Abu Dhabi kuikopesha Tanzania Tsh Bilioni 70 kujenga njia ya kusafirisha umeme Benako hadi Kyaka mkoani Kagera

Hivi klabu ya namungo ni ya halmashauri maana lile basi lao Golden dragon lina namba za SM....
 
Astaghafilullah !
 
Bill 70 tunakopa? Hii nchi inaenda wapi wakuu? Miaka 2 nyuma hatukuwa na mawazo haya, hivi tumerogwa au?
 
Mimi ni muungaji mkono wa Mwigulu kwenye masuala mengi ya Uchumi ila habari ya Tanzania kukopa Dola milioni 30 imenisikitisha sana.

Yaani mumeweka na makamera kabisa kukaa na kupiga picha kwamba Tanzania inakopa Bilioni 70 Kwa Abu Dhabi ni dharau kubwa Nchi.

Tanzania hatujafikoa hapo sisi sio Maskini wa kiwango hicho.Bora mngefanya kimya kimya.
 
Binafsi nilisikia hii jana usiku sikuelewa kabisa!
Kumbe ni kweli, da! anyway, tusonge mbele! πŸ˜€
 
Kwakweli hawa ndugu zetu wanamuhujumu sana Mh. Rais, sijui kwanini?

Why are they doing this? Wana take advantage ya usikivu wake Imani yake kwao, this is not fair at all ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…