Account gani ya bank itatunza pesa zangu mpaka 2020 bila ku-draw??

Thamani account?! Na unaongea na manager tu unamaliza deal? Nitafuatilia ni prove hili. Maana uwekezaji wa milioni 50 bank kwa miaka mitatu unakupatia faida ya milioni 18 ni zaidi ya deal kwangu.
Ni kweli we unaona deal lakini kuna mtu anaweza akaizungusha hiyo milioni 50 kwa miaka hiyo hiyo akatengeneza milioni 100 au zaid
 
Sure hata mimi ningeweza ila tofauti ni kwamba hii ya kwako ni mtelezo tu yaani "risk free". Unawekeza wao wanazizungusha wapate faida au hasara wewe haikuhusu.
 
kweli kabsa ,watembelee watakupa mwongozo
 
Fafanua kidogo, ni aina gani hiyo ya mkataba? Yaani kila mwezi unadraw 500,000/= kwa kuweka milion 50 tu?!

Vinginevyo nashawishika kusema si kweli, hata fixed account hupati faida hiyo.
Unajua kuna watu wanatafuta sifa !! Tunaomba u attach mkataba huo hapa tuone. Otherwise ni uongo ulokomaa
 
nimeshasema nenda CRDB bank ,waambie wakuelekeze kuhusu Thamani A/C na ukiwa na milioni hamsini watakuwa wanakupa kiasi gani kwa mwezi ni rahisi tu hata nusu saa ni nyingi ,mbona matawi yapo mengi sana nchi hii .Samahani siwezi kuweka mkataba wangu hapa
 
Mkuu hii ni akaunti ya akiba ya muda maalum. Ni akaunti ambayo kwa lugha ya kigeni inatwa Fixed Deposit Account. Kwa anayoisemea mdau ni kwamba yeye ameingia mkataba na benki kwa kuweka fedha yake na kisha benki wao wanamlipa riba/interest kwa kila mwezi kwa kipindi chote cha miaka mitatu aliyoingia mkataba.

Baada ya muda huo ukipita/maturity basi atarudishiwa fedha ile aliyoweka mwanzo/ principal amount kwa kuwa alikwisha faidika na riba iliyokuwa inalipwa kila mwezi. Akaunti hii kwa CRDB inaitwa Thamani akaunti.

Kuna akaunti za muda maalum pia ambazo unaweza ukaweka fedha kwa miezi mitatu, miezi sita, tisa na kuendelea. Huwa ni akaunti za muda maalum. Akaunti zote hizi pamoja na hiyo ya juu ya Thamani unaweka kiasi mwanzoni na hutoruhusiwa kukitoa mpaka muda wa mkataba kuisha. Endapo utalazimika kuvunja mkataba kabla ya muda kuisha basi kuna mambo ambayo yatapaswa kufuata/terms and conditions zitahusika.

Kwa wanaume kuna akaunti inaitwa Dhahabu akaunti ambayo inampa fursa mwanaume kujiwekea akiba kila mwezi kwa muda usiopungua miaka mitatu/mkataba ni miaka mitatu. Fedha hizi za kila mwezi zaweza wekwa kwa mteja kuweka fedha taslimu/cash money kila mwezi au akaomba utaratibu wa fedha kuhamishwa kutoka akaunti yake moja ya CRDB bank kwenda kwenye akaunti hii ya dhahabu. Huduma hii inaitwa Standing Order ambapo itasetiwa kwenye mfumo kiasi kwambi kila tarehe fulani ya kila mwezi kiasi fulani cha fedha kitahama kutoka akaunti aliyochagua mteja kwenda akaunti yake ya Akiba ya Dhahabu.

Kwa wanawake wana akaunti inaitwa Malkia akaunti ambayo yenyewe mkataba wake ni mwaka mmoja tu. Na kipindi chote hicho akaunti zote za Malkia na Dhahabu zinapata riba kila mwezi.
Kama una swali waweza uliza mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
KWA HIYO A/C YA DHAHABU, RIBA YAKE NI KIASI GANI KWA MWAKA?
 
asante mkuu bila shaka wewe ni ofisa wa bank wa CRDB ,Umeeleza vizuri sana asante
 
Ni wazo zuri kuweka fedha benki kwa kipindi fulani au muda mrefu hasa kwa wale ambao kwa muda fulani wanakuwa hawajabuni biashara au kutokuwa tayari kupambana na risk. Kinachofanyika benki ni wewe kuwapatia fedha zako na wao kuzifanyia biashara kwa niaba yako na baadaye mnagawana faida kama sio hasara,cha muhimu hapo ni kubuni biashara. Fedha haitakiwi kukaa benki muda mrefu inatakiwa kuingia na kutoka.Ikikaa benki maana yake tumeshindwa kuifanyia kazi na mwisho wa siku tunapata gawio dogo ambalo sisi tunaliona ni gawio kubwa.
 
usishawishike kusema ni uongo na usikariri kwamba fixed deposit ndo kila kitu siku hizi unaeza enda benki ukanegotiate na meneja kila kitu unavyowaza wewe na mkatengeneza contract yenu for mutual benefits sharti tu uwe na mzigo wa maana ,Mara ya kwanza niliweka Fixed A/C nikaona faida ni ndogo nikazitoa ndio banker mmoja akaniuma sikio kuhusu THAMANI ACCOUNT.
Bado blah blah mkuu hii fix
 
Back
Top Bottom