Abiria wanapanga foleni lakini bado changamoto ya Mwendokasi ni kubwa

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
525
Reaction score
1,257
Mbali na kuwa na utaratibu wa kupanga foleni lakini bado usafiri wa Mwendokasi Kituo cha Mbezi Luis Dar es Salaam bado ni changamoto sana, sijui nini kifanyike kwa kweli?

Nimepita nikaona watu wanavyopambana na kugombania kuingia kwenye usafiri hadi huruma.

Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.
 
Watu wa mikoani wasione hizi video.
 
Pitiia ubungo stend ya zamani migration ya mwendokasi iliyookufa ni mingi balaaa ..wameachia machine mabovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…