Acha chuki na wazazi wako

Sasa mzee kuna mtu ulimlipia ada ya English medium?? Mbona mimi nimeandika kiswahili vizuri tu
πŸ€”
Wazazi wako ni mtihani kwako na wewe ni mtihani kwao. Kubali hilo. Kukabiliana na wazazi wagumu si rahisi. Wao pia ni wanadamu, wana dosari na madhaifu kama watu wengine. Unahitaji kuwakubali jinsi walivyo. Huwezi kuwabadilisha. Mtu pekee unayeweza kumbadilisha ni wewe mwenyewe.
 
Kuna mtu nimeona anagombana na wazazi wake kiasi kwamba amewapeleka polisi
Wazazi wahuni na wavunja haki za wengine watapelekwa tu.

Kwani mzazi wako akiiba au akiua mtu hafungwi? Sasa kama anafungwa kwa makosa aliyotenda kwa kukusudia je huyo aliyempeleka polisi ana kosa gani?

Mzee mmoja alikuwa mkorofi sana. Ana vijana wakubwa na wamesoma.

Mama yao ashakuwa mtu mzima na nguvu zimeshaisha. Sasa yule mzee akawa anamka usiku kumkunguta mke wake bakola bila sababu za msingi.

Watoto walisuruhisha migogoro ikawa haiishi. Mzee mjeuri balaa. Wakaona wampeleke ndani.

Hadi leo yule mzee hajarudia tena ujinga wake.

Msipende kuchukua advantage huku mnaumiza wengine kwa kuwa tu hawako kwenye position ya kuwarudishia maumivu.

Laiti kama ungejua maumivu unayosababisha kwa wengine na wewe yanaweza kukurudia muda huo huo i am sure huo ujinga msingefanya.
 
Wakati mwingine hatii huruma basi tu mambo yalivurugika chuki hazina ishu
 
There you are. Na nakuhakikishia wazazi wapuuzi huwa wana misemo kama hii ya Mleta mada.
 
Ulichokiandika ni sawa ila huna haja ya kumchukia mzazi nazungumzia chuki si vitu vingine
 
Watu wasiopenda kuchukiwa wakati wnaatenda maovu ni watu wa hatari sana. Wanapenda kujificha kwenye msamaha ili hali hawako tayari kubadilika matendo yao.
Sawa ndugu!! Ila chuki hazina ishu unaflash tu kama kinyesi usiweke chuki kwa mzazi walitenga mda wao kuhakikisha mimba yako inatungwa
 
Mtavuna mlichopanda. Wajibika braza acha kutegemea huruma.
Mzee mmoja amepata kazi nzuri ya promotion akaona aoe mtoto mbichi akahama na ndoa yake.

Sasa wachungaji wameshauri na wazee wameingilia kati Mzee akasema wasimuingilie maisha yake na maamuzi yake.

Sasa amestafu pesa zimeisha na ameumwa. Anatapa tapa kutafuta msaada na kulalamika.

Wamemuacha na maisha yake. Sasa hapo kosa liko wapi?
 
Kweli kabisa ndugu.
 
Kosa nikuweka chuki kwa mzazi, alitenga mda kuhakikisha mimba yako inatungwa heshimu ilo tu bila kutenga mda wao huenda usingekuwepo duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…