GWAMAKA USWEGE
JF-Expert Member
- Feb 23, 2023
- 1,398
- 5,198
The tower of Babel, and a citadel of confusion. Mama alichanganyikiwa kuona sura yake hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The tower of Babel, and a citadel of confusion. Mama alichanganyikiwa kuona sura yake hapo.
Hivi klabu ya namungo ni ya halmashauri maana lile basi lao Golden dragon lina namba za SM....Mwigulu anamiliki timu ya SINGIDA BIG STARS lazima akili yake ipagawe maana wachezaji na timu yote inahitaji Kula Sasa akili za kutatua matatizo ni kukopa Kwa Kasi ili afanyie mambo yake.Usisahau hata kassimu majaliwa anamiliki timu ya namungo Kwa hiyo hawa wapo tayari kuuzwa ,kupapaswa,na Jambo lolote lakini timu zao ,zifanyekazi
Utumwa una athari sana ndugu,kumbuka wazenji wanajiona ni waarabu!Waarabu wanataka nini TANGANYIKA?
Anavimba mishavu tu hela tamuAwamu tamu hii, mwigulu katakata kama mwanamke mzazi aliyetoka ndani
Hakuna cha bureNi jambo jema
[emoji38][emoji38][emoji38]Billion 70 nayo mpaka Mwarabu.
Hakika awamu hii Waarabu watafaidika sana.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Ifike muda GENTAMYCINE uwe unajiheshimu View attachment 2712683
Weeee !! sema Thuuuu !!!.Tanzania na Dubai zasaini mkataba wa wanaume wa Dubai kuwalea wake za wanaume wa Tanzania
Una kila dalili ya kuongea kizalendo , hongera sana !Ila wakati mwingine tunatia aibu, Tanzania ni ya kukopa bil.70 Wakati Kuna Rais wa Wanyonge alificha Bilioni 100 ndani?
Astaghafilullah !Nawadokezea kidogo [emoji1484]
Mashirika ya serikali na wizara zilizoingia makubaliano (MoU) na mashirika (ya kiserikali mostly) ya Dubai na Abu Dhabi wakati wa Dubai Expo ni pamoja. Na
[emoji1428] TANESCO
[emoji1428] STAMICO
[emoji1428] Wizara ya Nishati
[emoji1428] Wizara ya Habari
[emoji1428] Daily News (Standard Newspaper)
[emoji1428] TPA
[emoji1428] TTCL
[emoji1428] Wizara ya Kilimo....
Zanzibar MoU 1 (moja[emoji845]) tu ya utalii
TPA kupitia Wizara ya Nishati ina MoU 3 (tatu) na DPW
View attachment 2712999
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂 Mikopo nafuu mitamu!Anavimba mishavu tu hela tamu
Kwa mikataba hii hakuna mahaba wala mapenziHao wanamahaba tu na mapenzi kwa watanzania
Mimi ni muungaji mkono wa Mwigulu kwenye masuala mengi ya Uchumi ila habari ya Tanzania kukopa Dola milioni 30 imenisikitisha sana.
Yaani mumeweka na makamera kabisa kukaa na kupiga picha kwamba Tanzania inakopa Bilioni 70 Kwa Abu Dhabi ni dharau kubwa Nchi.
Tanzania hatujafikoa hapo sisi sio Maskini wa kiwango hicho.Bora mngefanya kimya kimya.
Hapo nani wa kumuheshimu mwenzake, aliyempandisha hapo juu, au aliyepandishwa?Ifike muda GENTAMYCINE uwe unajiheshimu View attachment 2712683