Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Wazazi wako ni mtihani kwako na wewe ni mtihani kwao. Kubali hilo. Kukabiliana na wazazi wagumu si rahisi. Wao pia ni wanadamu, wana dosari na madhaifu kama watu wengine. Unahitaji kuwakubali jinsi walivyo. Huwezi kuwabadilisha. Mtu pekee unayeweza kumbadilisha ni wewe mwenyewe.Sasa mzee kuna mtu ulimlipia ada ya English medium?? Mbona mimi nimeandika kiswahili vizuri tu
🤔