Absalom Kibanda: Namuogopa Abdurahman Kinana

Absalom Kibanda: Namuogopa Abdurahman Kinana

Mimi napendekeza wote tuliochukizwa na babaishaji wa Kibanda tupeleke masikitiko yetu Freemedia na mwenye mawasiliano ya Freeman Mbowe ayaweke hapa ili tumueleze ukweli kwamba Gazeti lake linatumika kuhujumu Mabadiliko na amfute kazi mara moja Absalom Kibanda.

Free Media Limited
mtaa wa Mkwepu na Makunganya, SLP 15261, Dar es salaam, Tanzania
simu +255-22-2120604 • faksi +255-22-212623

tzdaima@freemedia.co.tz
 
nimeisoma hii habari online toka website ya gazeti la tz daima nikabaki nashangaaa.......
 
Nilisoma makala ya Kibanda jana usiku online.Nimejichukia binafsi kwa sababu awali mimi ni mtu niliyekuwa namheshimu sana Kibanda.Lakini kwa makala hii ya leo kwenye Tanzania Daima nimeamini njaa ni mbaya sana.Sikuamini gazeti makini kama Tanzania Daima lingeweza kutoa makala ya kishenzi hivi na kama wataendelea kutoa makala za kijinga hivi tutatangaza rasmi ikususa kununua hili gazeti.Hana hata aibu kumtaja Mbowe ambaye ni bosi wake huko ndani ya makala tena kwa kumkashifu.

Nasikitika na nashangaa Freeman Mbowe kumuacha mchumia tumbo huyo kuwa mhariri mkuu wa gazeti la Kiongozi mkuu wa upinzani nchini.Nasikitika eti Ansbert Ngurumo mzee wa Maswali Magumu kuwa ndiye naibu mhariri akiwa chini ya huyu kipofu asiyeuona ukweli.

Kibanda anadhani hii ni ile miaka ya 1990.Nimuulize huyu kibaraka wa Kinana na CCM Je,kuteuliwa Kinana tayari maisha ya watanzania yamebadilika? Je tayari mishahara ya wafanyakazi imepanda? Je tayari pembejeo za kilimo zimepatikana? Je tayari vijana nchi nzima wamepata ajira? Kwa upofu wa Kibanda anadhani kwa vile yeye ameshapewa bahasha kumsifia Kinana basi ataaminisha kila mtu kumsifia tena bila aibu akilitumia kihuni gazeti la Mwenyekiti wa chama anachokikashifu.

Wito kwa Freeman Mbowe-Muondoe huyu mchumia tumbo kwenye gazeti lako kwa heshima yako na chama chako,na Ngurumo apewe uhariri Mkuu.Hakika Tunalililia gazeti pendwa MWANAHALISI.

kama huna imani na mhariri wa gazeti lenu la chadema si utoke huko! nani kakulazimisha ubaki chadema?
 
Mimi napendekeza wote tuliochukizwa na babaishaji wa Kibanda tupeleke masikitiko yetu Freemedia na mwenye mawasiliano ya Freeman Mbowe ayaweke hapa ili tumueleze ukweli kwamba Gazeti lake linatumika kuhujumu Mabadiliko na amfute kazi mara moja Absalom Kibanda.

Free Media Limited
mtaa wa Mkwepu na Makunganya, SLP 15261, Dar es salaam, Tanzania
simu +255-22-2120604 • faksi +255-22-212623

tzdaima@freemedia.co.tz

Kumbuka chadema maana yake ni chama cha demokrasia! sasa unataka mhariri afukwe kazi kwa sababu ya kutoa maoni yake! hiyo ndio demokrasia mnayohubiri Chadema?

Jee, mkipewa madaraka si ndio tutarudi kule ktk enzi za chama kimoja?
 
Kinana amestafu jeshi mwaka 1972 baada ya kutumikia kwa miaka 20?mbona huyu jamaa amezaliwa 1951?
 
Kinana amestafu jeshi mwaka 1972 baada ya kutumikia kwa miaka 20?mbona huyu jamaa amezaliwa 1951?
Atakuwa alistaafu mwaka 1992. Mwaka 1985 wakati Mzee Mwinyi anagombea Urais Kinana alikuwa PEO wa Brigedi pale Tabora na alikuwa timu ya kampeni za Rais katika mkoa wa CCM wa Majeshi! Tumetoka mbali.
 
Kumbuka chadema maana yake ni chama cha demokrasia! sasa unataka mhariri afukwe kazi kwa sababu ya kutoa maoni yake! hiyo ndio demokrasia mnayohubiri Chadema?

Jee, mkipewa madaraka si ndio tutarudi kule ktk enzi za chama kimoja?

Hatuwezi kuruhusu wahuni kutumia gazeti la Mkiti wetu kuua chama chake.
 
Nilisoma makala ya Kibanda
jana usiku online.Nimejichukia binafsi kwa sababu awali mimi ni mtu
niliyekuwa namheshimu sana Kibanda.Lakini kwa makala hii ya leo kwenye
Tanzania Daima nimeamini njaa ni mbaya sana.Sikuamini gazeti makini kama
Tanzania Daima lingeweza kutoa makala ya kishenzi hivi na kama
wataendelea kutoa makala za kijinga hivi tutatangaza rasmi ikususa
kununua hili gazeti.Hana hata aibu kumtaja Mbowe ambaye ni bosi wake
huko ndani ya makala tena kwa kumkashifu.

Nasikitika na nashangaa Freeman Mbowe kumuacha mchumia tumbo huyo kuwa
mhariri mkuu wa gazeti la Kiongozi mkuu wa upinzani nchini.Nasikitika
eti Ansbert Ngurumo mzee wa Maswali Magumu kuwa ndiye naibu mhariri
akiwa chini ya huyu kipofu asiyeuona ukweli.

Kibanda anadhani hii ni ile miaka ya 1990.Nimuulize huyu kibaraka wa
Kinana na CCM Je,kuteuliwa Kinana tayari maisha ya watanzania
yamebadilika? Je tayari mishahara ya wafanyakazi imepanda? Je tayari
pembejeo za kilimo zimepatikana? Je tayari vijana nchi nzima wamepata
ajira? Kwa upofu wa Kibanda anadhani kwa vile yeye ameshapewa bahasha
kumsifia Kinana basi ataaminisha kila mtu kumsifia tena bila aibu
akilitumia kihuni gazeti la Mwenyekiti wa chama anachokikashifu.

Wito kwa Freeman Mbowe-Muondoe huyu mchumia tumbo kwenye gazeti lako kwa
heshima yako na chama chako,na Ngurumo apewe uhariri Mkuu.Hakika
Tunalililia gazeti pendwa MWANAHALISI.

Nilishawaeleza CDM haifiki mbali wachumia tumbo ni wengi kuliko makamanda wa kweli, halafu ndio mshinde 2015 thubutu
 
kama huna imani na mhariri wa gazeti lenu la chadema si utoke huko! nani kakulazimisha ubaki chadema?

Hatoki mtu na badala yake atatoka huyo mchumia tumbo akapewe uhariri wa gazeti la Uhuru.Mnafiki mkubwa kabisa.
 
Alichokosea ni kutumia neno "NAMUOGOPA", kwani neno linatoa tafsiri nyingi; Siasa ni ushindani wa hoja, sio vitisho; Kibanda anataka kutuaminisha siasa ni vitisho, sio ushindani wa hoja; Iwapo Kibanda nia yake ni kutishia UMMA, nadhani ni muhimu aelewe kwamba UMMA ndio wa kuogopwa kuliko kitu kingine chochote katika demokrasia; Vinginevyo Kinana ni Asset kwa CCM na hii itakuwa pengine ni mara ya kwanza kwa CCM kupata Katibu Mkuu anayetosha katika mazingira ya upinzani mkali wa kisiasa nchini; Ng'wamapalala katika bandiko namba '11' la uzi huu ameelezea vizuri pia juu ya umuhimu wa Kinana kwa CCM katika nyakati hizi, na ni katika maeneo hayo upinzani ndio unatakiwa ujipime;
 
Hatuwezi kuruhusu wahuni kutumia gazeti la Mkiti wetu kuua chama chake.

Mwenyekiti nae katekwa na JK maana amemsifia sana juzi pale Hai.....hahaha Kauli ya Wassira sasa inakaribia kutimia
 
Mwenyekiti nae katekwa na JK maana amemsifia sana juzi pale Hai.....hahaha Kauli ya Wassira sasa inakaribia kutimia

Naona mmeongezewa fungu kwa jinsi mlivyojazana mitandaoni sasa hivi na utumbo mnaoandika.
 
2015 majibu yatapatikana kama wanafiki ni wengi kuliko wazalendo ama la. Kelele nyingi hakafu chaguzi hamshiriki. 2015 kila mmoja ashiriki tuone mabadiliko mkikalia maneno matupu watashinda walewale
 
Kibanda aipoandika makala ya kuichonganisha serikali na majeshi yake baadaye akashtakiwa kwa uchochezi, baadhi yetu tulitokwa povu na kudai ameonewa. Leo Kibanda ameandika kuhusu uhalisia wa Kinana tofauti na tunavyomfikiria, mnamtukana na kumpa majina yote mabaya. Watanzania bwana hovyo kabisa. Kibanda ni sawa na walivyo akina Slaa na wenzake, wakifanikiwa kuiona neema ya nchi mtawaona wanavyobadilika. Mkishangaa ya Kibanda utayaona ya Slaa.
 
Huyu nae sijui kakurupushwa kutoka wapi. Hizi gongo mnazonyweshwa mchana wa jua kali zinawaharibia akili zenu. Aliyeandika makala inayodaiwa kuichonganisha serikali na wanajeshi ni Kamanda Samsoni Mwigamba.
 
Mkiambiwa ukweli mnatokwa povu chadomo hampendi kukosolewa.CDM ni janga la kitaifa hasa wafuata upepo wao
 
Back
Top Bottom