station ya pugu ilikuwa ya kushusha ng'ombe, wakati wa mkoloni pugu ikuwa msituni na iliwekwa pale pia kwa shughuli za kijeshi, kwa sasa haina maana tena, funga hiyo station fullstopanza kuzoea tu daladala mkuu kwenda pugu, cas either ulipe nauli ya dar moro then hata ukishuka pugu sawa tu utajua mwenyewe, cas maoni yangu yashapokelewa huko TRC na majibu yamekuja ndio watafanya hivyo cas washaona changamoto iliopo. Bye mkuu rudi barabarani tu kadandie magari ya pugu