Absalom Kibanda (Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri) avamiwa na watu wasiojulikana na kujeruhiwa

Absalom Kibanda (Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri) avamiwa na watu wasiojulikana na kujeruhiwa

Pole sana kibanda,tunakuombea kwa mola upone haraka. Wanaokuita mpiganaji leo wengi wao walikuita majina ya ajabu ilipotoka tarifa ya kuhama kwako toka free media kwenda habari corp...
 
Kama kawaida, kwa kupitia jf, be the first to know, kuwa hivi sasa, juhudi zinafanywa kumhamisha Kibanda kwenda nchini Afrika Kusini kwa matibabu zaidi. Juhudi hizi zinaratibiwa na Jukwaa la Wahariri kwa ushirikiano wa karibu na baadhi ya wadau watakao gharimia safari hiyo!.

Japo ni kawaida kwa serikali kupeleka baadhi ya wagonjwa nje ya nchi, preference ya kwanza ya serikali ni kupeleka wagonjwa India kwa sababu its cheaper kuliko Afrika Kusini ambapo gharama ziko juu!.

Hili la Kibanda kupelekwa A. Kusini, linazidi kumshabihianisha Kibanda na Dr. Dr. Ulimboka, wote walivamiwa usiku na watu wasiojulikana, wote walifanyiwa jinai ya kudhuru mwili, wote walihudumiwa kwanza MOI, na baadae kupelekwa nchini Afrika Kusini, juhudi za kwanza ni kusafirishwa kwa michango ya wadau na baadae serikali ikatumbukiza mkono wake.

Mara ya mwisho kukaa na Kibanda ni mwezi Desemba, mara tuu baada ya kuhama Tanzania Daima, tulikutanishwa mahali na mwana jf Omar Ilyas, na miongoni kwa swali kubwa langu kwa Kibanda, nilidadisi ni kwa nini amehama Tanzania Daima kuelekea Mtanzania, alichonijibu nilibaki tuu kushangaa bila kumuamini. Kwa vile jibu lile lilikuwa off the record, lakini maadam haya yamentokea, naanza to connect the dots!.

Kwa sasa, tuendelee kwanza kumtakia uponyaji wa haraka na mengine yatafuatia!.

We keep on wishing him a speedy recovery and get well soon!.

Pasco
Umeanza fitina zako sasa!! utapungukiwa na nini kama ukikaa kimya kwa kitu usichokijuwa?

Hivi hujui magaidi wa Al qaeda related by Muslim Mujahedeen Tanzania walishalipa onyo gazeti la Mtanzania kwa ile habari ya Markaz kurecruit magaidi Ukerewe?

Kwa kweli ningependa kuweka wazi kabisa hata wewe Pasco nikisikia umemwagiwa Tindikali wala siwezi kushangazwa, kuishi kwa umbea umbea mjini kuna gharama zake. simama kwenye kweli na kweli itakuweka huru milele.

Sijawahi kusikia Mwalimu Mkuu wa watu Pascal Mayenga,akipewa vitisho wakati kila wiki yeye ana makala za kumkosoa na kumuelimisha JK.
 
Ukifanyakazi mahala huruhusiwi kuhama? je na wale waliohama redio Tz na kukimbilia redio binafsi je nao waulizwe?
Polisi waanze uchunguzi na
gazeti la tanzania daima na chadema. kwani hatuelewi ni kwanini
alikimbia huko alipokuwa mhariri wa hilo gazeti la mwenyekiti wa
chama.
 
Kinacho tusumbua tulio wengi ni maslahi,ustawi na heshima.Kwa sasa siwezi changia chochote kwa undani,ila kikubwa ni kumuombea apone haraka ili yeye mwenyewe aweze kuthibitisha undani wa wavamizi wale.

Sisi sote yatupasa kuendana na kweli daima maana ni kweli tu ndiyo itakayotuweka huru.
 
Mmojawapo ya ID inayotumika na kampuni ya wanazi wa vikundi vya kiislamu; Ritz ilipost hivi siku ile Mtanzania lilipotoa habari ya Chuo cha ugaidi Ukerewe
Pasco kipofu ameshaanza propaganda zake uchwara.
 
Last edited by a moderator:
Kama kawaida, kwa kupitia jf, be the first to know, kuwa hivi sasa, juhudi zinafanywa kumhamisha Kibanda kwenda nchini Afrika Kusini kwa matibabu zaidi. Juhudi hizi zinaratibiwa na Jukwaa la Wahariri kwa ushirikiano wa karibu na baadhi ya wadau watakao gharimia safari hiyo!.

Japo ni kawaida kwa serikali kupeleka baadhi ya wagonjwa nje ya nchi, preference ya kwanza ya serikali ni kupeleka wagonjwa India kwa sababu its cheaper kuliko Afrika Kusini ambapo gharama ziko juu!.

Hili la Kibanda kupelekwa A. Kusini, linazidi kumshabihianisha Kibanda na Dr. Dr. Ulimboka, wote walivamiwa usiku na watu wasiojulikana, wote walifanyiwa jinai ya kudhuru mwili, wote walihudumiwa kwanza MOI, na baadae kupelekwa nchini Afrika Kusini, juhudi za kwanza ni kusafirishwa kwa michango ya wadau na baadae serikali ikatumbukiza mkono wake.

Mara ya mwisho kukaa na Kibanda ni mwezi Desemba, mara tuu baada ya kuhama Tanzania Daima, tulikutanishwa mahali na mwana jf Omar Ilyas, na miongoni kwa swali kubwa langu kwa Kibanda, nilidadisi ni kwa nini amehama Tanzania Daima kuelekea Mtanzania, alichonijibu nilibaki tuu kushangaa bila kumuamini. Kwa vile jibu lile lilikuwa off the record, lakini maadam haya yamentokea, naanza to connect the dots!.

Kwa sasa, tuendelee kwanza kumtakia uponyaji wa haraka na mengine yatafuatia!.

We keep on wishing him a speedy recovery and get well soon!.
Pasco
Mkuu pasco fanya connection haraka na mwaga story tujue sababu hasa ya kufanyiwa mbaya.Nilistaajabu sana kuondoka Tz daima na kuhamia Mtz huku kesi yake na mwigamba ikiwa haijatajwa.
 
aya matukio yaliyoanza kuibuka hivi karibuni, ya kuumizwa kwa watu yatatupeleka pabaya kama hatua za haraka za kudhibiti hazitachukuliwa. ila tukumbuke usemi kuwa ngoma ikivuma sana.....,. pole kaka mungu akupe ahueni upate kupona. naanza iona tanzania ikibadirika na ile sifa yake ya amani.
 
Mkuu pasco fanya connection haraka na mwaga story tujue sababu hasa ya kufanyiwa mbaya.Nilistaajabu sana kuondoka Tz daima na kuhamia Mtz huku kesi yake na mwigamba ikiwa haijatajwa.
Akili yako imejaa kamasi kama unamtegemea Pasco kukupa vivid evidence, ungekuwa na akili ungeanza kuomba Invisible asitishe ban ya Ritz ili aje kufafanuwa ile kauli ya Waislamu anowajuwa yeye kuhusu gazeti la Mtanzania.

CC: chama
Invisible tunaomba muilift ban ya Ritz kuna kila ushahidi anajuwa mipango hii tangu awali na ushahidi upo humu humu JF. achaneni na porojo za Pasco.
 
Last edited by a moderator:
KIBANDA+2.JPG
KIBANDA+1.JPG
KIBANDA+4.JPG
KIBANDA+3.JPG
 
Ukimuuliza FREEMAN MBOWE na GODBLESS LEMA. Watakwambia kilimchotokea Absalom Kibanda.

Na kwa kuwa wana wapambe wao humu ndani. Waambieni kwamba malipo ni humu humu duniani.
 
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri Mtendaji wa New Habari, Abdalom Kibanda, amekimbizwa Muhimbili baada ya kuvamiwa na kisha kujeruhiwa na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi.

Watu hao walimvamia na kumtoa katika gari kisha wakampiga kabla ya kumtupa na kumtelekeza umbali mdogo na nyumbani kwake.

Aliokotwa na majirani na kukimbizwa hospitalini Muhimbili kwa matibabu ya haraka.

Pamoja na kuumizwa hivyo, hakuna kitu hata kimoja kilichoporwa katika gari lake

attachment.php

Taarifa zaidi baadae...

.....

Sasa hii nooma sana.Pole Kibanda, get well quick.
 
dr mwakyembe-sumu= mbeya
prof mwandosya-sumu=mbeya
ndg mwangosi -bomu=mbeya
dr ulimboka-kipigo kikali=mbeya
ndg kabanda -kuvamiwa =mbeya

whats wrong with mbeya especially kwa wanyakyusa tu
tutafakari kwa pamoja pasipo kuweka dhana ya ukabila ila tujiulize kwanini mbeya na wanyakyusa tu?
 
Ukimuuliza FREEMAN MBOWE na GODBLESS LEMA. Watakwambia kilimchotokea Absalom Kibanda.
Na kwa kuwa wana wapambe wao humu ndani. Waambieni kwamba malipo ni humu humu duniani.
sawa lakini mchanganye na Sheikh Mazige Diwani wa CCM Ukerewe kwa nini hakutaka ile story ya Chuo chake cha Markaz iendelee katika Gazeti la Mtanzania?
Yaani kitendo cha kumtoa jicho mwenzako ni kumharibia maisha kabisa na hii kwa Uandishi wa Habari ni balaa
Mimi naomba Mods wamuonee huruma Ritz tujue anasemaje kuhusu hili sakata la kuhusisha na story za Mtanzania?
 
Kwa Faida ya JF Invisible tunaomba Ritz afunguliwe huyu jamaa ana taarifa muhimu sana juu ya tukio hili.
 
Last edited by a moderator:
Mambo kama haya yanavumiliwa Tanzania tu.

Lakini hatimae siku yaja haki itashinda uovu.Mambo yote yaliyoko sirini yatawekwa hadharani,hata wote wanaoficha ukweli usisemwe utawekwa hadharani.

Wengi mtatumika lakini tutatambuana hapahapa duniani.
Watu wanasahau vyeo vinavyowalinda ni vya kitambo.
 
Sijui kwa nini akili yangu haitaki kuamini kuwa kuna mkono wa dini kwenye huu ufedhuli...
 
ni wakati wa waandishi wa habari kushikamana. acheni kuwa waandishi kanjanja. acheni kutumika kama condom. Kuweni kitu kimoja muwatumikie wananchi na dunia kwa ujumla. Tambueni nyinyi ni watu Muhimu sana kwenye dunia ya sasa. Mkishikamana mtaheshimika na kuogopwa pia. pole sana mwandishi!. mia
 
kosa kubwa waandishi wa habari ambalo walilifanya ni kwenye tukio la ulimboka na mwangosi hamkusimama kidete mligawanyika na msipoangalia mtakufa wote,waandishi ambao wapo salama ni wa UHURU na JAMBO LEO tu.nitaeleza siku nyingine sababu zake kwa kuwa upelelezi wangu haujafika mwisho.

mtweve huko sahihi kabisa ,hivi karibuni baada ya Kibanda kuhamia Mtanzania amelipa uhai sana gazeti hilo na kuonyesha kabisa anafanya kazi kwa weledi.Makala moja ya Jumapili ya kuandika Urais ccm 2015 kete ya udini ya tumika na wafuasi wamfuata rais mstaafu kucheza karata yake na makala nyingine ni ya chuo cha ugaidi Ukerewe.Kibanda alipohama Tanzania Daima wafuasi wengi walionyesha kutokubaliana naye kutokana na mtazamo wake wa awali na makala yake juu ya ccm na sera zake ,lakini siyo uhasama au kisasi cha kutoa uhai wake na kama ni kisasi kwa nini vijana au watu wa chadema wanahama wanakwenda ccm na bado wanapeta mitaani tu bila shida yoyote tazama meya wa mahakama kule Mwanza bwana Matata anapeta tu mitaani, Chagulani ,shitambala,madiwani watano wa Arusha,Shonza,Mwapamba,Ni wengi tu.Siasa siyo vita ya kutoana uhai ni mapambano ya maendeleo na haki. CHADEMA itakuwa ya mwisho kufanya uasi na unyama kama aliofanyiwa Kibanda.CHADEMA imepata maswahibu mengi sana kutoka kwenye uongozi wa ovyo wa ccm na haijawahi kufanya ushetani kwa mwanachama au kada yeyote ni mtu wa ovyo na mtazamo hasi kama wachache wenu Pasco wanaotegemea kuunganisha dots kuunganisha CHADEMA au uongozi wa Tanzania daima na uchafu huo.Pia hivi sasa gazeti la Tanzania Daima limezidi kuimarika sana.Hivi sasa kufikia saa tano/nne tu gazeti limekwisha na matangazo yameongezeka sana .Kama siku za Wkd gazeti ni shida sana usiponunua mapema sana na wauza magazeti sasa wanakimbilia kuuza Tanzania Daima zaidi kuliko gazeti lingine kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom