Absalom Kibanda: Kilichobaki ni Kuandika kitabu cha Maovu yako Samwel Sitta!


We mbona umeongea maneno karibu yote ambayo amekua akiyaongea Lowassa na Rostam??hii imetokea kwa bahati mbaya ama ulikusudia kuwanukuu?mfano hii ya kuukosa uwaziri mkuu si ni kauli ya Lowassa aliyoitoa bungeni baada ya "kupima" na kujiona yeye mwenyewe bila kushikizwa kwamba nafasi aliyopewa na jk was too big kwake?alisema "tatizo ni huu uwaziri mkuu" leo nawewe unasema neno lile lile hii ni bahati mbaya imetokea ama ulikusudia kumuiga?sijui bwana lakini nionavyo mimi hapo yote yanaweza kuwa majibu!

Kumuweka sawa bwana Ngonyani Lowassa na wewe,nadhani wote wawili mna "tatizo" la kutunza kumbu kumbu,hivi mzee nikikuuliza wewe na lowassa wako kati ya spika na waziri mkuu nani anaanza kupatikana baada ya rais kuingia madarakani?????kama Sitta alikua ana shida ya uwaziri mkuu ilikuwaje akagombea uspika?je alitaka kuwa spika na pia waziri mkuu yeye mwenyewe???naomba watu wote mnaoukubali uongo huu wa lowassa kudai tatizo lilikua ni uwaziri mkuu na si ufisadi wake katika mchakato mzima wa richmond mkae kama kamati kutafuta jibu la swali hili then mumpatie jibu huyu mwenzenu aje anijibu then tuendelee na mengine!!!hapa ni hoja juu ya hoja tu,mwisho wa siku mtanielewa tu labda muwe wakaidi na kuamua kujitoa akili kama the comedy kwa ajili ya "kiu ya maendeleo" ya haraka!
 
Lowassa alipewa oportunity ya uwaziri kishkaji na mshkaji wake jk lakini kwa ujinga akaiabuse yeye nwenyewe nashangaa kina kibanda na kubenea eti wanamtetea huyo mwanaume wao wa shoka!
 
Tanzania....kiukweli nimechoka sana hata Kubanda nae yumo?kumbe hata Kubenea?hee kweli hii ni tanzania zaidi ya uijuavyo..Sita hata kama ni mnafiki lakini ansema ukweli jinsi mali inavyotafunwa.Mnataka atoke ili mle vizuri kwa kuwa hakutakuwa wa kuwasema.Imekula kwenu
 
Nchi ya maajabu haikosi la ajabu...unaandika ya Sitta ni yeye tu uliemuona?!! badala tujadili haya ya dola kupaa na shilingi kuporomoka tunapiga majungu!!

kweli kwa huu upuuzi unaoendelea wa hii ni katiba ikataeni blah..blah...na wengine huu ni mswada wa kuanzisha mswada wa mswada wa....blah blah... ikifika December dola itakua sh. 3000/=
 
kweli kwa huu upuuzi unaoendelea wa hii ni katiba ikataeni blah..blah...na wengine huu ni mswada wa kuanzisha mswada wa mswada wa....blah blah... ikifika December dola itakua sh. 3000/=


kweli kabisa kamanda!
 

bado unasimamia maoni yako? au utayabadilisha kidogo
 
Nchi ya maajabu haikosi la ajabu...unaandika ya Sitta ni yeye tu uliemuona?!! badala tujadili haya ya dola kupaa na shilingi kuporomoka tunapiga majungu!!
hivi unajua sita hajaondoka kwenye nyumba ambayo alitakiwa akae spika makinda?unajua kuwa sita anapata previllage kama za spika mpaka sasa na bado anapata za uwaziri?mtadanganyika mpaka milele wa tz!kuweni macho huyu jamaa ni fix tu,ni mroho wa madarka nafikiri kuliko wana magamba wote!
 
Watanzania tupo ndani ya ukumbi wa sinema tunabadilishiwa cd tu mara bongo movie,mara hollwood movie,mara bolingo time, hind style. Kaaaaazi kwelikweli
 

Mzee,unamtetea Sitta?
Hata mimi sikumoja nitaanika uwozo wake,ngoja niendelee kumjifunza.
Lakini kwa nililolisikia jana Karagwe akizungumza,nitaenda Karagwe na Urambo kuwaambia aliyesema maneno hayo ni Sitta wa namna gani.
 
Sasa wewe! Unajua kundi la JK Sita alikuwa na jukumu gani? Kwani si ni mipango tu? 6 aliambiwa achukue fomu ya uspika, flash back 1995 ile ndege iliyokuwa na wanamtandao baada ya kuangushwa na Ben, kumbuka hapa ni JF usije kitoto, watu wana data mkuu tena za uvungu wa chumbani. kukosa uwaziri mkuu ndo chanzo cha zengwe na kujipa umaarufu HEWA wa uzalendo, au unabisha ufunuliwe carpet?
 

Rostam na Lowasa sio tishio kwa CDM, tuna deal na tishio. Hivi leo hii ccm wakimsimamisha lowasa si wamekwisha, itakuwa kumsukuma mlevi aingie gerezani, sasa Dr kashawaonyesha ccm kuwa Sita hafai maana ni msaliti na kigeugeu. Watu wanafikiria mbali mjomba....
 
Sasa na wewe usiyejuwa maana ya Reputation power tukuiteje? zuzu! zezeta au ngumbaru? huwezi kumfikia Absalom Kibanda kwa lolote lile kapuku wewe.
Yaani mtu anayetumwa naona na wewe mnatumwa na gazeti lenu mumvuruge SITTA ni afadhali mngeenda kwa Rostam na Lowassa kwani hamjui ni nini kipo nyuma ya pazia katika kuuwania Urais kuliko unavyowatukana wachangiaji. kwa kweli Matola wewe ndio hujui lolote acha watu watoe mawazo yao usiwakataze
 
jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza.
ya Lowasa na Rostam tumeyasikia sana japo mimi nalifahamu suala la richmond zaidi, sasa KIBANDA tupe na hayo ya Samwel ili tuone ni nani zaidi ya wenzake.
 
kidogo ninachofahamu ingawa umri wangu mdogo na siasa niliaanza kufuatilia miaka michache iliopita

mh. Jk mpya huyu wakati wa mbio za urais 2005 aliwaahidi watu hawa wawili yaani 6 na Edwadi katika mazingira tofauti Uwaziri Mkubwa.

mungu si athumani jk akaukwaa urais
katika vikao vya ndani na siri kati ya jk na Edu ikasemekana jk anamtosa mzee 6 upm
k wa maelezo ya kuwa PM wake hawezi kumpa shikamoo.

mipango ikasukwa na KM wetu mzee 6 apewe Uspika jamaa akagoma,wakamwambia sio lazima kama hutaki unaacha,mzee 6 shingo upande akakubali hata pesa ya kuchukulia fomu alipewa .
maandalizi ya kaanza kumbuka Mzee Msekwa mwanzo alitangaza kutogombea tena Uspika,gafla akatangaza atagombea uspika tena

kumbuka jamaa akaanza kulalamika ooh rafu nyingi (mzee Msekwa) huyo,
ikabidi ampigie cm JK akamuuliza vp nasikia unamtu wako unataka awe spika!,jk akasema sina mtu kabisa ila kilichotokea tulikiona
ktk process ya kumuweka 6 madarakani mh Edu na KM wamehusika kwa kugawa pesa na kumfanyia kampeni chafu na mnzuri
hadi mke wa KM kashiriki kumuweka 6 madarakani kwa kutengeneza maandazi kwa ajili ya wajumbe

so wanajuana sana, thus way walikuwa na ugomvi na kimadaraka
KM alishawahi kusema kuwa sina shisa na uwaziri,wengine wanachuki na mm kwa kuwa hawakupata madaraka waliyoyataka

Je unajua kuwekwa kwa kipindi cha maswali ya papo kwa papo unajua lengo lilikuwa kumkomoa mh Edu?
 
Sita anacheza mchezo asioujua, hapa Dr. Slaa ndiyo amemaliza kila kitu huko CCM, anafunuliwa mchana kweupe anaanikwa juani tunamsoma.

Six ni mnafiki hana upambanaji wowote
 
Nakubaliana na hoja yako ila kaa chini na kufikiria......

"""Mlinda wezi ni Jambazi""

Kafunika vingi tu huyu...kibaya zaidi ni yeye kujifanay anauchungu na sisi.....fikiria nyumba anayoishi ambayo ni ya spika, so zile gharama zooooote tokea mama Makinda kawa spika, na kulipia pango ni sawa na yeye kuzifisadi. almost $8,000/month...alafu istoshe Kwa nini akubali mafao ya spika mstaafu wakati yeye sio mstaafu??? kazima hoja nyingi sanaaaa.

Tunamlaumu Lowasa ( sio msafi hata chembe) ila madili ya wizi yao EL & LA...yalipita chini ya mikono yake....mbona hakusimamia makusudio ya kamati ya Mwakyembe?? si ili apate uongozi? Unamchukuliaje mtu mwenye uchu wa madaraka?? Si ndo fisadi zaidi??
Tafakari Sita nae mwizi tu kama wezi wengine
 
 
kama ikishindwa jadema Raisi anayefaa ni lowasa tu, kama hutaki hama nchi
 
 
Vipi hiki kitabu kilishatungwa? na je hii haina uhusiano na kilichompata mpiganaji huyu controversial?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…