Abiria wa Tanzania akamatwa Hong Kong na heroin ikiwa ndani ya mashine

Abiria wa Tanzania akamatwa Hong Kong na heroin ikiwa ndani ya mashine

JK alishasaema anawafahamu wauza dawa za kulevya; hakuwataja, hakuwakamata; bado wanaendelea.
Natoa ushaurin kwa hongkong; baada ya kugundua hivyo inabidi wawe makini sana, mzigo ufuatiliwe hadi unakokwenda ili anayepokea naye akamatwe. Hawa manowakamata ni waganga njaa tu. Huyo anayepokea huko ndiye ashughulikiwe zaidi.
 
Pengine sio mara ya kwaza kutumia hii mbinu ...
Swala tu la kua Hong Kong sasa hivi mtu yeyote mwenye passport ya Tanzania lazima akaguliwe sana linatosha kabisa mtu kujua kua njia yoyote atakayojaribu kupitia jamaa watamuhisi, angekua ana akili labda angekaa asubiri hadi swala litulie kabisa, au asafirishe kwa njia nyingine ila kwa ndege, Kama umewahi kwenda nchi za nje ungejua navyoongelea watu wana security sio bongo, airport kwa nje tu ukiona unaogopa mwenyewe
 
MWAKYEMBE A.K.A MZEE WA MBWEMBWE umesikia hayo??? au yule rasta wa tegeta aliyekamatwa airport ilikuwa ni picha la ku act, ili muonekane kwenye media kwamba mnafanya kazi!!!!!??? CCM ni chuo cha SANAA, NDIO MAANA WAPO KARIBU NA WASANII kuliko WAKULIMA

Sidhani kama Mwakyembe ana stahili hii dhihaka yako ambayo ipo kisiasa zaidi,tuna hitaji kumtia moyo kwa kujitokeza hadharani kupambana na janga hili la madawa ya kulevya! Ili takiwa Dr Nchimbi waziri huska awe mstari wa mbele na pia hata JK yupo kimya! Hapa humtendei haki Mwakyembe tumuunge mkono kwa hili bila kejeli,vita kubwa ana hitaji support!
 
Kwa kuwa rushwa imekithiri inawezekana akawa si raia wa tz bali ni wale wanaouziwa passport za tz kama njugu!
 
MWAKYEMBE A.K.A MZEE WA MBWEMBWE umesikia hayo??? au yule rasta wa tegeta aliyekamatwa airport ilikuwa ni picha la ku act, ili muonekane kwenye media kwamba mnafanya kazi!!!!!??? CCM ni chuo cha SANAA, NDIO MAANA WAPO KARIBU NA WASANII kuliko WAKULIMA

Usipende kuwa mtu wa majungu. Mwakyembe katangaza lini operation na huyo mtanzania kakamatwa lini. Mnapenda kuona mtu anafeli, badilika.
 
Huu ndio mwisho wa nchi kuaharibika hamuwezi kuanza kusafirisha madawa hatari namna hii mkaacha nchi salama. Viongozi inabidi wajue lawama zote zitakuwa juu yao.

Bunge lijalo inabidi napendekeza wajitolee baadhi ya wabunge wapeleke muswada wa kubadilisha adhabu ya kukutwa na madawa ya kulevya, adhabu ilingane na zile za nchi kama hongkong na china ili kunusuru taifa hili.

Tunahitaji mjadala wa kitaifa kuhusu dawa za kulevvya
 
Kwa kuwa rushwa imekithiri inawezekana akawa si raia wa tz bali ni wale wanaouziwa passport za tz kama njugu!

Yale yale watu wanaofanya ujambazi huko misitu ya Biharamulo ni Wanyarwanda, wanaofanya uhalifu Arusha ni Wakenya, nk. Wabongo tuna mtazamo mmoja finyu sana wa kujiaminisha kuwa Mtanzania ni malaika, hayo mazagazaga ni watu wengine! Sisi huwa hatufanyi uhalifu! Je wale mabinti wasanii akina Masozange waliokamatwa SA ni Wanyarwanda au Wakenya, Wasomalia?
 
MWAKYEMBE A.K.A MZEE WA MBWEMBWE umesikia hayo??? au yule rasta wa tegeta aliyekamatwa airport ilikuwa ni picha la ku act, ili muonekane kwenye media kwamba mnafanya kazi!!!!!??? CCM ni chuo cha SANAA, NDIO MAANA WAPO KARIBU NA WASANII kuliko WAKULIMA

Men, I like this......hebu weka hapo chini kwenye signature yako...this is quite blowing......boom, booom!!!!
 
tuna usalama wa taifa, polisi, jeshi, intelijensia zote tunazozijua na hata jinsia pia tunazo

udhaifu wa mtawala ni pale anaposhindwa kuweka house in order... and not how much he smiles to people
 
hivyo ndivyo zilivyo nchi ambazo:

1. kila mwaka kuna mgawo wa umeme

2. serikali inaendeshwa kwa fedha za misaada ya wahisani

2. hazina viwanda

Aiseee nadhani mh mwakyembe ana hitaji msaada kwenye hii vita?
 
Back
Top Bottom