Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeanza fitina zako sasa!! utapungukiwa na nini kama ukikaa kimya kwa kitu usichokijuwa?Kama kawaida, kwa kupitia jf, be the first to know, kuwa hivi sasa, juhudi zinafanywa kumhamisha Kibanda kwenda nchini Afrika Kusini kwa matibabu zaidi. Juhudi hizi zinaratibiwa na Jukwaa la Wahariri kwa ushirikiano wa karibu na baadhi ya wadau watakao gharimia safari hiyo!.
Japo ni kawaida kwa serikali kupeleka baadhi ya wagonjwa nje ya nchi, preference ya kwanza ya serikali ni kupeleka wagonjwa India kwa sababu its cheaper kuliko Afrika Kusini ambapo gharama ziko juu!.
Hili la Kibanda kupelekwa A. Kusini, linazidi kumshabihianisha Kibanda na Dr. Dr. Ulimboka, wote walivamiwa usiku na watu wasiojulikana, wote walifanyiwa jinai ya kudhuru mwili, wote walihudumiwa kwanza MOI, na baadae kupelekwa nchini Afrika Kusini, juhudi za kwanza ni kusafirishwa kwa michango ya wadau na baadae serikali ikatumbukiza mkono wake.
Mara ya mwisho kukaa na Kibanda ni mwezi Desemba, mara tuu baada ya kuhama Tanzania Daima, tulikutanishwa mahali na mwana jf Omar Ilyas, na miongoni kwa swali kubwa langu kwa Kibanda, nilidadisi ni kwa nini amehama Tanzania Daima kuelekea Mtanzania, alichonijibu nilibaki tuu kushangaa bila kumuamini. Kwa vile jibu lile lilikuwa off the record, lakini maadam haya yamentokea, naanza to connect the dots!.
Kwa sasa, tuendelee kwanza kumtakia uponyaji wa haraka na mengine yatafuatia!.
We keep on wishing him a speedy recovery and get well soon!.
Pasco
Polisi waanze uchunguzi na
gazeti la tanzania daima na chadema. kwani hatuelewi ni kwanini
alikimbia huko alipokuwa mhariri wa hilo gazeti la mwenyekiti wa
chama.
Mkuu pasco fanya connection haraka na mwaga story tujue sababu hasa ya kufanyiwa mbaya.Nilistaajabu sana kuondoka Tz daima na kuhamia Mtz huku kesi yake na mwigamba ikiwa haijatajwa.Kama kawaida, kwa kupitia jf, be the first to know, kuwa hivi sasa, juhudi zinafanywa kumhamisha Kibanda kwenda nchini Afrika Kusini kwa matibabu zaidi. Juhudi hizi zinaratibiwa na Jukwaa la Wahariri kwa ushirikiano wa karibu na baadhi ya wadau watakao gharimia safari hiyo!.
Japo ni kawaida kwa serikali kupeleka baadhi ya wagonjwa nje ya nchi, preference ya kwanza ya serikali ni kupeleka wagonjwa India kwa sababu its cheaper kuliko Afrika Kusini ambapo gharama ziko juu!.
Hili la Kibanda kupelekwa A. Kusini, linazidi kumshabihianisha Kibanda na Dr. Dr. Ulimboka, wote walivamiwa usiku na watu wasiojulikana, wote walifanyiwa jinai ya kudhuru mwili, wote walihudumiwa kwanza MOI, na baadae kupelekwa nchini Afrika Kusini, juhudi za kwanza ni kusafirishwa kwa michango ya wadau na baadae serikali ikatumbukiza mkono wake.
Mara ya mwisho kukaa na Kibanda ni mwezi Desemba, mara tuu baada ya kuhama Tanzania Daima, tulikutanishwa mahali na mwana jf Omar Ilyas, na miongoni kwa swali kubwa langu kwa Kibanda, nilidadisi ni kwa nini amehama Tanzania Daima kuelekea Mtanzania, alichonijibu nilibaki tuu kushangaa bila kumuamini. Kwa vile jibu lile lilikuwa off the record, lakini maadam haya yamentokea, naanza to connect the dots!.
Kwa sasa, tuendelee kwanza kumtakia uponyaji wa haraka na mengine yatafuatia!.
We keep on wishing him a speedy recovery and get well soon!.
Pasco
Akili yako imejaa kamasi kama unamtegemea Pasco kukupa vivid evidence, ungekuwa na akili ungeanza kuomba Invisible asitishe ban ya Ritz ili aje kufafanuwa ile kauli ya Waislamu anowajuwa yeye kuhusu gazeti la Mtanzania.Mkuu pasco fanya connection haraka na mwaga story tujue sababu hasa ya kufanyiwa mbaya.Nilistaajabu sana kuondoka Tz daima na kuhamia Mtz huku kesi yake na mwigamba ikiwa haijatajwa.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri Mtendaji wa New Habari, Abdalom Kibanda, amekimbizwa Muhimbili baada ya kuvamiwa na kisha kujeruhiwa na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi.
Watu hao walimvamia na kumtoa katika gari kisha wakampiga kabla ya kumtupa na kumtelekeza umbali mdogo na nyumbani kwake.
Aliokotwa na majirani na kukimbizwa hospitalini Muhimbili kwa matibabu ya haraka.
Pamoja na kuumizwa hivyo, hakuna kitu hata kimoja kilichoporwa katika gari lake
![]()
Taarifa zaidi baadae...
.....
sawa lakini mchanganye na Sheikh Mazige Diwani wa CCM Ukerewe kwa nini hakutaka ile story ya Chuo chake cha Markaz iendelee katika Gazeti la Mtanzania?Ukimuuliza FREEMAN MBOWE na GODBLESS LEMA. Watakwambia kilimchotokea Absalom Kibanda.
Na kwa kuwa wana wapambe wao humu ndani. Waambieni kwamba malipo ni humu humu duniani.
Kwa Faida ya JF Invisible tunaomba Ritz afunguliwe huyu jamaa ana taarifa muhimu sana juu ya tukio hili.sawa lakini mchanganye na Sheikh Mazige Diwani wa CCM Ukerewe kwa nini hakutaka ile story ya Chuo chake cha Markaz iendelee katika Gazeti la Mtanzania?
Yaani kitendo cha kumtoa jicho mwenzako ni kumharibia maisha kabisa na hii kwa Uandishi wa Habari ni balaa
Mimi naomba Mods wamuonee huruma Ritz tujue anasemaje kuhusu hili sakata la kuhusisha na story za Mtanzania?
kosa kubwa waandishi wa habari ambalo walilifanya ni kwenye tukio la ulimboka na mwangosi hamkusimama kidete mligawanyika na msipoangalia mtakufa wote,waandishi ambao wapo salama ni wa UHURU na JAMBO LEO tu.nitaeleza siku nyingine sababu zake kwa kuwa upelelezi wangu haujafika mwisho.