Financial Freedom
JF-Expert Member
- Nov 14, 2016
- 1,246
- 2,299
Pole huduma zakonbinafsi ni zipi labda?na je una uhakika kwamba jamaa aliamua mwenyewe kukuoa au ulimshinikiza ki-chawi? funguka vizuri upate msaadaIlikua mwaka 2017 nilipata kazi sehem flan kufika nikakutana na kaka mmoja mpole Sana asie na makuu alikua akisifika ofic nzima kwa hekima zake. Nilitokea kumpenda Sana Sana nikajisogeza karibu kiurafiki tukawa friends tunapiga story nikaja gundua yupo single mtoto nikajitongozesha tukawa wapenzi.
Baada ya miezi 6 akanipeleka kwao akaja kwetu akanitolea mahari tukapanga ndoa mzazi wake akadai ajipange Kwanza ndio atufanyie sherehe. 2018 wakati mipango inaendelea akahamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine nami Dec 2018 nikamfata tukaanza kuishi pamoja.
Nikapata changamoto ya kuchelewa kubeba mimba lakini namshukuru Mungu ninamtoto wa miezi. Kilichonifanya nije humu jamaa mapenzi kidogo aliyokua nayo kwangu yameisha kabisa. Yaani hana hata kidogo.
Tunaweza maliza hata mwezi hatujasex na nikimuuliza sababu kibao, tukipishina kauli nikijinunisha hana muda na Mimi kabisa
Anaweza safiri hata wiki zaidi ya kutuma sms wazima? Labda nimpigie Mimi. Nikimwambia niondoke hataki anadai kaa kwenye mji wako.
Yes hajanifukuza, hanipigi, hanitukani, sio mkorofi, familia anahudumia japo huduma zangu binafsi nikimbembe. Bt mapenzi hamna nikimuuliza anadai wasiwasi wangu tu. Nikiomba ruhusa kwenda kusalimia nyumban hajali hata nikae mwaka mzima.
Nahisi kudata nifanyeje?
Kabisa mkuu kuna mambo kidume unaamua kumficha wife ili asije haribu hali ya hewa zaidi,somwanaume anakomaa kibingwa na hali hizo mpaka mambo yanakaa sawa.Maana mpaka anakuoa ni kwamba anataka uwe nae maishani hataki kukupoteza,wanaume tunapitia mengi katika maisha vingi hatuwaambii wake zetu deep down tunameza uchungu mpaka tunapoteza hamu na mpenzi+marafiki even family Ila moyoni tunapenda familia zetu ndo maana tunateseka kwa ajili yao.
I represent all men who are bread winner's for their families
😂😂😂😂😆😆😆😆😁😁😁😁 Nimecheka ..Ilikua mwaka 2017 nilipata kazi sehem flan kufika nikakutana na kaka mmoja mpole Sana asie na makuu alikua akisifika ofic nzima kwa hekima zake. Nilitokea kumpenda Sana Sana nikajisogeza karibu kiurafiki tukawa friends tunapiga story nikaja gundua yupo single mtoto nikajitongozesha tukawa wapenzi.
Baada ya miezi 6 akanipeleka kwao akaja kwetu akanitolea mahari tukapanga ndoa mzazi wake akadai ajipange Kwanza ndio atufanyie sherehe. 2018 wakati mipango inaendelea akahamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine nami Dec 2018 nikamfata tukaanza kuishi pamoja.
Nikapata changamoto ya kuchelewa kubeba mimba lakini namshukuru Mungu ninamtoto wa miezi. Kilichonifanya nije humu jamaa mapenzi kidogo aliyokua nayo kwangu yameisha kabisa. Yaani hana hata kidogo.
Tunaweza maliza hata mwezi hatujasex na nikimuuliza sababu kibao, tukipishina kauli nikijinunisha hana muda na Mimi kabisa
Anaweza safiri hata wiki zaidi ya kutuma sms wazima? Labda nimpigie Mimi. Nikimwambia niondoke hataki anadai kaa kwenye mji wako.
Yes hajanifukuza, hanipigi, hanitukani, sio mkorofi, familia anahudumia japo huduma zangu binafsi nikimbembe. Bt mapenzi hamna nikimuuliza anadai wasiwasi wangu tu. Nikiomba ruhusa kwenda kusalimia nyumban hajali hata nikae mwaka mzima.
Nahisi kudata nifanyeje?
Huu Ni ushauri muhimu Sana, wanawake Ni wajinga sometimes unajiweka Kama mabinti wadogoPole sana, em jaribu kuuliza nn ttzo ila sio kwa hasira muendee kwa unyenyekevu au saa zngne umejiachia sana jaribu kujikeep smart kdg na sexy ili avutike kdg na saa zngne maybe kapata mchepuko huko
Hakuna Mwanaume asiye na michepuko,hapo Kuna kitu kinamuudhi Mwanaume na anashindwa kukuambia huyo mke wake pengine Ni Cha kukirihisha Sana..Huyo kapata mchepuko hakuna cha zaidi
Hiyo nayo Ni sababu maana wanaume tunatofautiana kuchukulia Mambo..Tatizo lilianzia hapo kwenye kupishana kauli na kujinunisha...
Hii Ni typical tabia yangu na ukichanganya na ukali Sasa daa nakuwa nawaonea huruma naoishi nao maana wanakuwa Kuna kitu wanakikosa but unfortunately siwezi behave wanavyotaka 😂😂.Sijui kama atazingatia ila hii iachangia sana,sigma male hawako romantic kama wadada wengi wanavyotaka wanaume wawe.
Sigma male ni watu wakimya,hata ukijinunisha wao wanajua namna ya kuishi na wewe ukiwa umenuna yeye anakupotezea wmsihowe wewe ndio unaumia kwa kuona hakubembelezi.
Sigma males hawanuniwi wala kuhojiwa hojiwa kwamba kwa nini wako hivyo,usimuulizeulize kwwmba mbona uko mkimy,mbona hunijali mbona huchangamki n.k ukiuliza hivyo unaharibu kabisa unakuwa unakera zaidi aisee.
Kama anasoma nampa hii njia ya kuishi na huyo sigma male..
1.asijethubutu kumnunia akidhani hilo litamfanya mume ajiulize kakosea wapi,kumbuka sigma male hajali kununiwa na ukimnunia umeharibu kabisa.
Hakikisha mke haumnunii sigma male k2a sababu sigma male sio mtu wa kubembeleza ama kulialia.
2. Hakikisha mumeo unamchangamkia akirudi,hakikisha unapiga nae stori hata kwa kuzianzisha wewe,
NB : yani ongea nae kwa ile mood ambayo unakuwa nayo siku ukiwa umefurahi sana ndio tumia mood hiyo kuongea nae,tabasamu usipingepinge kila anachokisema kwa sababu huwezi kuwa na hoja za msingi kbele ya sigma male,so hakikisha anachokisema haupingi kijinga weka hoja then muwe mnaomgea kihoja.
3.hakikisha unampa moyo katika changamoto anazopitia na sio kumkosoa hata kama changamoto aliyonayo eye ndio kaisababisha usianze kumkosoakosoa.
4. Ni jambo gumu sana kwa sigma male kurekebisha kila kosa,kuna makosa sigma akiona yeye hupiga kimya na hupunguza ile furaha yake kwako yaani kama anakupotezea hivi kwa sababu kuna jambo unazingua alafu hutaki kujirekebisha eidha kwa ubishi au kutokujua kama unakosea.
.so kuepuka hilo hakikisha unajievaluate yourself kitu gani unahisi hakipendi na kipi anapenda.
Kwa kukusaidia tu nataja baadhi ya mambo ambayo sigma wengi hupenda.
.kuchangamkiwa.
.usiwe gogo kitandani yani tawala kutanda,mtawale mumeo uwe mtundu.
Usipingepinge hoja zake kwa sababu anahoja za smingi sana huwezi kumzidi hoja sigma kamwe.
Chukua hiyo alichoandika ndio ukweli huo..Ndugu umefanya nijitafakari mara mbili...umepita mulemule
Ila shida kubwa tunawapa shida hao wengine na sababu kubwa Ni wao kutofahamu kwamba Kuna wanaume wa hivyo..Kwa maelezo yako..sisi Sigma Male tuko hivyo..mzoe tu..tunataka sana kuwa huru..hapo unavyokuwa nae ni kama unambana sana..tunapenda kuwa wenyewe..ingia YouTube utanielewa na utamuelewa mumeo.
Nashukuru sana.Sijui kama atazingatia ila hii iachangia sana,sigma male hawako romantic kama wadada wengi wanavyotaka wanaume wawe.
Sigma male ni watu wakimya,hata ukijinunisha wao wanajua namna ya kuishi na wewe ukiwa umenuna yeye anakupotezea wmsihowe wewe ndio unaumia kwa kuona hakubembelezi.
Sigma males hawanuniwi wala kuhojiwa hojiwa kwamba kwa nini wako hivyo,usimuulizeulize kwwmba mbona uko mkimy,mbona hunijali mbona huchangamki n.k ukiuliza hivyo unaharibu kabisa unakuwa unakera zaidi aisee.
Kama anasoma nampa hii njia ya kuishi na huyo sigma male..
1.asijethubutu kumnunia akidhani hilo litamfanya mume ajiulize kakosea wapi,kumbuka sigma male hajali kununiwa na ukimnunia umeharibu kabisa.
Hakikisha mke haumnunii sigma male k2a sababu sigma male sio mtu wa kubembeleza ama kulialia.
2. Hakikisha mumeo unamchangamkia akirudi,hakikisha unapiga nae stori hata kwa kuzianzisha wewe,
NB : yani ongea nae kwa ile mood ambayo unakuwa nayo siku ukiwa umefurahi sana ndio tumia mood hiyo kuongea nae,tabasamu usipingepinge kila anachokisema kwa sababu huwezi kuwa na hoja za msingi kbele ya sigma male,so hakikisha anachokisema haupingi kijinga weka hoja then muwe mnaomgea kihoja.
3.hakikisha unampa moyo katika changamoto anazopitia na sio kumkosoa hata kama changamoto aliyonayo eye ndio kaisababisha usianze kumkosoakosoa.
4. Ni jambo gumu sana kwa sigma male kurekebisha kila kosa,kuna makosa sigma akiona yeye hupiga kimya na hupunguza ile furaha yake kwako yaani kama anakupotezea hivi kwa sababu kuna jambo unazingua alafu hutaki kujirekebisha eidha kwa ubishi au kutokujua kama unakosea.
.so kuepuka hilo hakikisha unajievaluate yourself kitu gani unahisi hakipendi na kipi anapenda.
Kwa kukusaidia tu nataja baadhi ya mambo ambayo sigma wengi hupenda.
.kuchangamkiwa.
.usiwe gogo kitandani yani tawala kutanda,mtawale mumeo uwe mtundu.
Usipingepinge hoja zake kwa sababu anahoja za smingi sana huwezi kumzidi hoja sigma kamwe.
Ni kweli..kazini staff wenzio wanashindwa kukuelewa kwa sababu hatuweki mambo yetu wazi..hii ni silaha kubwa sana..hivyo wanaishia kukudhania wewe ni wale watu Taasisi ileee..Ila shida kubwa tunawapa shida hao wengine na sababu kubwa Ni wao kutofahamu kwamba Kuna wanaume wa hivyo..
Unaweza kuta mtu anajiongelesha unamuangalia tuu uko busy na Mambo yako 😁😁..
Hasara za hii tabia inanitesa kazini staff wenzio wanaishia kukushuku kwa Mambo mengi ambayo hata hufanyi ila Sasa no way out nimezoea so huwa sijali whatever saya say..
Ila sie Ni watu wenye Moto wa huruma na Watu wema but tuna misimamo mikali kidogo kwenye masuala ya Upuuzi hatutaki hata kidogo..
jichunguze wewe kwanzaIlikua mwaka 2017 nilipata kazi sehem flan kufika nikakutana na kaka mmoja mpole Sana asie na makuu alikua akisifika ofic nzima kwa hekima zake. Nilitokea kumpenda Sana Sana nikajisogeza karibu kiurafiki tukawa friends tunapiga story nikaja gundua yupo single mtoto nikajitongozesha tukawa wapenzi.
Baada ya miezi 6 akanipeleka kwao akaja kwetu akanitolea mahari tukapanga ndoa mzazi wake akadai ajipange Kwanza ndio atufanyie sherehe. 2018 wakati mipango inaendelea akahamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine nami Dec 2018 nikamfata tukaanza kuishi pamoja.
Nikapata changamoto ya kuchelewa kubeba mimba lakini namshukuru Mungu ninamtoto wa miezi. Kilichonifanya nije humu jamaa mapenzi kidogo aliyokua nayo kwangu yameisha kabisa. Yaani hana hata kidogo.
Tunaweza maliza hata mwezi hatujasex na nikimuuliza sababu kibao, tukipishina kauli nikijinunisha hana muda na Mimi kabisa
Anaweza safiri hata wiki zaidi ya kutuma sms wazima? Labda nimpigie Mimi. Nikimwambia niondoke hataki anadai kaa kwenye mji wako.
Yes hajanifukuza, hanipigi, hanitukani, sio mkorofi, familia anahudumia japo huduma zangu binafsi nikimbembe. Bt mapenzi hamna nikimuuliza anadai wasiwasi wangu tu. Nikiomba ruhusa kwenda kusalimia nyumban hajali hata nikae mwaka mzima.
Nahisi kudata nifanyeje?
Njoo nikupe dudu,vile wife yupo mbaliIlikua mwaka 2017 nilipata kazi sehem flan kufika nikakutana na kaka mmoja mpole Sana asie na makuu alikua akisifika ofic nzima kwa hekima zake. Nilitokea kumpenda Sana Sana nikajisogeza karibu kiurafiki tukawa friends tunapiga story nikaja gundua yupo single mtoto nikajitongozesha tukawa wapenzi.
Baada ya miezi 6 akanipeleka kwao akaja kwetu akanitolea mahari tukapanga ndoa mzazi wake akadai ajipange Kwanza ndio atufanyie sherehe. 2018 wakati mipango inaendelea akahamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine nami Dec 2018 nikamfata tukaanza kuishi pamoja.
Nikapata changamoto ya kuchelewa kubeba mimba lakini namshukuru Mungu ninamtoto wa miezi. Kilichonifanya nije humu jamaa mapenzi kidogo aliyokua nayo kwangu yameisha kabisa. Yaani hana hata kidogo.
Tunaweza maliza hata mwezi hatujasex na nikimuuliza sababu kibao, tukipishina kauli nikijinunisha hana muda na Mimi kabisa
Anaweza safiri hata wiki zaidi ya kutuma sms wazima? Labda nimpigie Mimi. Nikimwambia niondoke hataki anadai kaa kwenye mji wako.
Yes hajanifukuza, hanipigi, hanitukani, sio mkorofi, familia anahudumia japo huduma zangu binafsi nikimbembe. Bt mapenzi hamna nikimuuliza anadai wasiwasi wangu tu. Nikiomba ruhusa kwenda kusalimia nyumban hajali hata nikae mwaka mzima.
Nahisi kudata nifanyeje?
You have got point Mkuu. Hao sio ea ndoa. Siku mbili tu penzi linakuwa mufilisi. Mwanaume huwa anapenda at first sight. Hawezi kujifunza kupenda baadae.Atapatikana tu wa kunitaka tuyajenge.. Hawa wa kujitongozesha huwa ni wa kuhave nao fun kwa muda mfupi
Kwani Naka msabato? Nina kazi na wasabato.We msabato wa wapi na ushirikina Naka, si chedi bwana[emoji39][emoji39]