Absalom Kibanda: Kilichobaki ni Kuandika kitabu cha Maovu yako Samwel Sitta!

Absalom Kibanda: Kilichobaki ni Kuandika kitabu cha Maovu yako Samwel Sitta!

Mkuu kama haujui Kibanda yupo kwenye payroll ya Lowasa mpango wa kumshambulia Sita ni maagizo ya Lowasa! Kama anaandika vitabu vya mafisadi kwanin aanze na Sita na siyo wale ambao wamejulikana tangu mwanzo?

Sisi haituhusu yupo kwenye payroll ya nani! tunachotaka ufisadi wa Sitta uanikwe then wewe utaandika kuhusu mafisadi amabo wamejulikana tangu mwanzo au vipi?
 
I get a strong feeling that some people in JF have also been bought to spread propagandas for Lowasa's 2015 presidency. Why would any body blame Sita for the 111 bilion, and spare people like lowasa and rostam who brought the faud company and who are going to benefit if we pay the money. All of those who are against sita do not mention lowasa or rostam as mafisadi at all.

At least sita allowed the motion of richmond to be tabled on the parliament, tell me another haed of parliament who would have dared to do so. And have you foggoten that it is because he allowed discussion of richmond that lowasa and rostam made sure he do not return to the seat? Lowasa thinks tanzanians are easy to fools, easy to buy, but let me tell him that tanzanians are not that stupid.

Mzee Kipara, you are the one who needs the book more than anything to know who is Sitta! Sitta cannot be separated from RACHEL, he might be even worse bse he has been investing in people's mind and deceiving them by singing their song and dancing to their rythm! Once you know the true colours of him you will speak differently! take my word bro!
 
huyo mwandishi hata asiwape PRESURE, nina uhakika na anachokifanya na anafanya kwa minajili ipi!mi namjua hadi kwake hadi shule alizosoma na maisha yake yote yapo kiganjani kwangu!BASI AKITOE THEN ITAKUWA NI STAILI YA KULUIPUANA NCHI HII ILI WATANZANIA WAWAJUE BAADI YA WAANDISHI WALIVYO NYOKA.kama anatoa kitabu sasa hivi alikuwa wapi siku za nyuma, hawa ndo wanachochoa machafuko angalia rwanda waaandishi wa habari walifanya nini!
,
kama ndo hivo kitabu chake kikitoka, hata mimi nitatoa series ya mambo yake yote na maisha yake kwa ujumla ili watanzania wamjue huyu mwandishi anayejiona mkamilifu na mpenda haki!mafisadi wapo wengi kwa nini kamchagua sita?mapapa wapo wengi ambao wamehangamiza hii nchi hujui walichokifanya au wewe sio mwandishi?basi kitabu nakisubiria!.
.
WAPO WATU WANA AKILI DHAIFU SANA, HIVI MJADALA WA RICHMOND ULIPOFIKIA BUNGENI KWELI SERIKALI ILISHINDWA KUCHUKUA MAAMUZI MAGUMU?KILA KITU KILIWEKWA WAZI USHAHIDI ULIPELEKWA KWA MKUU, MLITAKA SITTA AFANYE NINI AWE DPP?AWE AGUSTINO RAMADHANI, AWE MWEMA?AWE MANUMBA?MNAJUA KILA KITU KINA MIPAKA!NINA UHAKIKA KAMA NJIA YA JINSI RICHMOND ILIVYOKUWA ILIONESHWA!WATAWALA NA VYOMBO HUSIKA NDO VYA KULAUMIWA, SHUKULU SANA SITTA ALIRUHUSU ANGEKUWA MWINGINE SIDHANI KAMA HAYA MAMBO KAMA MGEYAJUA!KINACHOWAFANYA MUMCHUKIE SITTA NI NINI?KUWA MUWAZI NDO UNAFIKI WAKE?KIKATIBA ANAYO HAKI YA KUTOA MAWAZO YAKE KAMA MWANANCHI WA KAWAIDA SEMA NYIE MNAKARIRI KWAMBA UKIINGIASERIKALI BASI UMEFUNGWA!HUO NI UTUMWA WA MAWAZO NA FIKIRA POTOFU! RUDINI SHULE MJIFUNZE.,
,
NAMSUBIRI MHESHIMIWA MWANDISHI ATOE KITABU CHAKE THEN TUANZE MAPAMBANO!HII DUNI NDOGO SANA!

Haaa! na wewe ulikuwa wapi siku zote hizo ndio leo unasema utatoa series za Kibanda? ndio walewale!!!! Kibanda mlipue Sitta...muanike usiogope kelele za mlango! By the way hata Kibanda ana haki ya kutoa maoni yake Kikatiba, au umesahau kuwa hata yeye ni Mtz ana haki hiyo Kikatiba? Watu mmedata nyie!
 
Mzee Kipara, you are the one who needs the book more than anything to know who is Sitta! Sitta cannot be separated from RACHEL, he might be even worse bse he has been investing in people's mind and deceiving them by singing their song and dancing to their rythm! Once you know the true colours of him you will speak differently! take my word bro!
It is very cumbersome to believe this at the moment. Many Tanzanians believe that Mr. Six is clean and is in the front seat fighting against UFISADI. I am anxiously looking foward to see what the book will tell us about Mr. Six's other side. Something that I should remind Kibanda is that the book MUST be enclosed with undisputable evidence. Short of that, it will be a little bit difficult to differentiate it with UDAKU newspepers.
 
Asante Bw Kibanda, naona unajikanyaga hapa! mbona hueleweki mkuu, unaposema kuwa huamini kama hilo kundi la "MTANDAO" ambalo SITTA ni mmoja wao anaweza kutokea mpambanaji wa ufisadi una maana gani? je mtu kama haupingi ufisadi maana yake ana usapport sivyo? kwa maana kwenye vita ya ufisadi hakuna uvuguvugu, sasa kama Sitta hawezi kuwa mpambanaji basi yeye ni kinyume chake UNAKATAA NA HILI? na pili kama sijakosea kwenye makala yako uligusia swala la Sitta kuzima mjadala wa Richmond, sasa na hili la kuzima mjadala wa Richmond unataka kutwambia halina harufu ya Ufisadi? mbona unajikaanga mkuu? naomba unijibu kabla sijahamia kwenye hiyo hoja yako ya kuandika kitabu ambayo ndiyo haswa kiini cha mwanzisha thread.

Kibanda hajajichanganya popote, wewe ndio umejichanganya! Maelezo ya Kibanda hapo juu yamekaa sawa kabisa. Usuri ni kuwa maneno mleta hoja aliyomlisha kinywani amayakanusha, kuwa hamlengi Sitta kama Sitta bali ugomvi wake upo pale anapojipambanua kama mpinga mafisadi, kitu ambacho ni fake! Sitta ni mnafiki unless abadili tabia yake ndipo na jina litabadilika.
 
Hivi nyie vijana mnamjua Sitta au mmeanza tu kumsikia hapa majuzi akiwa Spika ! Sisi tuliomfahamu toka akiwa Waziri, akiwa CDA hadi kuongoza kituo cha Uwekezaji...mmh, ngoja tunyamaze. Hawa ndio wanafiki wenyewe ndani ya serikali dhalimu ya CCM wanaotumiwa katika kuuma na kupuliza. Of all the people Sitta ! Come on give me a break !

Hawamjuwi Sitta hawa, waambie kaka!
 
Kweli Uandishi wa Habari sio kazi, bali ni kazi ya kuwatumikia waajiri---hii ni kazi ambayo zamani nikiwa mdogo nilikuwa naipenda sana; lakini sasa; pyuuu! Huyu jamaa (Kibanda) zamani nilikuwa nam-respect vibaya sana, nazani enzi zile alikuwa Majira kama sikosei!!! Kumbe hizi porojo na propaganda za Tanzania Daima hivi sasa zinatoka kwake?! Sikufahamu kwamba the man i was respecting ndie Mhariri Mtendaji wa moja ya vipeperushi vya kisiasa nchini.

MY TAKE: Wakati waandishi wakilalamikia uhuru wa habari toka serikalini; waanze kwanza kulilia uhuru wa kuandika toka kwa waajiri wao! am sure it needs just some few millions TZS to take Kibanda from TZ Daima na kumpeleka Uhuru Publications na kwenda kula matapishi yake kule!
 
Mimi naona ni rahisi sana kuandika ufisadi wa EL na RA kuliko kuandika habari za ufisadi wa SS. Ukimaliza kuandika habari za SS naamini utahamia kwa hao wengine.
 
Kwanini alizima sakata la Richmond kihuni? Wacha achambuliwe kama karanga. Yeye na EL,RA,AC na wengine ni janga la kitaifa, hata ikibidi kuuwawa wauawe tu hawana faida yoyote kwa nchi yetu.

Lingeendelewa kujadiliwa,Kikwete asingekuwepo madarakani...watu mnabaki Lowasa , lowasa...!!! Lowasa , jk na wengine wengi wangeondoka
 
Kwa kweli mimi binafsi uwa simuelewi Sitta, anapigania nini serikalini

Tutajieni ufisadi wa sitta na amenufaika nao vipi ndio tutawaelewa mnaotaka kumlinganisha sitta na mafisadi papa....tutajieni tu tuko tayari na yeye kumwambia apime uzito wa shutuma zinazomkabili ambazo zinahusisha yeye kwa kujinufaisha kwa kutumia nafasi yake mtakazo tumwagia hapa,kama mtu aliweza kupewa 10% akiwa nje ya nchi akampigia simu baba wa taifa mwl nyerere kumuuliza na nyerere kumruhusu achukue hizo fedha aje azikabidhi serikalini nyie mnaongea nini,wengi wenu ni watoto wa juzi hamuyajui haya msiingie kichwa kichwa kucheza ngoma msiyoijua,nani anaweza kupewa 10% hapa tena kwa kuwekewa kwenye account yake nje ya nchi akapiga simu kumuuliza bosi wake,sokoine mwenyewe hakuwahi kufanya hivyo!!!mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni,kumlinganisha Sitta na Ngonyani Lowassa na genge lake ni sawa kulinganisha kifo na usingizi kisha ukadai viko sawa,hata mtoto wako wa chekechekea atakushangaa sema atashindwa kukwambia tu kwamba baba naona umeanza kuchanganyikiwa nadhani malaria imepanda kichwani.
 
Lingeendelewa kujadiliwa,Kikwete asingekuwepo madarakani...watu mnabaki Lowasa , lowasa...!!! Lowasa , jk na wengine wengi wangeondoka

..JK angeondolewa na Bunge ambalo zaidi ya 90% ya Wabunge wake walikuwa ni wa CCM?haupo serious..

Sitta aliupeleka mjadala ule mpaka pale alipoweza kuufikisha, hatua ya kwenda mbele zaidi ilipaswa ifanywe kwa msaada wa pressure ya umma, na bahati mbaya sana wakati vitendo vinapohitajika tunajificha nyuma ya PC, na pale jambo linaposhindwa tunatoa maneno mengi ya kuwalaumu tena wale waliojitahidi kadri walivyoweza.

Naikumbuka busara ya Mwalimu "Kuwa na akili ni pamoja na kujua jambo unaloliweza na lile usiloliweza", na kwenye mjadala wa Richmond,pale ndipo Sitta alipoishia, kama ulitegemea zaidi ya alichokifanya basi uliishi zaidi kwenye ndoto kuliko uhalisia.

Naamini kama wakati ungerudi nyuma, Augustino Lyatonga Mrema asingeuchukua uamuzi aliouchukua 1995, Watanzania wengi ni wanafiki, wanapiga sana domo lakini hawapo tayari kabisa kubeba gharama za ukombozi, na mwelekeo huu bado upo sana kwenye fikra za kinafiki zilizojaa kwenye jamii yetu.
 
Mkuu kula tano,
Tatizo watu hawawaelewi wanafiki hawa, walikuwa wanatumia hoja ya ufisadi kama mtaji wa kisiasa.
Ilipokuwa inatakiwa kufanya maamuzi muhimu kuumaliza huo ufisadi ndani ya bunge kama chombo cha kutunga na kusimamia sheria, wali side na hao mafisadi. Wakija majukwaani kwa wajinga wao, wanatoa mapovu kujidai wanaumizwa na wanauchungu na nchi,sio yeye aliyetukana wapinzani wakati wa uchaguzi au mmesahau?

Kama wali side na mafisadi, mbona mafisadi haohao walipanga njama za kuhakikisha sita harudi kwenye uspika? Narudia tena kwamba sikufurahishwa na sita kufunga mjadala wa richmond, lakini aliuruhusu hadi lowasa kujiuzuru, na hakuna katika historia ya bunge la tanzania spika aliyewahi kufanya hilo. Kisa tu anapinga dowans isilipwe ndo ameshakuwa adui namba moja wa tanzania? Nyie watu kama hamjanunuliwa nendeni mkapime akili, na ndo maana tanzania hatuataendelea kamwe pamoja na kuwa na raslimali nyingi.
 
Hivi nyie vijana mnamjua Sitta au mmeanza tu kumsikia hapa majuzi akiwa Spika ! Sisi tuliomfahamu toka akiwa Waziri, akiwa CDA hadi kuongoza kituo cha Uwekezaji...mmh, ngoja tunyamaze. Hawa ndio wanafiki wenyewe ndani ya serikali dhalimu ya CCM wanaotumiwa katika kuuma na kupuliza. Of all the people Sitta ! Come on give me a break !

Sasa huo ndo unafiki, kama unajua madhambi yake kwa nini usiyataje hapa? At least wengine wamesema alifunga mjadala wa richmond, alijenga ofisi ya spika bungeni, anaendelea kukaa kwenye nyumba ya spika etc.
 
Watu wengine mnakurupuka tu kumwandama Kibanda. Hamjui chanzo chake ni Sitta kuliandama Tanzania Daima na MwanaHalisi kwamba wamenunuliwa. Kwa mujibu wa Sitta kwenye dakika 45 za ITV alitaka magazeti yambebe kama Mpambanaji wa ufisadi. Baada ya shutuma hizi Kibanda laindika kwenye safu yake Tuendako kwamba Sitta sio msafi na kwamba hiyo vita ya ufisadi ni agenda iliyotekwa tu kutoka kwa Chadema
 
Kwa hiyo mnasema kibanda anafanya kazi na Mbowe na CDM then amenunuliwa na akina RA, EL..sasa hapa mnaninchanganya mnataka kusema hawa wote ni wamoja au wana adui mmoja inabidi washirikiane au kibanda anakula huku n kule, wallah! kweli ni mazingira ya biashara huria haya
 
Kuhusu hili la kuuzima moto wa richmond ambao kiukweli bado tulikua na kazi nao aliwakera wengi mpaka reginald mengi ambae pia alikua nyuma yake alikasirika sana na nasikia mpaka akawaagiza wahariri wake wasimpe tena sitta coverage kwenye vyombo vyake vya habari,na hata sijui kama uswahiba wao umerejea katika hali ya kawaida,mengi alichukia sana inasemekana.Lakini kama mnavyojua shinikizo lilikua kubwa sana ndani ya ccm kipindi kile ambamo mafisadi walikua na nguvu kubwa mno wakati ule,na kama si jitihada na busara za wajumbe wawili wa kamati kuu bwana ABDULRAHMAN KINANA na BERNARD MEMBE,Sam six ilikua avuliwe uanachama,lakini wawili hao na hasa kinana ambae alionekana kama hana upande alisimama kidete kumtetea spika na kuwaeleza wazi wazi wajumbe wa kamati kuu akiwemo mwenyekiti kwamba spika hana matatizo yeyote anafanya kazi yake na kiukweli anakisaidia chama ambacho kimechafuka..ndio akaponea kwenye tundu la sindano na kupewa masharti ya kuuzima huo mjadala bungeni kwa kuwa unakichafua chama na serikali yake,hapa ndipo alipokosea mzee wangu huyu,hakutakiwa kuyumba kwani tayari alikua na base kubwa ya wabunge na sisi wananchi kiujumla,lakini akaufyata mkia ndani ya ccm lakini bado alikua na uchungu ndio maana mkawa mnasikia habari za CCJ zikipamba moto kwa kasi,ni kweli sitta na wenzake walipanga kujionadoa kwenye chama kama udhibiti dhidi yao kama wapambanaji wa ufisadi utaendelea na hasa kama jk atamrudisha Ngonyani Lowassa serikalini (mpango ambao alikua nao kweli),lakini lowassa hajarudi serikalini mpaka leo na wao nadhani baadae wakaona hakuna haja ya kujitoa badala yake wapambane na mafisadi goi goi wakiwa humo humo ili kama ikibidi mafisadi ndio waondoke...matokeo yake ndio hii issue ya kujivua magamba japo inaonekana kukwama kutokana na udhaifu wa mwenyekiti na pia hujuma za mafisadi.Lakini habari ya ccj ama kujiunga na chadema vyote vilikuwepo na vikao vya kina sitta na viongozi wa chadema na ccj vilishika hatamu sana kipindi hicho,mh.mboe kama anaingia na kusoma haya atakua anaelewa nazungumzia nini,sitts ndio alikua awe mgombea urais wa chadema badala ya slaa kwa msiojua,na hasira za chadema kwa sitta na huu wimbo wa usaliti wa sitta unaoimbwa hapa ni kutokana na tukio la sitta kuwatosa chadema dakika za mwisho,ikabidi wamtafute mgombea wa fasta bwana slaa,ambae hata hivyo kwa muda ule uliobaki alifanya vizuri,nampongeza kiukweli kwa kuwa alitokeo from no where na kutikisa,kama angekua sitta angemshinda jk kwa wakati ule,alikua juu mno.
umetueleza stori nzuri ila hujasema unamchukuliaje SITTA???
 
Watu wengine mnakurupuka tu kumwandama Kibanda. Hamjui chanzo chake ni Sitta kuliandama Tanzania Daima na MwanaHalisi kwamba wamenunuliwa. Kwa mujibu wa Sitta kwenye dakika 45 za ITV alitaka magazeti yambebe kama Mpambanaji wa ufisadi. Baada ya shutuma hizi Kibanda laindika kwenye safu yake Tuendako kwamba Sitta sio msafi na kwamba hiyo vita ya ufisadi ni agenda iliyotekwa tu kutoka kwa Chadema

Hii dhana ya eti "vita dhidi ya ufisadi na mafisadi imetekwa" mi hata siielewi kiukweli,mi nilidhani hii ni vita ambayo kila mwenye uzalendo na nchi hii anapaswa kuishiriki bila kujali imaeanzishwa na nani,ni kweli pengine inaweza ikawa imeanzishwa na CDM sawa,lakini hiyo bado haimzuii tlp,cuf,ama ccm yeyote mwenye uchungu na rasilimali za nchi hii kuamua kuingia na kuongeza nguvu za mapambano,ndicho alichokifanya sitta,baada ya chadema kuianzisha nayeye akaiunga mkono moja kwa moja ndio maana akawa kipenzi cha wanachadema na upinzani kiujumla,na alifanya kazi vizuri sana akiwa spika kushirikiana na cdm katika vita dhidi ya ufisadi na mafisadi,na matunda tuliyaona pale kinara wa ufisadi nchi "alipopima" uzito wa tuhuma nzito juu na kuamua kufanya "maamuzi magumu" ya kuachia uwaziri mkuu licha ya kupewa nafasi ya kujitetea akaishia kujiuzulu kwa aibu mbele ya mkewe pale dodoma!Je niwaulize sitta "asingeiteka" hiyo ajenda na kushiriakiana na cdm na wabunge wengine wazalendo wa ccm Mzee wa kufanya maamuzi magumu si mpaka leo angekua bado anatutafuna!sitta na wapiganaji wengine wa ufisadi bila kujali vyama ni watu muhimu sana kwenye hii vita.
 
umetueleza stori nzuri ila hujasema unamchukuliaje SITTA???

Namchukulia kama mpambanaji wa ufisadi asiyechoka wala kukata tamaa kama wenzake kina kibanda na kubenea ambao wamekata tamaa ya kupambana na ufisadi pamoja na mafisadi na kuamua kujiunga nao!pamoja na vizingiti na hujuma kibao za ndani ya chama chake dhidi ya vita ya ufisadi bado kasimama kwenye mstari licha ya kupewa uwaziri ili kumnyamazisha lakini hanyamazi,umewahi kumuona mtanzania wa aina hiyo hivi karibuni?kuna watu hapa wamenunuliwa corolla tu mnaona walivyobadilika!
 
Namchukulia kama mpambanaji wa ufisadi asiyechoka wala kukata tamaa kama wenzake kina kibanda na kubenea ambao wamekata tamaa ya kupambana na ufisadi pamoja na mafisadi na kuamua kujiunga nao!pamoja na vizingiti na hujuma kibao za ndani ya chama chake dhidi ya vita ya ufisadi bado kasimama kwenye mstari licha ya kupewa uwaziri ili kumnyamazisha lakini hanyamazi,umewahi kumuona mtanzania wa aina hiyo hivi karibuni?kuna watu hapa wamenunuliwa corolla tu mnaona walivyobadilika!

Haa ha ha...na huu ndio ujumbe wa leo...
 
Back
Top Bottom