Abu Dhabi kuikopesha Tanzania Tsh Bilioni 70 kujenga njia ya kusafirisha umeme Benako hadi Kyaka mkoani Kagera

Abu Dhabi kuikopesha Tanzania Tsh Bilioni 70 kujenga njia ya kusafirisha umeme Benako hadi Kyaka mkoani Kagera

Mwigulu anamiliki timu ya SINGIDA BIG STARS lazima akili yake ipagawe maana wachezaji na timu yote inahitaji Kula Sasa akili za kutatua matatizo ni kukopa Kwa Kasi ili afanyie mambo yake.Usisahau hata kassimu majaliwa anamiliki timu ya namungo Kwa hiyo hawa wapo tayari kuuzwa ,kupapaswa,na Jambo lolote lakini timu zao ,zifanyekazi
Hivi klabu ya namungo ni ya halmashauri maana lile basi lao Golden dragon lina namba za SM....
 
Nawadokezea kidogo [emoji1484]
Mashirika ya serikali na wizara zilizoingia makubaliano (MoU) na mashirika (ya kiserikali mostly) ya Dubai na Abu Dhabi wakati wa Dubai Expo ni pamoja. Na
[emoji1428] TANESCO
[emoji1428] STAMICO
[emoji1428] Wizara ya Nishati
[emoji1428] Wizara ya Habari
[emoji1428] Daily News (Standard Newspaper)
[emoji1428] TPA
[emoji1428] TTCL
[emoji1428] Wizara ya Kilimo....

Zanzibar MoU 1 (moja[emoji845]) tu ya utalii

TPA kupitia Wizara ya Nishati ina MoU 3 (tatu) na DPW
View attachment 2712999

Sent using Jamii Forums mobile app
Astaghafilullah !
 
Bill 70 tunakopa? Hii nchi inaenda wapi wakuu? Miaka 2 nyuma hatukuwa na mawazo haya, hivi tumerogwa au?
 
Mimi ni muungaji mkono wa Mwigulu kwenye masuala mengi ya Uchumi ila habari ya Tanzania kukopa Dola milioni 30 imenisikitisha sana.

Yaani mumeweka na makamera kabisa kukaa na kupiga picha kwamba Tanzania inakopa Bilioni 70 Kwa Abu Dhabi ni dharau kubwa Nchi.

Tanzania hatujafikoa hapo sisi sio Maskini wa kiwango hicho.Bora mngefanya kimya kimya.
 
Binafsi nilisikia hii jana usiku sikuelewa kabisa!
Kumbe ni kweli, da! anyway, tusonge mbele! 😀
 
Mimi ni muungaji mkono wa Mwigulu kwenye masuala mengi ya Uchumi ila habari ya Tanzania kukopa Dola milioni 30 imenisikitisha sana.

Yaani mumeweka na makamera kabisa kukaa na kupiga picha kwamba Tanzania inakopa Bilioni 70 Kwa Abu Dhabi ni dharau kubwa Nchi.

Tanzania hatujafikoa hapo sisi sio Maskini wa kiwango hicho.Bora mngefanya kimya kimya.

Kwakweli hawa ndugu zetu wanamuhujumu sana Mh. Rais, sijui kwanini?

Why are they doing this? Wana take advantage ya usikivu wake Imani yake kwao, this is not fair at all ..
 
20221220_163613.jpg

Nchi ngumu sana hii!
 
Back
Top Bottom