Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
MPWAA ZIPO NA VID ZINAGOMA KAMA KUNA MTU ANAHITAJI NIMRUSHIE WHATSUPWeka picha mwendo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MPWAA ZIPO NA VID ZINAGOMA KAMA KUNA MTU ANAHITAJI NIMRUSHIE WHATSUPWeka picha mwendo
Mambo mwayaHongera kwa kupanda treni.
Safi nashukuru mwayaPoa
Za kwako
Et hebu mwambie huyoKwani Magu ana Treni? Hiyo Treni ni ya Watanzania wote hata wewe unaweza kupanda.
Hahahaaa wamachame mnavyopendaa Makali....Sisi tukajua ta.ko...
kumbe ugali!!?
wacha upotoshaji...
MPWAA WACHA NIPONGEZE MAENDELEO MPWAA
Picha iko wapi?,wanaowatuma kuleta habari huku muwe mnawaambia habari bila picha haziaminiki
MKUU ZIPO ZA KUMWAGA NA VID NAJARIBU KUZIATTACH ZINAGOMA LETA WHATSUP YAKO INBOX NIKURUSHIE
Dahhh wabongo bhana ,tusishangae kesho hapa kila mtu akataka treni hii ipite hadi mlangoni kwake ! Guys let's us learn to appreciate a little thing then we will later be awarded bigNauliza, wakazi wa Marangu na Rombo hiyo treni inawafaa, kulingana na geografia ilivyo. Naomba kufahamishwa. Nilipanda treni hiyo mwaka 1994 nikiwa mdogo so sikumbuki mengi.