Absalom Kibanda: Namuogopa Abdurahman Kinana

Hata sasa wataendelea kuumbuka hawana lolote ni kuropoka tuu!
Kibanda ameumizwa Ccm wanatake oportunity, huku ni kukosa ubinadamu..nakumbuka ile issue ya Chacha Wangwe walifanya hayahaya, tunashukuru Mungu wanatarime waliwadhalilisha vibaya sana na uchafu wao ukafia hapo
 
Sifurahii kilichomtokea lakini gharama za unafiki ni kubwa sana mojawapo ni hili lillilomtokea huyu jamaa mnafiki nilisoma makala yake nikashindwa kujua kama hata ana elimu ya darasa la kwanza ni mburula ngoja ikatibiwe ipone lakini ni linafiki likubwa sana lipone lakini lijipime tena hii tabia yake hata mke wake amshauri aache unafiki aumsaidii chochote zaidi ya kudharaulika katika jamii
 
Tunajua kuwa mmetumwa humu jf ili kuhamisha ukweli wa serikali kuwadhuru wanahabari, watanzania tunatambua kuwa usalama wa wanahabari yapo hatarini kwa kuweka wazi uozo wa watawala
ndugu hawa ndo wapambe wa selikali, huranda randa huko na huko wakiwa na makopo ya poda na marashi huku wakisubiri wakubwa wanye au wajampe, ndipo wao waanze kunyiza poda na uturi ili kuficha harufu. Nawaona humu janvin wamejazana namakopo yao.....
 

mnajua mnayoyajadili? Suspects zenu pelekeni polisi si chama chenu ndio chenye dola? Why keeping a dog and bark yourself ? Stop medling with our time! Msiwafanye watz machizi,mlianza na udini sasa mmepractice umafia na mnaanza kuuaminisha uma ya kwamba ni cdm! Watanzania watapima na wataamua ! Kun'gamua mbivu na mbichi.
 
na nyie mnaposema TISS na polisi wanaua mbona mnajificha? sisi tumejipanga vizuri na katika kipindi hiki wakubwa zenu wataumbuka

Tatizo mnapambana na uhalifu kupitia vyombo vya jabari. Sasa mtu kama Kova anahusisha tukio hilo na uadui tena wa kisiasa ina maana anawajua waliotenda hayo. Kuhama kwa Kibanda toka free media ni kuwalamba miguu wakubwa kutokana na kesi inayomkabili hivi sasa. Inabidi awatumikie then nao watamsaidia kufifisha kesi hiyo. Kibanda namuona kama mwana mapinduzi aliyejisalimisha katika vita ya kutetea haki. Ni msaliti wa wanyonge katika kuwapazia sauti kwa kutumia kalamu yake, matokeo yake anakua kibaraka kwa wenye pesa kwa ajili ya maslahi binafsi. Mnaposema cdm wanahusika kisa tu eti aliandika makala ya "NINMWOGOPA ABRAHAMANI KINAA" akiwa free media si kweli, kumbukeni FREEMEDIA sio mali ya chadema bali ni mali ya Mbowe. Kama makala aliypkuwa akiandika ilikua ni kumfurahisha bosi wake akiwa FREEMEDIA na sasa kahamia huko na tabia hizo hizo basi anaonyesha ni jinsi gni alivyokua kahaba ktk TASNIA ya habari amabayo imepelekea hata kuonekana kuwa si mpambanaji. Hana tofauti na Mwakyembe aliyepiga kelele kuhusi FICHMOND walipomtenda sasa hata hamu ya kuisikia RICHMOND hana tena. Tukagundua hakuwa na uzalendo kwa Watanzania ila chuki binafsi dhidi ya Lowasa. Hilo ndo tatizo la Wanasiasa wa Tanzania na baadhi ya wananchi kuwa wanafiki.
 
Sasa kama hata Nape Nnauye ana ropoka kwenye fb bila kujua madhara yake unategemea nini kwa wengine kama hawa!

Unaweza fikiri wao ndio wapinzani kumbe ni wenye serikali!

 
Last edited by a moderator:
Huyu bwana anaandikia gazetu gani? Hata km uhuru wa maoni unaruhusiwa, Naamini sio mtz.

Itakuwa ni uhuru ama mzalendo
 
hi wanachadema. natumaini mmeugulia vibaya sana na maumivu ya hiyo post. hayo mbona hamkujadili ilipopostiwa mwanzo? kweli ukweli unauma sana
 

leo hii mmemgeuka? Ama kweli sasa imebainika kuwa kwa jinsi mlivyomchukia ni wazi kuwa mmemfanya hicho kitendo
 

mtajiju
 
huo si ugomvi wenu wa misikiti?! Uliwahi kuona mkristo akisherehekea kitendo cha shehe kumwagiwa tindikali?.. Mbona nyie mnashangilia, soma website ya uamsho ujue kifo cha mushi kilivyofurahisha kundi hilo la kigaidi.

akidhuriwa mwislamu mnasema ni ugomvi wa msikiti. Akifa au kudhuriwa mkristo mnasema ni waislamu. Acheni udini huo chadema
 
inaonekana nchi inaendeshwa kwa majungu, fitina na unafiki sana. Kama hizi ndio kauli za chama kinachoshika hatamu, kinadai kujua walio nyuma ya tukio na bado kinashindwa kuchukua hatua, ni dhahiri kuwa KIMESHINDWA KABISA. inatakiwa kuacha porojo kufanya vitendo zaidi. Uwezo wote mnao hamfanyi kazi mnabaki kulalamika huku majukwaani kuwa kuna hujma, kwa nini hamchukui hatua kukomesha hilo? Upumbavu gani uliwasonga usoni hata hamjui mnachotakiwa kufanya?? Hizi ni dalili za wazi za kushindwa kiuongozi, kutaka kuaminisha umma uzushi ili kuficha uovu wenu. Ole wenu siku yaja. Watz siku hizi ni waelewa na wachambuzi wa mambo, hizi sio enzi za zidumu fikra cha chama..... Tambueni hilo.
 
akidhuriwa mwislamu mnasema ni ugomvi wa msikiti. Akifa au kudhuriwa mkristo mnasema ni waislamu. Acheni udini huo chadema

Udini hauletwi na CHADEMA, CCM ndiyo wameigawa nchi vipande vipande mwaka 2015 wewe utarudi CUF baada ya mkristo kuwa mgombea urais na JK kumaliza muda wake. Waislamu mnajiapiza kuua wakristo lakini hakuna mkristo anayejiapiza kuwaueni ninyi!.. Rejea hotuba ya USTAADHI ILUNGA.
 
akidhuriwa mwislamu mnasema ni ugomvi wa msikiti. Akifa au kudhuriwa mkristo mnasema ni waislamu. Acheni udini huo chadema

Aisee kama kuna mtu ana akili za kushikiwa na anefikiri kwa makalio ni hili dude,umeokotwa wapi wewe na hayo mambo yako ya udini tena? Wanajadili mengine unaingia na mengine umelewa harufu ya chooni? Hata kama utakuwa mwislamu ww ni mpumbavu na kwa lolote hauwawezi wakristo,hivi umesoma darasa la ngapi wewe nitakujibu vizuri kesho
 
"Wasifu mz i t o n a h i s t o r i a z a k u t u k u k a z a b a a d h i y a wa t e u l e wa n a o u n d a t i mu ‘ mp y a ’ y a v i o n g o z i wa t e n d a j i wa C C M kwa k i wa n g o k i k u bwa n d i c h o k i t u k i k u bwa p e k e e k i n a c h o s a b a b i s h a m t u y e y o t e ma k i n i a j i k u t e a k i p a t a s h i d a k u y a b e z a y a l e y a l i y o f a n ywa n a c h ama h i c h o t awa l a mw i s h o n i mw a w i k i k u l e D o d oma ."


NISEME TU KUWA HUYU JAMAA HAELEWEKI
 
Katika filam ya show down in little Tokyo kuna sehemu huwa naipenda sana. Sehemu hiyo ni mahali fulani hivi ndani, ambapo wanaingia 'maadui', Dolph na Brandon Lee wanawatambua wale jamaa na kuamua kwenda kulianzisha, kabla hawajaenda Dolph anamuuliza Brandon Lee ambaye alikuwa na hamu sana ya kulianzisha :
Dolph: Vp unaogopa?
Brandon Lee: Hapana siogopi
Doplh: Hapana, ogopa kwanza
Braandon Lee: sawa, Sasa naogopa.
Dolph: hapo sawa, sasa twende tukawaanzishie.
Hapa mnaweza kuwa mlielewa nini na vp katika mazungumzo hayo?
 
Duh hii ni hatari......Njaa, Kalamu na karatasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…