ACACIA Mining PLC set to close loss-making mine as Tanzania export row deepens

Wabongo kibao hapo vibarua vyao ndo vinakaribia kuota magugu. 97% of Acacia Gold Mining PLC are Tanzanian citizens.
 
Umeona eeee??
Yaani Ule Mchanga ndio kila kitu
Kwenye ule msafara wa makilikili (sijui makinikia) walikua wanachomekea mambo yao (the raw sands) ambazo ndo zilikuwa zinawapa mafaida ya kufa mtu. Si unaona magold ambayo tume iliyakuta kwenye mchanga.
 

Sasa wewe kumbe ndo hujaelewa hilo la kushuka kwa hisa limekuja juzi tu. Wenyewe wanafunga kwa sababu ya Zuiò la makinikia. Kwenye ule msururu wa mchanga walikuwa wanachomekea mambo yao (raw sands) kwenda nje. Ndiyo maana tume ilikuta kiasi kikubwa cha gold kwenye mchanga kinyume cha sheria.
 
Yaani, hawa wafanyakazi wa TMAA si wakatwe vichwa hadharani jamani lakini!?

Ndiyo wametufikisha hapa Aisee.

Muhongo naye bila kuelewa kinachoendelea nyakati za usiku huko migodini yeye kuhusu mchanga akajitanua kumbe hajaelewa kuwa JPM na UwT wako kazini hawataki mzaha.

Sasa kabla hawajaondoka inabidi walipe kiasi walichoiba Kwa miaka yote hiyo.

Safi Sana President Dr. Magufuli
 
Watu wameiba tangu wakiwa Barric Gold tunakuja kulialia wakiitwa Acacia na all days mliambiwa hawa wanaiba mkajifanya viburi,wako wapi wabunge walioshabikia?
Wapo. Lkn hata wakiwepo itasaidia nini zaidi ya kurekebisha makosa?
 
Reactions: SDG
Wapo. Lkn hata wakiwepo itasaidia nini zaidi ya kurekebisha makosa?
Wakurekebisha makosa ni wabunge sio rais,any sheria lazima iende Bungeni.
Sheria za maana wanazichekea,sheria za Cyber crime ndo wanakomaa nazo
 
JPM endelea na msimamo wako mpaka waondoke, Majizi wakubwa nyie mnaojiita Acacia
 
Makontena yalikuwa tupu?
 
Kwenye ule msafara wa makilikili (sijui makinikia) walikua wanachomekea mambo yao (the raw sands) ambazo ndo zilikuwa zinawapa mafaida ya kufa mtu. Si unaona magold ambayo tume iliyakuta kwenye mchanga.
Ni kweli,
Hii inatokana na Scanner vipofu zisizoona kitu,
Ndio maana walivyo test kwa kuweka machuma ya Reli mle ndani hayakuonekana kwenye scanner
 
Ni kweli,
Hii inatokana na Scanner vipofu zisizoona kitu,
Ndio maana walivyo test kwa kuweka machuma ya Reli mle ndani hayakuonekana kwenye scanner

Baba hiyo imenistua sana. Kwa hiyo kumbe walitest kwa kuweka mavyuma ya reli ambayo ni makubwa hayakuoneka, ikabidi waanze kupitisha raw sands. Duuu
 
Kwahiyo unataka tumuache mwizi alietuibia kisa tumeacha mlango wazi bahati mbaya?
Hujaacha mlango kwa bahati mbaya, walinzi uliowaweka wameshirikiana nae na hilo ulikuwa unalijua. So mmeiba wote kama kweli ushahidi wako ni wa ukweli
 
bro wakijenga watasaidia hata mataifa mengine ya africa ambayo yanashida ya namna hii... hiyo report haikuangalia fursa zaidi ya ubinafsi uliosababisha kuifirisi nchi yetu....

ukipata muda imba wimbo huu "Tazama Ramani"

 


Kwani sisi huwa tunaeleweka basi Mkuu. Ni kushabikia tu vitu kama majuha. Tunashabikia report ya kuwananga ACACIA wakati huohuo hatusomi tafiti nyingine zilizofanywa huko nyuma zinazoonyesha kwamba hatuwezi kumudu uwekezaji wa smelter nchini. Halafu hawa watu wanayoyafanya yote yalipewa baraka zote za serikali hiyohiyo inayolialia leo. Upuuzi mtupu. Binafsi nataka kuona independent analysis ya hasara tunayoambiwa tumeingizwa na hawa ACACIA kabla sija comment zaidi.
 
zuio la makontena yenye nn? maji au pumba?
 
unataka kutuambia tusichukue hatua zidi ya kibaka ambaye anafanya uhalifu kwa ajiri ya kuhudumia familia yake, kwa maana tukichukua hatua familia yake itateseka? hivyo ni bora kibaka huyo aendelee kuumiza raia kwa kunufahisha familia yake na rafiki zake?

Unajua watu wangapi watakosa ajira na wanafamilia au unashabikia tu? Unadhani ni Arsenal na Man U
 
Ww amka usingizini. Usifikiri hijulikani makontena yana nn. Mlipoambiwa yanapelekwa ulaya kwa further smelting mlidhani wanaenda kufanya smelting ya maji au pumba?
 
Unajua hapa ni ubishi tu wa kibongo. Unajua athari za soko la hisa za kampuni kushuka? Hapa wanahisa na potential shareholders na investors katika Acacia wameshaanza kupoteza imani.

wamepoteza imani zidi ya wizi wa acacia au zidi ya hatua stahiki zinazochukuliwa na serkali yetu kupambana na udharimu huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…