Account gani ya bank itatunza pesa zangu mpaka 2020 bila ku-draw??

Hii tunaiitaje mkuu?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii ni akaunti ya akiba ya muda maalum. Ni akaunti ambayo kwa lugha ya kigeni inatwa Fixed Deposit Account. Kwa anayoisemea mdau ni kwamba yeye ameingia mkataba na benki kwa kuweka fedha yake na kisha benki wao wanamlipa riba/interest kwa kila mwezi kwa kipindi chote cha miaka mitatu aliyoingia mkataba.

Baada ya muda huo ukipita/maturity basi atarudishiwa fedha ile aliyoweka mwanzo/ principal amount kwa kuwa alikwisha faidika na riba iliyokuwa inalipwa kila mwezi. Akaunti hii kwa CRDB inaitwa Thamani akaunti.

Kuna akaunti za muda maalum pia ambazo unaweza ukaweka fedha kwa miezi mitatu, miezi sita, tisa na kuendelea. Huwa ni akaunti za muda maalum. Akaunti zote hizi pamoja na hiyo ya juu ya Thamani unaweka kiasi mwanzoni na hutoruhusiwa kukitoa mpaka muda wa mkataba kuisha. Endapo utalazimika kuvunja mkataba kabla ya muda kuisha basi kuna mambo ambayo yatapaswa kufuata/terms and conditions zitahusika.

Kwa wanaume kuna akaunti inaitwa Dhahabu akaunti ambayo inampa fursa mwanaume kujiwekea akiba kila mwezi kwa muda usiopungua miaka mitatu/mkataba ni miaka mitatu. Fedha hizi za kila mwezi zaweza wekwa kwa mteja kuweka fedha taslimu/cash money kila mwezi au akaomba utaratibu wa fedha kuhamishwa kutoka akaunti yake moja ya CRDB bank kwenda kwenye akaunti hii ya dhahabu. Huduma hii inaitwa Standing Order ambapo itasetiwa kwenye mfumo kiasi kwambi kila tarehe fulani ya kila mwezi kiasi fulani cha fedha kitahama kutoka akaunti aliyochagua mteja kwenda akaunti yake ya Akiba ya Dhahabu.

Kwa wanawake wana akaunti inaitwa Malkia akaunti ambayo yenyewe mkataba wake ni mwaka mmoja tu. Na kipindi chote hicho akaunti zote za Malkia na Dhahabu zinapata riba kila mwezi.
Kama una swali waweza uliza mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fafanua kidogo, ni aina gani hiyo ya mkataba? Yaani kila mwezi unadraw 500,000/= kwa kuweka milion 50 tu?!

Vinginevyo nashawishika kusema si kweli, hata fixed account hupati faida hiyo.
Hili ni jambo la kweli kabisa mkuu. Ni akaunti ambayo faida yake unaila kila mwezi. Unapofungua akaunti hii nakuweka fedha basi utaambatanisha na akaunti yako ya akiba ya kawaida ambayo itawekewa faida ya riba ya kila mwezi. Inakuwa kama unapata mshahara vile mkuu kila mwezi.

Nzuri sana hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hii ni akaunti ya akiba ya muda maalum. Ni akaunti ambayo kwa lugha ya kigeni inatwa Fixed Deposit Account. Kwa anayoisemea mdau ni kwamba yeye ameingia mkataba na benki kwa kuweka fedha yake na kisha benki wao wanamlipa riba/interest kwa kila mwezi kwa kipindi chote cha miaka mitatu aliyoingia mkataba.

Baada ya muda huo ukipita/maturity basi atarudishiwa fedha ile aliyoweka mwanzo/ principal amount kwa kuwa alikwisha faidika na riba iliyokuwa inalipwa kila mwezi. Akaunti hii kwa CRDB inaitwa Thamani akaunti.

Kuna akaunti za muda maalum pia ambazo unaweza ukaweka fedha kwa miezi mitatu, miezi sita, tisa na kuendelea. Huwa ni akaunti za muda maalum. Akaunti zote hizi pamoja na hiyo ya juu ya Thamani unaweka kiasi mwanzoni na hutoruhusiwa kukitoa mpaka muda wa mkataba kuisha. Endapo utalazimika kuvunja mkataba kabla ya muda kuisha basi kuna mambo ambayo yatapaswa kufuata/terms and conditions zitahusika.

Kwa wanaume kuna akaunti inaitwa Dhahabu akaunti ambayo inampa fursa mwanaume kujiwekea akiba kila mwezi kwa muda usiopungua miaka mitatu/mkataba ni miaka mitatu. Fedha hizi za kila mwezi zaweza wekwa kwa mteja kuweka fedha taslimu/cash money kila mwezi au akaomba utaratibu wa fedha kuhamishwa kutoka akaunti yake moja ya CRDB bank kwenda kwenye akaunti hii ya dhahabu. Huduma hii inaitwa Standing Order ambapo itasetiwa kwenye mfumo kiasi kwambi kila tarehe fulani ya kila mwezi kiasi fulani cha fedha kitahama kutoka akaunti aliyochagua mteja kwenda akaunti yake ya Akiba ya Dhahabu.

Kwa wanawake wana akaunti inaitwa Malkia akaunti ambayo yenyewe mkataba wake ni mwaka mmoja tu. Na kipindi chote hicho akaunti zote za Malkia na Dhahabu zinapata riba kila mwezi.
Kama una swali waweza uliza mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Je nikiweka mfano 1M tu interest inakua sh ngap

Ahsante kwa Elimu hii, nimekuelewa Mkuu. So, nikiwa naweka kila mwezi tsh500k kwenye hiyo Dhahabu Ac, naweza kupata interest kias gani?

Interest inakuwa calculated kwenye akaunti kila mwezi kulingana na fedha iliyo kwenye akaunti. Kwa sasa riba kwa mwaka ni 5%, haina makato yoyote ya mwezi, na wakati mwingine waweza itumia kama dhamana kwa mkopo wa biashara kama utataka kukopa benki. Hii tunaita cash cover, waweza kopa hadi asilimia 80 ya kile ulicho nacho kwenye akaunti kwa wakati huo.

Mikopo ya kawaida ya biashara uhitaji kuwa na dhamana/collateral pindi unapokopa, ukiwa na akaunti za muda maalum za muda mrefu zinakupa nafasi nzuri ya kukopa pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Interest inakuwa calculated kwenye akaunti kila mwezi kulingana na fedha iliyo kwenye akaunti. Kwa sasa riba kwa mwaka ni 5%, haina makato yoyote ya mwezi, na wakati mwingine waweza itumia kama dhamana kwa mkopo wa biashara kama utataka kukopa benki. Hii tunaita cash cover, waweza kopa hadi asilimia 80 ya kile ulicho nacho kwenye akaunti kwa wakati huo.

Mikopo ya kawaida ya biashara huhitaji kuwa na dhamana/collateral pindi unapokopa, ukiwa na akaunti za muda maalum za muda mrefu zinakupa nafasi nzuri ya kukopa pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakushukuru Sana, umenifundisha kitu kipya Leo. Ubarikiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ni jambo la kweli kabisa mkuu. Ni akaunti ambayo faida yake unaila kila mwezi. Unapofungua akaunti hii nakuweka fedha basi utaambatanisha na akaunti yako ya akiba ya kawaida ambayo itawekewa faida ya riba ya kila mwezi. Inakuwa kama unapata mshahara vile mkuu kila mwezi.

Nzuri sana hii

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru kwa msisitizo mkuu, sikuwa na ufahamu kuhusu jambo hili.
 
Hiyo pesa uwe unaweka stock mpunga, unauza mwezi wa pili, nwezi wa sita unanunua tena linakuwa zoezi endelevu pesa itakuwa salama na pia itaongezeka Mara dufu. Bank siku hizi tunaweka hela ya tahadhari tu. Sijui interest zako lakini.
Na cost ya warehousing upoje??!
 
Mkuu hii ni akaunti ya akiba ya muda maalum. Ni akaunti ambayo kwa lugha ya kigeni inatwa Fixed Deposit Account. Kwa anayoisemea mdau ni kwamba yeye ameingia mkataba na benki kwa kuweka fedha yake na kisha benki wao wanamlipa riba/interest kwa kila mwezi kwa kipindi chote cha miaka mitatu aliyoingia mkataba.

Baada ya muda huo ukipita/maturity basi atarudishiwa fedha ile aliyoweka mwanzo/ principal amount kwa kuwa alikwisha faidika na riba iliyokuwa inalipwa kila mwezi. Akaunti hii kwa CRDB inaitwa Thamani akaunti.

Kuna akaunti za muda maalum pia ambazo unaweza ukaweka fedha kwa miezi mitatu, miezi sita, tisa na kuendelea. Huwa ni akaunti za muda maalum. Akaunti zote hizi pamoja na hiyo ya juu ya Thamani unaweka kiasi mwanzoni na hutoruhusiwa kukitoa mpaka muda wa mkataba kuisha. Endapo utalazimika kuvunja mkataba kabla ya muda kuisha basi kuna mambo ambayo yatapaswa kufuata/terms and conditions zitahusika.

Kwa wanaume kuna akaunti inaitwa Dhahabu akaunti ambayo inampa fursa mwanaume kujiwekea akiba kila mwezi kwa muda usiopungua miaka mitatu/mkataba ni miaka mitatu. Fedha hizi za kila mwezi zaweza wekwa kwa mteja kuweka fedha taslimu/cash money kila mwezi au akaomba utaratibu wa fedha kuhamishwa kutoka akaunti yake moja ya CRDB bank kwenda kwenye akaunti hii ya dhahabu. Huduma hii inaitwa Standing Order ambapo itasetiwa kwenye mfumo kiasi kwambi kila tarehe fulani ya kila mwezi kiasi fulani cha fedha kitahama kutoka akaunti aliyochagua mteja kwenda akaunti yake ya Akiba ya Dhahabu.

Kwa wanawake wana akaunti inaitwa Malkia akaunti ambayo yenyewe mkataba wake ni mwaka mmoja tu. Na kipindi chote hicho akaunti zote za Malkia na Dhahabu zinapata riba kila mwezi.
Kama una swali waweza uliza mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana mkuu kwa lecture...imekua na msaada mkubwa sna kwng!
Maswal mawil tu ili nipate kuelewa zaid:
1. Hizi accounts (Malkia na Dhahabu) zina riba ya kiasi gani kwa mwaka??
2. Umesema 'kwa wanaume, dhahabu accnt...mteja anapata fursa ya kujiwekea akiba kwa njia mbil...cash deposit au transfer frm one CRDB acc kwnda kwny hyo Dhahabu acc. Je, km mteja akiwa hana account nyngine CRDB zaid ya iyo ya Dhahabu acc, lkn anayo account kwny benk nungine (say: NMB) anaweza kufany iyo transfer kwnda kwny dhahabu acc ya CRDB??
 
Back
Top Bottom