Account ya Twitter ya hayati Magufuli yaondelewa "blue tick!"

Account ya Twitter ya hayati Magufuli yaondelewa "blue tick!"

Maana ya kuondoa blue tick ni kwamba muhusika hayupo tena hivyo matumizi ya account husika hayatambuliki rasmi na Kampuni ya Twitter
 
Hivi ni kweli waliobomoa vibanda vya wamachinga vingunguti hawajulikani.
 
Ila nawewe! Yaani bado ulikuwa unafuatilia account ya Twitter ya marehemu??
Mimi mtu akifariki nikathibitisha, maombolezo siku tatu, ya nne hata namba yake naifuta!
 
Kifo Cha yule dikteta kimenifanya nisimuogope binadamu yeyote maana hata madikteta hufa na kuoza
 
ni sahihi,alikuwa na mapungufu mengi ila mazuri pia alikuwa nayo, mimi huwa namkubali kwenye mambo mawili tu, kujenga sgr na kuogopwa yani nchi nzima ilimgwaya😅
Ukiona mtu anaogopwa nchi nzima ujue huyo mtu ni mbaya haiwezekani uogopwe nchi nzima hivi hivi tu.
 
Muacheni Mzee JPM apumzike, mwenyezi Mungu amechukua kiumbe wake kama ilivyo kwa watu wote duniani.....wote tutakufa hakuna atakayebaki, Mungu ndiye anajua nani aende nani abaki na kwa kusudi gani...( Wamekufa watakatifu wengi, wamekufa waovu wengi nk) mwisho wa siku Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema ndiye ajuaye nani mwema nani muovu..

Kifo ni ibada, tuliobaki duniani tunapaswa kujiombea na kuwa makini na matendo yetu.. tunashauliwa turithi mema ya wenzetu waliotangulia na mengine tunapaswa kumuachia Mungu...
 
Ukiona mtu anaogopwa nchi nzima ujue huyo mtu ni mbaya haiwezekani uogopwe nchi nzima hivi hivi tu.
exactly, na hiko ndicho nachokubali mimi nawakubali viongozi walioogopwa mfano Mobutu aliogopwa na hadi wasaidizi wake mfano mkalimani wake alisema alifanya kazi kwa hofu sana maana alijua muda wowote ni kifo,mawaziri na ma gavana wa benki waliogopa kumzingua pia
hii hata nicholo machiavelli anaipenda,alisema , "if one has to chose whether it is better to be loved than feared or better to be feared than loved i say it is safer to be feared"
 
Back
Top Bottom