Acha kuuza mchanganyiko unapoteza muda, akili na Pesa zako, shtuka

Akili za kuambiwa ......humu ndani unaweza kupewa ushauri na mtu ambaye hajawahi kufanya biashara yeyote ile bali yupo kwa wazazi wake tu...ukienda jukwaa la kilimo utasikia unaambiwa kilimo cha kutegemea mvua ni kamari mbaya sana mara mwingine anakuambia hamshauri mtu kulima kwasababu yeye kapigwa za uso sana....sasa unashangaa mbona watu tupo huku kijijini tunalima na kuvuna vizuri tu kwakutegemea hizihizi mvua?
 
Branding
 
Wabongo wanataka kuwa
Jack of all trades.

Master of None.

Ndio maana tunafeli kila sehemu.
Ndio maana ya duka lakini. Mtoa mada kazungumzia duka la nguo za watoto kwa kuangalia advantage kwenye kuingiza mzigo ila duka la nguo za watoto huwa wanaweka nguo za umri tofauti.
Na mwenye nguo za unri tofauti ana nafasi kubwa ya kuuza kuliko mwemye aina moja.
 
Lazima utengeneze utambulisho boss, Yani baada ya muda wewe uwe bingwa wa nguo za watoto umri Miezi 0-12

Uuze hisia kwa watu, Yani ifike hatua ambayo mzazi yeyote akifikiria nguo za watoto wachanga jina la kwanza kichwani linakuja la kwako.
 
Kwahiyo wakuu Kwa mtu mwenye mgahawa apike ugali tuuuuuuu au ikoje hii πŸ€”
Waje na mboga zao.
Yupi sahihi ila hajawawa specific. Kasema muuza nguo za watoto wachanga ndio atafaidika? Maana yake una nguo tofautitofauti za watoto wachanga, una za juu, za chini, za kile, za kiume. Tri una duka la electronics halafu unauza tv pekee. Kichaa kweli huyu
 
Mmmmh
 
Ni elimu mzuri ila inategemea
1. Aina ya biashara
2. Eneo biashara itafanyika
3. Mtaji utakaowekezwa kwenye hiyo biashara

Ila nimeshaona wengi sana wametajirika kwa kuuza biashara mchanganyiko kitu kikubwa zaidi hapa ni mtaji ndiyo utakuongoza nn ufanye
 
Chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…