Copy
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 1,055
- 1,341
Me nahisi yuko sahihi mkuu, maana fixed account ya crdb unapewa 30k kwa deposit ya 1M kwa miezi 4( kama sijakosea).so kupewa 500k kwa mwaka kwa deposit ya 50M naona kama ni sahihi. Ukinidadavulia nikaelewa, nitashukuru zaidi maana huwa tunaishi kwa kujifunza kila siku.Fafanua kidogo, ni aina gani hiyo ya mkataba? Yaani kila mwezi unadraw 500,000/= kwa kuweka milion 50 tu?!
Vinginevyo nashawishika kusema si kweli, hata fixed account hupati faida hiyo.