Absalom Kibanda (Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri) avamiwa na watu wasiojulikana na kujeruhiwa

Kwa mtizamo wako CHADEMA wana interest gani na Kibanda kiasi cha kumpiga, kumjeruhi na kumwacha bila kumuua? Ninafikiri kama wana bifu naye kwa vyovyote vile wangekwenda na bunduki na si haya marungu na mapanga? Na kwa hakika kama kuna ushahidi walitaka kuuficha, basi wangemchinja kabisa, wasingemwacha hai. Kwa mtizamo wangu naona kuna watu wamefanya haya ili kucall attention fullani, na hilo kwa hakika limefanywa na CCM ili kuibua propaganda kama hizi zinazoendelea hivi sasa za kwamba eti CHADEMA ndiyo wamamshambulia Kibanda. Ni vema watu wajue kwamba CHADEMA haimiliki gazeti, na haina sababu zozote za kumshambulia Kibanda kwa namna yoyote ile kwa kuwa hana maslahi yoyote na CHADEMA otherwise, Liliani Mbowe mmiliki wa gazeti anaweza kuulizwa, japo sioni connection kulingana na mazingira ya tukio.
 
ina maana mkuu ule mgogoro uliomfanya kibanda ahame gazeti lao ndio jamaa wameamua kumfanyia haya?

nadhani wewe utafutwe ulisaidie jeshi la polisi inaonekana unaahbari za kutosha juu ya mpango huu ....mlikaa hotri gani kupanga haya
 
Polisi waanze uchunguzi na gazeti la tanzania daima na chadema. kwani hatuelewi ni kwanini alikimbia huko alipokuwa mhariri wa hilo gazeti la mwenyekiti wa chama.
There you are, ulijuaje mkuu.
 
Huu ni UGAIDI,ni UKATILI uliofanywa na AL-QAIDA na washirika wao AL-SHABABU.Lazima CIA na FBI waja wafanye uchunguzi na kuwachukulia hatua za kuwapeleka GWANTANAMO hawa MAGAIDI maana serikali yetu ni DHAIFU sana.DR.NCHIMBI njoo na MATAMKO yako yale ya ZANZIBAR.Chezea BUKU HARAMU weye!
 
Mpango wa Rostam, Lowassa na Bashe ndio maaana walimwamisha Tanzania Daima ili wapate full Data na Mida yake ya kurudi home ndio maana kaumizwa.Nasikia Wamemtoa Jicho Moja.Tamaa Mbele Mauti Nyuma.Si alikimbilia Dau kubwa.Mungu amsaidie.
Mkuu pengine una point ila hujaweka sawa. Mwisho inaonekana kama unapiga story za kijiweni. Kwahiyo unamaana wamemleta habari corp ili awe karibu nao, then wamdhuru!!!!!!?
 
Hivi wewe mzima kweli?

wewe ni mburula kitambo , nilikuaminia sana nikidhani unabusara lakini kadri siku zinavyokwenda nakuona unafaidika na udhalimu wa serikali hii ndiyo maana commited anakupa za uso,mimi ni mstaafu pia lakini naona wewe ndiye mgonjwa
 

nakubaliana nawe mkuu. Yani jukwaa limekuwa ni mashindano za pande 2 kisiasa, kidini kwa mashindano ya kejeli na uzushi usio na ushahidi.
Kwa muda mrefu JF kimekuwa kisima cha hoja, fikra endelevu. Ni vyema tusiharibu hii sifa. Just imagini ni blog gani tz au east africa ambayo anytime unapo log in unakutana na zaidi ya wasomaji 20,000!!!!!????
 
tanzania sasa hakuna amani ukieleza ukweli unajeruhiwa ikiwa ishara kukuziba mdomo
 
Achana nao hao hawana lolote wanaropoka baada ya kudanganywa na mwenzao humu anajifanya mwandishi wa habari!
Ujinga wa namna hii umefanywa na offisi mpya hili kuichafua ofisi ya awali na cdm!

 
Mkuu pengine una point ila hujaweka sawa. Mwisho inaonekana kama unapiga story za kijiweni. Kwahiyo unamaana wamemleta habari corp ili awe karibu nao, then wamdhuru!!!!!!?

haswaaa ...wamemleta karibu ili wamtie kikaangoni....hiyo mbinu ilikuwa inatumiwa na Russia,Cuba,Zchekoslovakia na washirika wao wa u-communist ikiwemo tz na hasa walitumia vidada virembo sana ....unajipatia toto unalifakamia unaliweka kati amri kwa sana mnafunga na ndoa kumbe anakuwa wakati mwingine hata ni mke wa mtu ila yuko kazini.Pia nasikia miongoni mwa hao aliowataja mdau kuna mmoja anachezewa huo mchezo na mrembo wake pasipo yeye kujua ,anajua ni mke kumbe mtu yu kazini ,usicheze na dunia
 
Ni vigumu sana kuwa na chombo cha kisasa kinachopima uzito wa hoja ...ndio maana kukawa ibara ya 18 kwenye katiba ya uhuru wa maoni,tatizo hapa si michango ya wadau ila wengi wanakiu ya mabadiliko na wanahisi yanachelewa so anatfutwa mchawi ambaye tayari tunamfahamu
 


Siasa Chafu za CCM na wapenzani wao.CIA na FBI kamata hawa jamaa na peleka Gwantanamo maana wanataka kutuharibia nchi yetu kwa faida ya matumbo yao na Familia zao.Bungeni na kwenye majukwaa ya siasa wanatokwa na mapovu na udenda utazani wanaitakia mema nchi hii kumbe wanatafuta Neema ya matumbo yao na familia zao
 
...Ndiyo zao, wanatuma wa kukudhuru then wanakuwa wa kwanza kukutembelea... !! safari hii kuzuga, wanamtanguliza Ronaldhinyo !
Ili uwapoteze lengo polisi,waache kuchunguza na kukugundua, unashauri waanzie mahala pengine ili wewe uendelee kufaidi fedha uliyolipwa kwa ufedhuli huo...
 

Tanzania Daima gazeti la Mbowe,Lilian Mke wa Mbowe na Mmiliki wa Chadema ni Mbowe! Bado huoni Connection?
 

nimekupata mkuu. You hv realy thought aloud. Wanatafuta pa kutokea.
 
Wewe ni msemaji/wakili wao?
 
Yakitokea Bara ni majambazi lakini Zanzibar ni magaidi! kizungumkuti hicho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…