelipa 13k ili ashukie pugu hiyo ni hiari yake
nikupotezeana muda tu, tuache siasa kwenye uchumi treni ya dom kituo cha kwanza kiwe moro then dom. nauli mbili tu moro na dom, lakini naona kuna shida kwenye ticketing system, iweje mtu akate ticket ya pugu na apate seat hadi moro?Sio makosa. Inawezekana kuweka behewa la watu wa njiani, au kuwa na train tofauti design ya daladala.
However, kukatia watu ticket za Pungu ni uwendawazimu wa aina yake.