Acha kuuza mchanganyiko unapoteza muda, akili na Pesa zako, shtuka

Mmekataa mchanganyo mnataka mtu awe specific kwenye kimoja, maana yake mtu kama ana mgahawa apike ugali tu wali awaachie wengine.

Mtu kama anauza magari basi auze passo tuuuu vyeitee awaachie wengine.
Mtu anayeuza vocha auze za voda tuuu halotel awaachie wengine
Akili za kuambiwa ......humu ndani unaweza kupewa ushauri na mtu ambaye hajawahi kufanya biashara yeyote ile bali yupo kwa wazazi wake tu...ukienda jukwaa la kilimo utasikia unaambiwa kilimo cha kutegemea mvua ni kamari mbaya sana mara mwingine anakuambia hamshauri mtu kulima kwasababu yeye kapigwa za uso sana....sasa unashangaa mbona watu tupo huku kijijini tunalima na kuvuna vizuri tu kwakutegemea hizihizi mvua?
 
Wazeee twende speed muda wa salamu hamna tutasalimiana kwenye comment..

Asee Biashara ni nzuri sana kama ukiwa umetuliza akili ukajua unaingia kufanya biashara gani na biashara ya nini...

Kuna mambo mawili naomba nirudie

1.Kufanya Biashara
2.Kujua naenda Kufanya biashara ya Kuuza nini

Watu wengi tupo kundi no.1 Tunajiita wafanya biashara kumbe tunapoteza muda na pesa zetu, leo nitatolea mifano ya biashara chache za maduka ambazo wamiliki wake tunajiita wafanya biashara

1.Duka La Nguo (Mchanganyiko)
2.Duka la Vifaa vya Simu (Mchanganyiko)
3.Duka la Vifaa vya Ujenzi (Mchanganyiko)

Kila duka unalolijua wewe ambalo kwenye mabano utaweka neno (mchanganyiko) My brother and sister unapoteza muda wako eneo hilo shtuka

Huwa mtu akiniuliza mfanyabiashara ni mtu wa aina gani kwa maana yangu? Mimi huwa namwambia ni mtu yeyote anaetoka nyumbani anaenda kazini(dukani) kwake kuuza bidhaa yoyote aliyonayo na akauza kila siku.

narudia kwa msisitizo neno ''KUUZA KILA SIKU'' ndio kuuza kila siku ni lazima kama unafanya biashara lakini kama kuna siku unaenda kazini unaondoka hujauza my dear ndugu,SHTUKA nakwambia leo hakuna atakae kwambia huu ukweli kirahisi.

Baada ya huo utangulizi haya tuchambue ili nieleweke maana kuna ambao nime waacha hawanielewi bado..

Kuna Wafanyabiashara wawili wanauza Duka La nguo MMOJA ana

1. DUKA LA NGUO (Mchanganyiko) Anajiita ''BABY FASHION'' na wapili ana

2.DUKA LA NGUO ZA WATOTO (NEW BORNS ONLY)

Hawa ni wafanya biashara wawili wanao uza nguo, lakini mfanyabiashara wa 1 anauza nguo zote yani nguo za watoto,wakubwa,wazee,kila aina ya nguo inapatikana dukani kwake.

mfanyabiashara wa pili anauza Nguo za watoto wachanga hao ni watoto wote chini ya miezi 12.

Siri ya Biashara ipo hapa...niwambie ukweli...Katika hawa watu wawili mfanyabiashara atakaefaidika na hii biashara ni mfanyabiashara no.2

Tu asssume wote wapo eneo HOT CAKE mtaji sawa,nk ila Mfanyabiashara no.2 atafanikiwa zaidi kwasababu kuu 1.

Pesa yake hajaitapanya na kachagua kundi 1 tu na amejikamilisha eneo hilo, Akiwa na 1m (milioni 1) akifunga mzigo wa 1m atapewa Nguo za jumla mchanganyiko za watoto Umri huo (atapata nguo nyingi sana)

Muuza duko no.2 akipewa 1m afunge mzigo kwanza utamchanganya akili..hatoelewa ashike za watoto au anunue za vijana au anunue za wazee yani 1m ya Huyu mtu itampasua kichwa mnooooo.

Mwisho wa siku anaishia nunua nguo azipendazo yeye machoni mwake ili azipeleke dukani ndio yale mteja anakuja anakuta tshet nzuri ila anakwambia Hiii rangi yake sijaipenda ila nzuri sana,,, Anakuta gauni zuri ila anakwambia Rangi yake imepoa sijaipenda..Unakuja gundua muuzaji alileta vitu kulingana na aonavyo yeye.

Sio kwamba hatakuja kuuza hiz nguo ila ni mpaka apate wateja/mteja atakae match nae apende ile rangi,aina,nk

Muuzaji duka no.1 yeye kwa 1m yake atachanganyiwa nguo tofaut,ukubwa rangi,nk mteja akiingia hachomoki akikosa blue,atakuta red,akikosa red atakuta black mzigo umeshona kivyovyote wateja watakaongia duka no.1 Katka wateja 10 basi 9 watanunua...lakini katka duka no.2 katika wateja 10 wanaweza wasinunue wote.

MFANO WA PILI :

Kuna Wafanyabiashara wawili

1.Anauza Duka la Vifaa vya simu (Phone accessories) anauza chaji,earfones,protector,covers,nk

2.Anauza Duka la Vifaa vya Simu (CHARGERS ONLY) huyu yeye anauza chaja tu za simu hana protector wala cover yeye ni chaja Tu

Hawa watu ukimpa no.1 ukampa milioni akafunge mzigo atapasuka kichwa maana ameamua kuuza kila kitu hiyo milioni hatojua aguse nn aache nn mwisho wa siku anaamua anachukua chaji 2,earfones 5 protector 7,nk nk mpk ajaze duka... Huyu mtu duka lake utaliona lina vitu vingiiiii ila akija mteja mmoja tu anamuuliza una Protector ya S7 EDGE jamaaa HANA kwasababu aliona s7 edge zimeptwa na wakat kwahyo hazna wateja..sasa mteja uyo kaja kakosa pesa.

Muuzaji no.2 Duka lake la 1m akienda funga mzigo wa Charger tupu huyu mtu sijui utaenda muuliza chager gani aikose,na kwakua kashajibrand yeye ni CHARGER ONLY maana yake wateja wake wataenda wakiwa wanajua wanaenda fata CHAJI tu na kweli wakienda hawachomoki maana chaji ni nyingi na za sifa tofaut tofauti.

Nataka kusema nini,Hawa wauzaji wa maduka yalio specific yanauza Bidhaa fulani (hawaja changanya) wana uwezo wa kuuuza kila siku iendayo kwa mungu tofauti na wale waweka vitu vingi.

Hawa waweka bidhaa aina 1 Hasara kwao ni ndogo kuliko hawa wa mchanganyiko sababu Wananunua mali zao kwa CATTON CATTON , hawa mchanganyiko wananunua bidhaa kwa jumla kwa bei ya piece piece.

Muuza duka no 1 Anaeuza Mchanganyiko Duka la Vifaa vya Simu ananunua Chaji 1 (type c) bei ya Jumla = 6000/piece (Anakuja uza 15,000 reja reja anatengenea faida 9,000)

Muuza duka no.2 anaeuza Chaji Tu ananunua Catton ya Chaji Type c Piece 100 = 250,000 sawa na 2500/piece (Anakuja kuuza 15,000 reja reja anatengeneza faida 12,500)

hawa wauzaji wawili yule wa kwanza anatengeneza faida ndogo na hata maisha yake akipata majanga ameumwa au hasara yoyote kugusa mtaji ni rahisi sana.

Muuzaji huyu wa Pili anatengeneza faida kubwa na hata ikitokea hasara kwa namna yyte yeye anaweza tatua hasara na asiguse mtaji sababu alitengeneza faida kubwa sana.

Hasara Kubwa wanaopata wauzaji maduka MCHANGANYIKO ni kuwa na mali zisizo toka (dead stock) maana walinunua mali nyingi kwa mapenzi yao na si soko linahtaji, mwisho wanakuja kuanza kusema SELL SELLL SELL wanatangaza OFA ki ufupi sio OFA hizo ni hasara washapata wanajaribu kuona namna ya kupunguza hasara.

Wauzaji wa bidhaa 1 tu ndio wafanyabiashara kweli kweli na ndio hao hupiga pesa na ndio watu huona matunda ya biashara.

Jiulize kwann kina Dangote hawakufungua Hardware wakauza CEMENT ONLY mifano ni mingi ila hakikisha kama unafanya biashara Chagua aina ya biashara 1 na specify ni kitu gani unataka kukifanya.

Mambo ni mengi,Nimechoka andika i wish JF tuanze andika nyuzi kwa Voice note kama Groups za Whatsaap.
Branding
 
Wabongo wanataka kuwa
Jack of all trades.

Master of None.

Ndio maana tunafeli kila sehemu.
Ndio maana ya duka lakini. Mtoa mada kazungumzia duka la nguo za watoto kwa kuangalia advantage kwenye kuingiza mzigo ila duka la nguo za watoto huwa wanaweka nguo za umri tofauti.
Na mwenye nguo za unri tofauti ana nafasi kubwa ya kuuza kuliko mwemye aina moja.
 
Lazima utengeneze utambulisho boss, Yani baada ya muda wewe uwe bingwa wa nguo za watoto umri Miezi 0-12

Uuze hisia kwa watu, Yani ifike hatua ambayo mzazi yeyote akifikiria nguo za watoto wachanga jina la kwanza kichwani linakuja la kwako.
 
Kwahiyo wakuu Kwa mtu mwenye mgahawa apike ugali tuuuuuuu au ikoje hii šŸ¤”
Waje na mboga zao.
Yupi sahihi ila hajawawa specific. Kasema muuza nguo za watoto wachanga ndio atafaidika? Maana yake una nguo tofautitofauti za watoto wachanga, una za juu, za chini, za kile, za kiume. Tri una duka la electronics halafu unauza tv pekee. Kichaa kweli huyu
 
Wazeee twende speed muda wa salamu hamna tutasalimiana kwenye comment..

Asee Biashara ni nzuri sana kama ukiwa umetuliza akili ukajua unaingia kufanya biashara gani na biashara ya nini...

Kuna mambo mawili naomba nirudie

1.Kufanya Biashara
2.Kujua naenda Kufanya biashara ya Kuuza nini

Watu wengi tupo kundi no.1 Tunajiita wafanya biashara kumbe tunapoteza muda na pesa zetu, leo nitatolea mifano ya biashara chache za maduka ambazo wamiliki wake tunajiita wafanya biashara

1.Duka La Nguo (Mchanganyiko)
2.Duka la Vifaa vya Simu (Mchanganyiko)
3.Duka la Vifaa vya Ujenzi (Mchanganyiko)

Kila duka unalolijua wewe ambalo kwenye mabano utaweka neno (mchanganyiko) My brother and sister unapoteza muda wako eneo hilo shtuka

Huwa mtu akiniuliza mfanyabiashara ni mtu wa aina gani kwa maana yangu? Mimi huwa namwambia ni mtu yeyote anaetoka nyumbani anaenda kazini(dukani) kwake kuuza bidhaa yoyote aliyonayo na akauza kila siku.

narudia kwa msisitizo neno ''KUUZA KILA SIKU'' ndio kuuza kila siku ni lazima kama unafanya biashara lakini kama kuna siku unaenda kazini unaondoka hujauza my dear ndugu,SHTUKA nakwambia leo hakuna atakae kwambia huu ukweli kirahisi.

Baada ya huo utangulizi haya tuchambue ili nieleweke maana kuna ambao nime waacha hawanielewi bado..

Kuna Wafanyabiashara wawili wanauza Duka La nguo MMOJA ana

1. DUKA LA NGUO (Mchanganyiko) Anajiita ''BABY FASHION'' na wapili ana

2.DUKA LA NGUO ZA WATOTO (NEW BORNS ONLY)

Hawa ni wafanya biashara wawili wanao uza nguo, lakini mfanyabiashara wa 1 anauza nguo zote yani nguo za watoto,wakubwa,wazee,kila aina ya nguo inapatikana dukani kwake.

mfanyabiashara wa pili anauza Nguo za watoto wachanga hao ni watoto wote chini ya miezi 12.

Siri ya Biashara ipo hapa...niwambie ukweli...Katika hawa watu wawili mfanyabiashara atakaefaidika na hii biashara ni mfanyabiashara no.2

Tu asssume wote wapo eneo HOT CAKE mtaji sawa,nk ila Mfanyabiashara no.2 atafanikiwa zaidi kwasababu kuu 1.

Pesa yake hajaitapanya na kachagua kundi 1 tu na amejikamilisha eneo hilo, Akiwa na 1m (milioni 1) akifunga mzigo wa 1m atapewa Nguo za jumla mchanganyiko za watoto Umri huo (atapata nguo nyingi sana)

Muuza duko no.2 akipewa 1m afunge mzigo kwanza utamchanganya akili..hatoelewa ashike za watoto au anunue za vijana au anunue za wazee yani 1m ya Huyu mtu itampasua kichwa mnooooo.

Mwisho wa siku anaishia nunua nguo azipendazo yeye machoni mwake ili azipeleke dukani ndio yale mteja anakuja anakuta tshet nzuri ila anakwambia Hiii rangi yake sijaipenda ila nzuri sana,,, Anakuta gauni zuri ila anakwambia Rangi yake imepoa sijaipenda..Unakuja gundua muuzaji alileta vitu kulingana na aonavyo yeye.

Sio kwamba hatakuja kuuza hiz nguo ila ni mpaka apate wateja/mteja atakae match nae apende ile rangi,aina,nk

Muuzaji duka no.1 yeye kwa 1m yake atachanganyiwa nguo tofaut,ukubwa rangi,nk mteja akiingia hachomoki akikosa blue,atakuta red,akikosa red atakuta black mzigo umeshona kivyovyote wateja watakaongia duka no.1 Katka wateja 10 basi 9 watanunua...lakini katka duka no.2 katika wateja 10 wanaweza wasinunue wote.

MFANO WA PILI :

Kuna Wafanyabiashara wawili

1.Anauza Duka la Vifaa vya simu (Phone accessories) anauza chaji,earfones,protector,covers,nk

2.Anauza Duka la Vifaa vya Simu (CHARGERS ONLY) huyu yeye anauza chaja tu za simu hana protector wala cover yeye ni chaja Tu

Hawa watu ukimpa no.1 ukampa milioni akafunge mzigo atapasuka kichwa maana ameamua kuuza kila kitu hiyo milioni hatojua aguse nn aache nn mwisho wa siku anaamua anachukua chaji 2,earfones 5 protector 7,nk nk mpk ajaze duka... Huyu mtu duka lake utaliona lina vitu vingiiiii ila akija mteja mmoja tu anamuuliza una Protector ya S7 EDGE jamaaa HANA kwasababu aliona s7 edge zimeptwa na wakat kwahyo hazna wateja..sasa mteja uyo kaja kakosa pesa.

Muuzaji no.2 Duka lake la 1m akienda funga mzigo wa Charger tupu huyu mtu sijui utaenda muuliza chager gani aikose,na kwakua kashajibrand yeye ni CHARGER ONLY maana yake wateja wake wataenda wakiwa wanajua wanaenda fata CHAJI tu na kweli wakienda hawachomoki maana chaji ni nyingi na za sifa tofaut tofauti.

Nataka kusema nini,Hawa wauzaji wa maduka yalio specific yanauza Bidhaa fulani (hawaja changanya) wana uwezo wa kuuuza kila siku iendayo kwa mungu tofauti na wale waweka vitu vingi.

Hawa waweka bidhaa aina 1 Hasara kwao ni ndogo kuliko hawa wa mchanganyiko sababu Wananunua mali zao kwa CATTON CATTON , hawa mchanganyiko wananunua bidhaa kwa jumla kwa bei ya piece piece.

Muuza duka no 1 Anaeuza Mchanganyiko Duka la Vifaa vya Simu ananunua Chaji 1 (type c) bei ya Jumla = 6000/piece (Anakuja uza 15,000 reja reja anatengenea faida 9,000)

Muuza duka no.2 anaeuza Chaji Tu ananunua Catton ya Chaji Type c Piece 100 = 250,000 sawa na 2500/piece (Anakuja kuuza 15,000 reja reja anatengeneza faida 12,500)

hawa wauzaji wawili yule wa kwanza anatengeneza faida ndogo na hata maisha yake akipata majanga ameumwa au hasara yoyote kugusa mtaji ni rahisi sana.

Muuzaji huyu wa Pili anatengeneza faida kubwa na hata ikitokea hasara kwa namna yyte yeye anaweza tatua hasara na asiguse mtaji sababu alitengeneza faida kubwa sana.

Hasara Kubwa wanaopata wauzaji maduka MCHANGANYIKO ni kuwa na mali zisizo toka (dead stock) maana walinunua mali nyingi kwa mapenzi yao na si soko linahtaji, mwisho wanakuja kuanza kusema SELL SELLL SELL wanatangaza OFA ki ufupi sio OFA hizo ni hasara washapata wanajaribu kuona namna ya kupunguza hasara.

Wauzaji wa bidhaa 1 tu ndio wafanyabiashara kweli kweli na ndio hao hupiga pesa na ndio watu huona matunda ya biashara.

Jiulize kwann kina Dangote hawakufungua Hardware wakauza CEMENT ONLY mifano ni mingi ila hakikisha kama unafanya biashara Chagua aina ya biashara 1 na specify ni kitu gani unataka kukifanya.

Mambo ni mengi,Nimechoka andika i wish JF tuanze andika nyuzi kwa Voice note kama Groups za Whatsaap.
Mmmmh
 
Ni elimu mzuri ila inategemea
1. Aina ya biashara
2. Eneo biashara itafanyika
3. Mtaji utakaowekezwa kwenye hiyo biashara

Ila nimeshaona wengi sana wametajirika kwa kuuza biashara mchanganyiko kitu kikubwa zaidi hapa ni mtaji ndiyo utakuongoza nn ufanye
 
Chai
 
Back
Top Bottom