Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,903
- 1,360
Swala tu la kua Hong Kong sasa hivi mtu yeyote mwenye passport ya Tanzania lazima akaguliwe sana linatosha kabisa mtu kujua kua njia yoyote atakayojaribu kupitia jamaa watamuhisi, angekua ana akili labda angekaa asubiri hadi swala litulie kabisa, au asafirishe kwa njia nyingine ila kwa ndege, Kama umewahi kwenda nchi za nje ungejua navyoongelea watu wana security sio bongo, airport kwa nje tu ukiona unaogopa mwenyewePengine sio mara ya kwaza kutumia hii mbinu ...
MWAKYEMBE A.K.A MZEE WA MBWEMBWE umesikia hayo??? au yule rasta wa tegeta aliyekamatwa airport ilikuwa ni picha la ku act, ili muonekane kwenye media kwamba mnafanya kazi!!!!!??? CCM ni chuo cha SANAA, NDIO MAANA WAPO KARIBU NA WASANII kuliko WAKULIMA
JK kimyaaa kama hasikii vile!
Mwakyembe si anakesha hapo kiwanjani..sasa huyu kapitia wapi tena?
MWAKYEMBE A.K.A MZEE WA MBWEMBWE umesikia hayo??? au yule rasta wa tegeta aliyekamatwa airport ilikuwa ni picha la ku act, ili muonekane kwenye media kwamba mnafanya kazi!!!!!??? CCM ni chuo cha SANAA, NDIO MAANA WAPO KARIBU NA WASANII kuliko WAKULIMA
JK kimyaaa kama hasikii vile!
Kwa kuwa rushwa imekithiri inawezekana akawa si raia wa tz bali ni wale wanaouziwa passport za tz kama njugu!
MWAKYEMBE A.K.A MZEE WA MBWEMBWE umesikia hayo??? au yule rasta wa tegeta aliyekamatwa airport ilikuwa ni picha la ku act, ili muonekane kwenye media kwamba mnafanya kazi!!!!!??? CCM ni chuo cha SANAA, NDIO MAANA WAPO KARIBU NA WASANII kuliko WAKULIMA
Mmmmh
Hivi watanzania tumerogwa na nani? Looh!!!!
hivyo ndivyo zilivyo nchi ambazo:
1. kila mwaka kuna mgawo wa umeme
2. serikali inaendeshwa kwa fedha za misaada ya wahisani
2. hazina viwanda