Account ya Twitter ya hayati Magufuli yaondelewa "blue tick!"

Asante umeniwakilisha vyema kwa huyo mbwa.
 
Na wewe utamfuata usiku wa kuamkia kesho kenge wewe unadhani utaishi milele hapa duniani...
Ndugu ngoja nikuambie kitu.
Ni hivi mimi siwezi kufa kwa utabiri wako wa kipumbavu.
Zikipita siku ulizotabiri nitakufuata PM kisha nitakutabiria wewe kifo chako kisha kama utaweza nifuate PM baada ya siku nitakayokuwekea limit ya uhai wako.
Tunaposema jambo haturopoki.
 
Huna akili wewe,nenda ukapate matibabu.
 
Wewe sio mzima,nenda ukapate matibabu,umegeuka kituko hapa JF kwa vicomment vyako vya hovyo hovyo,umasikini wako usitake kuuhamishia kwa wengine,una upumbavu uliyo vuka mipaka,utakua ulipata malezi ya hovyo sana.
 
Huyo jamaa alikua akipiga mkwara nchi yote inakaa kimya , muhuni aliweza kuendesha taifa kama anaendesha familia inayoishi nyumba moja akisema kulala ni saa 3 bas kulala ni saa 3
Watukutu ilibaki tunaongelea tumboni tu
 
Wewe sio mzima,nenda ukapate matibabu,umegeuka kituko hapa JF kwa vicomment vyako vya hovyo hovyo,umasikini wako usitake kuuhamishia kwa wengine,una upumbavu uliyo vuka mipaka,utakua ulipata malezi ya hovyo sana.
Hii issue ya umaskini inaonekana imeathiri sana maisha yako binafsi, maana umeifanya kuwa point of discussion kwenye kila comment. I wish u well though
 
Hii issue ya umaskini inaonekana imeathiri sana maisha yako binafsi, maana umeifanya kuwa point of discussion kwenye kila comment. I wish u well though
Kumbe unanifuatilia eeh! Safi sana Binti,endelea kujiaminisha hivyo hivyo kama inakupa faraja,sawa Dada?
 
Wanahangaika bure tu, wapenzi wa jpm na wanyonge wa nchi hii 70% hawana account za twitter so wamtoe wasimtoe haina lolote. Wao wako nae vifuani mwao japo Ikulu tunaye puppet wa msoga. Sie tunakisikiliza kivuli cha jpm kuliko sauti ya "tozo lady" Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…