ACACIA Mining PLC set to close loss-making mine as Tanzania export row deepens

Unaambiwa smelter zipo hadi ndogo tu. ACACIA hawa fanyi smelting wanauza mchanga kama ulivyo kwa faida kubwa tuu!!
Wabunge wa CCM walizomea bungeni wapinzani walipopinga hii kituu!!
 
hiyo ni report yakwenu sasahivi tuna report mpya inayoonesya data mpya zaidi kwa kuambiwa kuna madini zaidi...

swali lingine hizo report unazo ziandika wewe umezifanyia uchunguzi wewe au hao acacia? na nizamwaka gani bro?
Chillah,mtoa mada ameelezea vizuri sana, Issue ni kuwa kuna udanganyifu kama ni kweli. Ni vizuri tujenge utamaduni wa kusoma na kukumbuka matukio ya nyuma. Mkulu amekurupuka na itakula kwetu upende usipende, Namuombea abadilike na kubehave kama mkuu wa nchi.
 
 
Go Mr. Go! We needed somewhere to start and This is IT. Not so funny thing is it can go both ways
 
Bro we all advocate for their departure but we must be keen not to extort ourselves on the way
for their 4% let dem go go go mother facxxx. 4% have little effect on our economy. I wish I could be a president so that I can chase them like mice and we can dig our selves even if we use primitive tools the concentrate we can use it for washing our sufuria and decorate our houses
 
acha kudanganya watu soma vizuri uelewe au kingereza chako cha dictionary nini? yaani wote tumeelewa sababu kubwa ni kuzuiwa kwa makontena yenye mchanga ambao ulikuwa unawaingizia milion 1 kwa siku ww unasema hasara hawapati kwa ajili ya mchanga nyie ndio wakina mangungu. MAGUFULI mwanzo mwisho chase dem mother fackkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk
 
Watu wameiba tangu wakiwa Barric Gold tunakuja kulialia wakiitwa Acacia na all days mliambiwa hawa wanaiba mkajifanya viburi,wako wapi wabunge walioshabikia?
Basi saivi serikali yenye rais mpya ameamua kulishughulikia. Unaonaje tukampa support basi na sio kulia lia kwamba tuliibiwe zamani. Au hukutaka rais wa sasa alishughulikie?
 
Mm nina wazo Magu akiendelea hivi kukomaa kila sekta kwa kipindi cha mihula yake yote, tubadilishe katiba aendelee kuwa raisi mpaka mwisho wa maisha yake.
 
Watu badala ya kuunga mkono juhudi za serikali walikuwa wakija na vitisho. Eti ijue bodi ya Acacia, eti mossad, sijui mwanasheria wa acacia yupo londo bla bla zilikuwa nyingi kutaka kutuaminisha kuwa serikali yetu si chochote mbele ya wawekezaji. JMT haipingi wawekezaji, bali wawe honest, yaani watu kulipa kwenyewe ni 4% kisha bado wanatuibia. Kama hii habari ni kweli basi serikali inadeserve kupewa hongera, wacha wafunge virago wasepe, atakuja mwekezaji mwengine. Lazima serikali ioneshe kuwa haiyumbishwi na ukubwa wa kampuni wala waliomo kwenye bodi.

Sikubaliani na Magu kwenye baadhi ya vitu lakini mimi mpenda maendeleo akifanya zuri ntampa sifa yake akiboronga nitamkandia tu.

Magu kune lile wanja nasikia ukifika unaambiwa welcome to UAE. Naomba utupie jicho na kule!!! (Utaona hafla jamaa anapata watetezi tena walewale walolalamika)
 
Mpaka wanataka kufungu mgodi, kweli wameshikwa! JPM endelea kukomaa soon utaona uzalishaji wa dhahabu unaongezeka
Chavez alisifiwa hivi hivi ..tazama walichoifanya ile nchi ...haitawaliki tena
 
Simutetei ni jina la kilabu kijijini kwenu au?
 
Do yo refer to the report ya waliandika hotelini?
 
Sawa, ila mlitarajia wapate nn zaid ya hasara kama gold concentrate ina.constitute karibia 45% ya output katika migodi yao 3?
 
Unachojua ni mother fucker tu, hizo ni lugha za wahuni na jitahidi kuziepuka. Hili ni suala la mkataba unaweza kuwafukuza ila utakacholipa ni zaidi ya utakachopata kwenye hiyo migodi. Unashindwa hata kutengeneza tooth pick ndo uweze kuoperate mgodi!!!. Tatizo ni mikataba na tuanzie hapo. Waarabu wametuzidi sana kwa sababu mikataba yao ilikuwa ni kwa manufaa ya wananchi.
 
Mm nina wazo Magu akiendelea hivi kukomaa kila sekta kwa kipindi cha mihula yake yote, tubadilishe katiba aendelee kuwa raisi mpaka mwisho wa maisha yake.
Makubwa, katiba inasemaje?Yaani unaona mkulu anafanya mambo mazuri sana?Akili kuzitumia vizuri ni faida sana.
 
Mgodi wa Bulya ulikuwa uko scheduled ufungwe baada ya miaka mitatu hata kabla ya hili sakata kutokea. Wanachofanya sasa ni kuharakisha. Nafikiri ni vyema kusubiri kwana an indepenent auditor kabla ya kuwahukumu
 
Sheria ifwate mkondo wake,let there be free ruling on this,Tanzania tumepoteza mabilioni ya fedha ambazo zingewekezwa katika sekta muhimu zinazosuasua mwananchi wa kawaida angeweza kunufaika ila kwa sababu ya ufisadi na utowajibikaji kwa baadhi ya viongozi serikalini tunajipata kama taifa tukipoteza mambo mengi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…