Uzuri wa sisi Man Utd.. hatuangalii sura kwa kuwa kwenye mashindano haya hakuna urembo ni kazi kazi tuu. Kama ulivyoona tumeshinda 3: 2 nyumbani kwao. Pamoja na hizo historia zao sisi hatujali wala nini hata ingekuwa fizikia au geografia halaaa wanatuletea urembo sisi ... wakamuulize Jose Morinho na inter yake walifanywaje mwaka jana !
NA kama tujuavyo InterMilan ni bore kuliko AC Milan by far in the recent seasons.
Tunaojua soka huwa hatukurupukii ubora.
Tunajali zaidi mafanikio.
Hao inter wako mara ya mwisho kubeba champs league ilikuwa lini?
Au we unaona mafanikio ni kumfunga AC Milan home n away?
Hiyo Milan unayoidharau wewe ndo Baba wa mafanikio barani Ulaya.
Ukitaka vikombe na mataji na pia ukitaka kuvaa jezi za wachezaji nyota basi njoo Milan.
Kwa upeo wako wewe unahisi ndege wanayopanda AC ktk mafanikio unahisi assnail au chelsea wanaweza kuruhusiwa kupanda?
Kama unataka ubora basi nenda Arsenal au Manchester au Chelsea.
Lakini kama unataka mafanikio basi njoo AC Milan.
AC Milan ina wachezaji wazee tukianza na C SEERDOLF huyu ni mchezaji mzee sana kuweza kukimbizana na akina Fletcher,Nani na Valencia.Man U kwa sasa ipo imara sana rekodi ziko wazi waulize ze Gunners na Man City walivyopewa kichapo bila huruma.
Mpaka sasa hakuna beki wa kumzuia Rooney hata Nesta na Gattuso wamezeeka sana kiasi kwamba hawana njia nyingine zaidi ya kucheza mchezo wa kujiami.
Vipi kulikoni mbona bado uka hasira za kufungwa !,AC Milan hawana lolote wamejaza wazee kibao unadhani watacheza mpira gani subiri kichapo kingine OLD TRAFOLD "
Soccer ya Italy iko chini kwa muongo mzima kulinga nisha na soccer ya ENGLAND, na ndio maana katika miaka zaidi ya mitano hkuna fainali ya soka ya EUFA champion league iliokosa klabu ya BPL, NI kielelezo cha soko kupanda.Ni soka sio riadha, soka ni maarifa na uwezo ndio maana AC Milan (The most Successful Soccer team) watavuka tu kwenda top 8. Achana timu za wababaishaji za BPL
hakuna haja ya wao kutelezwa na mipira, wao wanapaswa kuzamisha mipira katika net , ili kuwa mshindi, mbwebwe za Ronaldihno si kitu sana kwenye kupachika magori, wewe piga chenga Wayne Rooney anasubiri nafasi ya kubusu nyavu....nilichogundua kwa upeo wangu unaonitosha mimi ni kuwa Milan mna kiungo sugu.
Gattuso, pirlo, ambrosini na seedof.
Hawa wazee mpaka muwakamate basi mnatakiwa na nyie mjaze sugu pia.
Au la msubiri mipira iwateleze ndo mpenyepenye na kwenda kuwafunga.
Ila moto utawaka naamini
hakuna wakuwadharau Ac Milan, na kwa kawaida hatuna tabia hiyo, ila OT , wababu wale watalala tu, najua mnagugumia mauchungu kwa kuwa dua zenu hazijajibu,ACM wanaweza wakawafunga Man Utd mechi ya marudiano OT na kuwatoa...believe me mkuu,kwenye mpira lolote lawezekana...Usiwadharau sana ACM,tusubiri na tuone
Soccer ya Italy iko chini kwa muongo mzima kulinga nisha na soccer ya ENGLAND, na ndio maana katika miaka zaidi ya mitano hkuna fainali ya soka ya EUFA champion league iliokosa klabu ya BPL, NI kielelezo cha soko kupanda.
soccer ya AC Milan imanza kuimarika, ila bado inachechemea, bado sioni mantiki ya ubora unao uwaza kuwa wanauwezo wa kuitoa Man Utd katika kufuatia matokea yale ya miki iliopita.
Bado watafungwa ndani ya ukumbi wa miujiza pale OT.....
Katika miaka 11 iliyopita Manchester United unao waponda wamechukua Champions League mara mbili, na wamefika finali miaka miwili mfululizo.
Yeah mkubwa AC Milan ni moja ya klabu yenye heshima barani ulaya,hata mimi kwa Italy nashabikia Milan nafikiri kwa sasa walitakiwa wapate kocha wa Kitaliano(Lippi,yule kocha aliyekuwa Roma).Makocha wa Kibrazil hawawezi kupata mafanikio ulayaKama ulikuwa hujui heshima wanayopewa Milan duniani basi mwandikie private msg Belo then atakujibu barabara.
Forza Milan
Yeah mkubwa AC Milan ni moja ya klabu yenye heshima barani ulaya,hata mimi kwa Italy nashabikia Milan nafikiri kwa sasa walitakiwa wapate kocha wa Kitaliano(Lippi,yule kocha aliyekuwa Roma).Makocha wa Kibrazil hawawezi kupata mafanikio ulaya
na ndio ukae ukijua kuwa soka la Italy liko dolo, ukubali ama ukatae......soka lao limeyumba sana.Ktk miaka kumi iliyopita timu za uingereza zilizobeba kombe la ulaya ni mbili tu.
Liverfool mara moja
Na machester mara moja.
Ila ktk miaka hiyo kumi Milan wamebeba mara mbili.
Sasa je ni timu gani inayopewa heshima kati ya hizo mbili na hii moja?
'''naomba jibu'''
Kisha nakushauri usikurupuke kuandika kitu usichokuwa na data nacho.
au mpk tuandike NO Data no right to speak!'...ndo mtakuwa hamkurupuki?
Forza Milan
na ndio ukae ukijua kuwa soka la Italy liko dolo, ukubali ama ukatae......soka lao limeyumba sana.
Haya haya wandele na wabwanga...
Siku ya kufa mbwa pua zote zinaziba...
Hii inamaanisha kuwa kesho kutwa lazima timu moja kati ya Man UTD au AC Milan itaaga mashindano makubwa barani ulaya kwa ngazi ya vilabu.
Nini maoni yako, mtazamo wako, hisia zako?
Au unahisi nani ataaga mashindano?
Karibuni tena tujadili,