Acha kuuza mchanganyiko unapoteza muda, akili na Pesa zako, shtuka

Acha kuuza mchanganyiko unapoteza muda, akili na Pesa zako, shtuka

Ni sawa ufungue grocery halafu uuze bia za safari lager pekee .

Halafu mwenzako auze bia aina zote kuanzia kilimanjaro, castle,Heineken, soda , maji, k vant , konyagi.

Unategemea hapo nani atatoboa?
😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom