Absalom Kibanda (Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri) avamiwa na watu wasiojulikana na kujeruhiwa

Absalom Kibanda (Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri) avamiwa na watu wasiojulikana na kujeruhiwa

Unapotezea eeh? Naategemea Waandishi wa habari mjikite zaidi katika habari za uchambuzi wa kina kuliko kuripoti matukio jambo analoweza kufanya mtu yeyote mradi anajua kuandika kiswahili... Kwa nini tunajidanganya eti Tanzania ni nchi ya amani, ni kisiwa cha amani, ni nchi salama, na hii yote ni kazi ya chama tawala!!!!
Hakuna cha uchunguzi hapa... mhusika anajulikana (UDHAIFU WA SERIKALI NA VYOMBO VYAKE KUMLINDA MTANZANIA)...
anayetaka uchunguzi amemiss maigizo ya kamanda Kova...
Ila wafitini wote mnaolipwa vijisenti kujikimu matumboyenu ili kulichafua gazeti la T.daima,viongozi wa Cdm na Cdm yote hamtofanikiwa,mtauwa,mtatekawatu sana lakini mwisho mtaumbuka kama ilivyokuwa kwa ulimboka nawengine,Cdm tunazidi kupaa mana Mungu yuko pamojanasi.Nasasa tupo vijijini tunazidi kuuamsha umma na kuvuna wanachama lukuki!
mchumia tumbo tu huyu. mnafiki na anayechangia kwa kiasi kikubwa kuharibu profession ya uandishi nchini...hii ni dawa ya unafiki, bado yule Bagenda.




644286_550176238346877_35217732_n.jpg


Mbona mnaleta utani na maudhi,
Mwandishi kaumizwa na tunaambiwa katobolewa jicho
Badala ya kumpa pole na kumuombea apone
nyie mnaleta hasira za kisiasa Eti Chama Tawala
"
Kwa nini tunajidanganya eti Tanzania ni nchi ya amani, ni kisiwa cha amani, ni nchi salama, na hii yote ni kazi ya chama tawala!!!!

Humu Tanzani kuna mijitu ina ROHO MBAYA sijawahi ona
Ndugu yangu nakuombea kwa MUNGU upone na Ulimwengu utafahamu ni nani kutoka Rohoni mwako na uwaumbue wote waliokudhuru
na kutaka kukuangamiza maisha yako kwa ajili ya siasa Uchwara za Tanzania
 
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri Mtendaji wa New Habari, Abdalom Kibanda, amekimbizwa Muhimbili baada ya kuvamiwa na kisha kujeruhiwa na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi.

Watu hao walimvamia na kumtoa katika gari kisha wakampiga kabla ya kumtupa na kumtelekeza umbali mdogo na nyumbani kwake.

Aliokotwa na majirani na kukimbizwa hospitalini Muhimbili kwa matibabu ya haraka.

Pamoja na kuumizwa hivyo, hakuna kitu hata kimoja kilichoporwa katika gari lake

attachment.php


Taarifa zaidi baadae...

.........
Waliofanya hivyo Nchemba anawafahamu,Polisi waanze kwa kumkamata kwanza Nchemba awape CD ya wanaopanga mauaji.
 
Ila wafitini wote mnaolipwa vijisenti kujikimu matumboyenu ili kulichafua gazeti la T.daima,viongozi wa Cdm na Cdm yote hamtofanikiwa,mtauwa,mtatekawatu sana lakini mwisho mtaumbuka kama ilivyokuwa kwa ulimboka nawengine,Cdm tunazidi kupaa mana Mungu yuko pamojanasi.Nasasa tupo vijijini tunazidi kuuamsha umma na kuvuna wanachama lukuki!
 
Mungu amponye haraka. Waliomjeruhi are just couple of cowards
 
Polisi waanze uchunguzi na gazeti la tanzania daima na chadema. kwani hatuelewi ni kwanini alikimbia huko alipokuwa mhariri wa hilo gazeti la mwenyekiti wa chama.

......


Usipoteze malengo, wa kuanza nae ni Nchemba maana yeye anayo CD ya watu wanaopanga mauaji.
 
Waanzilishi wa JF na Moderators,

Nina ushauri ninataka niutoe kwenu leo, nimejiunga na JF tangu mwaka 2008 na mambo yalikuwa yanakwenda sawa ni hivi karibuni tu baada ya kuibuka wimbi la vijana wanaomaliza elimu ya kidato cha nne kwa kuchora mazombie ndipo uchangiaji wa mada hata kwa masuala nyeti umekuwa ni wa mzaha, matusi na hoja dhaifu zisizokuwa na mashiko, haiwezekani habari ya kushtusha, kusikitisha, kuhuzunisha na kughadhabisha kama hii baadhi ya watu waandike mambo ya hovyo hovyo kama haya.



.......

Naunga mkono hoja hii asilimia mia moja !
 
Kukaa chini na kuanza kumsifia mwanaume mwenzako ndiyo tukuelewe vipi? Halafu eti unamsifia anajua kiingereza, una akili kweli wewe? Hicho kidume chako Kiranga kuna kilishaandika ''irregardless'' kikiwa na maana ''regardless'' halafu bado unajipendekeza tu. we kweli bonge la nabo.

.........

487900_596904470326178_1766876420_n.jpg

Poleni sana watumwa wa Lugha.
 
We kweli pimbi pori. Hivi ni wapi nimejifananisha na hicho kidume chako? Siyo wewe ndiye uliyeanza kukipromote hapo juu na kuanza kukipa sifa kedekede utadhani kinakununuliaga Caro Light. Sikia wewe changu mimi nimeanza kusoma Kiingereza huyo Kiranga wako anapiga debe stendi ya mabasi Musoma. Moja ya michango yangu ni kushiriki kwenye utungaji wa ''English for Primary Schools 3'' kwa kuandika baadhi ya hadithi za wanyama mle ndani. Sasa kiulize hicho kidume kimeshawahi kufanya kazi gani inayoonekana.
Kuhusu kuulizia maana ya Rep. power, sidhani kama utakuwa na akili kwa kujudge kupitia hilo na kusema sijui kiingereza. Kuna watu wengi walikuwa wanaulizia maana yake na mimi nikaona si vibaya kuwawakilisha. Isitoshe haikuwa ishu ya maana kivile, na mtu mwenye aklili timamu hawezi akakaa na kutumia kama kumbukumbu. Narudia tena wewe ni bonge la pimbi pori.

.......
user-offline.png
Mwita25

3rd February 2012 13:37
#1
JF Senior Expert Member Array


Join Date : 15th April 2011
Posts : 3,852
Rep Power : 1306
Likes Received1118
Likes Given43



icon1.png
Name:Mwita25,


Just learnt that I have invariably been visited by perpetual unjust ban punishments and I think I had enough of it. After a deep and long cogitation, I have come to a strange but equally crucial decision.

I am today officially announcing my departure from this site in protest against harsh and inappropriate judgments I always have been imposed with throughout my entire JF life.

My password, however, is made available to any of my fans who may wish to keep my JF chair warm and would like to continue my reputation over here.
 
Polisi waanze uchunguzi na gazeti la tanzania daima na chadema. kwani hatuelewi ni kwanini alikimbia huko alipokuwa mhariri wa hilo gazeti la mwenyekiti wa chama.

.....

Usipoteze malengo, wa kuanza nae ni Nchemba maana yeye anayo CD ya watu wanaopanga mauaji.
 
Ehee Mungu mponye mtoto wako katika Jina lenye Uweza la YESU amina.
 
Hivi ni kwani siku hizi picha ya hp jamvini inawekwa giza?

Pole sana A. Kibanda na MUNGU akupe nguvu upone mapema!
 
But all in all,hebu hili liwe fundisho kwa waandishi wa habari wa Tanzania,tusijidanganye kuwa
tunapofanya uzalendo kwa ukawadhuru mafisadi,then baada ya muda tunajirudi na kuungana nao,
kwa kujidanganya kuwa watasahau majeraha tuliyokwisha wajeruhi hapo nyuma.

Lile lililofanyika kwa Jerry Muro na hili la Kibanda ni mwendelezo wa malipo mabaya kwa wema ambao
unafanywa na waandishi kuwaeleza ukweli watanzania, bali ikawa mwiba kwa watu wachache,ndipo
wanawataka kujiunga kwao kwa maslahi mazuri ili kuwa karibu yao na iwe rahisi kutimiza matakwa yao.

Na kwa Kibanda jamaa wameona wapige ndege wawili kwa jiwe moja,moja iwe kama ya Muro kumkomoa
mhusika, na pili iwe kama ya Chacha Wangwe auziwe kesi Mbowe na CDM.Kuweni makini"
 
Haya sasa kova atafute gangsta mwingine ampeleke kwenye makanisa manabii na mitume then akamkamate huko
 
user-offline.png
Mwita25

3rd February 2012 13:37
#1
JF Senior Expert Member Array


Join Date : 15th April 2011
Posts : 3,852
Rep Power : 1306
Likes Received1118
Likes Given43



icon1.png
Name:Mwita25,


Just learnt that I have invariably been visited by perpetual unjust ban punishments and I think I had enough of it. After a deep and long cogitation, I have come to a strange but equally crucial decision. I am today officially announcing my departure from this site in protest against harsh and inappropriate judgments I always have been imposed with throughout my entire JF life. My password, however, is made available to any of my fans who may wish to keep my JF chair warm and would like to continue my reputation over here.

......

Unazidi kudhihirisha kwamba una kaugonjwa ka kupenda waume za watu. Haiwezekani mada iongelewe nyingine wewe uanze kunitumia posts za watu gani sijui.
 
Ili uwapoteze lengo polisi,waache kuchunguza na kukugundua, unashauri waanzie mahala pengine ili wewe uendelee kufaidi fedha uliyolipwa kwa ufedhuli huo...

......

Cku zote polisi huanzia uchunguzi pale penye maadui wa majeruhi. Tanzania Daima ni mahali muafaka, ijulikane kwa nini aliondoka tena ghafla huku akiwa tegemeo kubwa la gazeti hilo?

Kama alifuata dau Habari Corporation, haiingii akilini kuwa mtu muhimu namna hiyo Tanzania Daima walishindwa kumlipata ili wam retain. Kuna jambo hapo, usi we mbishi bila kisa
.
 
Kwanza ni vema sote tukamuomba Mwenyezi Mungu amsaidie apone haraka, na arudi katika hali ya kawaida. Kuhusu uchunguzi hakuna la maana litakalofanyika. Kama Kibanda angekuwa Kamishna wa Polisi au RPC, hapo ndipo uchunguzi wa kweli ungefanyika. Tupo pamoja katika majonzi.
 
Back
Top Bottom