Acha niseme ukweli ili nipate kuwa huru

Acha niseme ukweli ili nipate kuwa huru

Labda kabla hujazaa ulikuwa na tako na sasa limeisha. Sijui kuna mazingaombwe gani aisee. Binti kabla hajazaa mtako huoo anaburuta. Sasa subiri akijifugua abakie na unene wake wa mimba na kitambi aisee tako linapotea kabisa. Tena ukimkuta hata kujipodoa keshaacha mzuka wote kwisha yaani lakini ndo hivyo ushabeba...Mwili wa mwanamke hubadilika sana vijana chagueni vizuri hasa kama kigezo kimojawapo ni uzuri wa mwili....tako, nyonyo..n.k
Akili za usiku hizi, na hawa ndo waume zetu,,
 
Stuka!!!! Beba mwanao ufungashe virago vyako wala usimuage. Za kuambiwa changanya na zako.

Ilikua mwaka 2017 nilipata kazi sehem flan kufika nikakutana na kaka mmoja mpole Sana asie na makuu alikua akisifika ofic nzima kwa hekima zake
Nilitokea kumpenda Sana Sana nikajisogeza karibu kiurafiki tukawa friends tunapiga story nikaja gundua yupo single mtoto nikajitongozesha
 
Ilikua mwaka 2017 nilipata kazi sehem flan kufika nikakutana na kaka mmoja mpole Sana asie na makuu alikua akisifika ofic nzima kwa hekima zake
Nilitokea kumpenda Sana Sana nikajisogeza karibu kiurafiki tukawa friends tunapiga story nikaja gundua yupo single mtoto nikajitongozesha tukawa wapenz
Baada ya miez 6 akanipeleka kwao akaja kwetu akanitolea mahar
tukapanga ndoa mzazi wake akadai ajipange Kwanza ndio atufanyie sherehe
2018 wakati mipango inaendelea akahamishwa kikaz kwenda mkoa mwingine nami dec 2018 nikamfata tukaanza kuishi pamoja
Nikapata changamoto ya kuchelewa kubeba mimba lkn namshukuru Mungu ninamtoto wa miez
Kilichonifanya nije humu jamaa mapenz kidogo aliyokua nayo kwangu yameisha kabisa
Yaan hana hata kidogo,
Tunaweza maliza hata mwez hatujasex na nikimuuliza sababu kibao, tukipishina kaul nikijinunisha hana muda na Mimi kabisa
Anaweza safir hata wk zaid ya kutuma sms wazima? Labda nimpigie Mimi
Nikimwambia niondoke hataki anadai kaa kwenye mji wako
Yes hajanifukuza, hanipigi, hanitukan, sio mkorofi, familia anahudumia japo huduma zangu binafsi nikimbembe
Bt mapenz hamna nikimuuliza anadai wasiwasi wangu tu
Nikiomba ruhusa kwenda kusalimia nyumban hajali hata nikae mwaka mzima
Nahisi kudata nifanyeje???
Huwa hayaishi bila sababu,kutakuwa kuna kitu tu.Inaweza kuwa una majibu ya kero,mvivu,mchafu,muongo,mbishi,mbinafsi,mshirikina,ameshakudaka na vimeseji au picha na ma ex wako n.k,saa nyingine hata mwili,inawezekana ulikuwa na mwili mdogo sasa hivi umejiachia umevimbiana lazima akuchoke,jichunguze utagundua tu una kasoro inamkera lkn anashindwa kukuweka wazi...
 
Labda kabla hujazaa ulikuwa na tako na sasa limeisha. Sijui kuna mazingaombwe gani aisee. Binti kabla hajazaa mtako huoo anaburuta. Sasa subiri akijifugua abakie na unene wake wa mimba na kitambi aisee tako linapotea kabisa. Tena ukimkuta hata kujipodoa keshaacha mzuka wote kwisha yaani lakini ndo hivyo ushabeba...Mwili wa mwanamke hubadilika sana vijana chagueni vizuri hasa kama kigezo kimojawapo ni uzuri wa mwili....tako, nyonyo..n.k
Ukweli huu hapa
 
Ilikua mwaka 2017 nilipata kazi sehem flan kufika nikakutana na kaka mmoja mpole Sana asie na makuu alikua akisifika ofic nzima kwa hekima zake
Nilitokea kumpenda Sana Sana nikajisogeza karibu kiurafiki tukawa friends tunapiga story nikaja gundua yupo single mtoto nikajitongozesha tukawa wapenz
Tatizo lilianzia hapo kwenye kupishana kauli na kujinunisha...
 
Ilikua mwaka 2017 nilipata kazi sehem flan kufika nikakutana na kaka mmoja mpole Sana asie na makuu alikua akisifika ofic nzima kwa hekima zake
Nilitokea kumpenda Sana Sana nikajisogeza karibu kiurafiki tukawa friends tunapiga story nikaja gundua yupo single mtoto nikajitongozesha
Dah kwa hiyo jamaa hana time na mbususu yako? Pole sana hapo chakufanya ni kukubali tuu jamaa hakupendi wee bega virago vyako katafute mwanaume mwengine tuu.
 
Huwa hayaishi bila sababu,kutakuwa kuna kitu tu.Inaweza kuwa una majibu ya kero,mvivu,mchafu,muongo,mbishi,mbinafsi,mshirikina,ameshakudaka na vimeseji au picha na ma ex wako n.k,saa nyingine hata mwili ,jichunguze utagundua tu una kasoro inamkera lkn anashindwa kukuweka wazi...

Umemaliza kila kitu mkuu, uzi ufungwe tuu.

Unforgettable
 
Tunaweza maliza hata mwez hatujasex na nikimuuliza sababu kibao,
Bt mapenz hamna nikimuuliza anadai wasiwasi wangu tu
Nahisi kudata nifanyeje???
1633665292516.png

Tatizo lake ana Low Libido, na hili tatizo huongezeka kadri umri unavyozidi kuongezeka.

Hii hali Low Libido ni tatizo la kiafya kama matatizo mengine ya kiafya, na hutokana na matatizo ya ki_hormone zaidi, licha ya kuwepo kwa sababu zingine kadha wa kadha.

Ni jukumu lako kutafuta ufumbuzi.

Kuna njia za muda mfupi na njia za muda mrefu ili kumuweka sawa na akawa anakuhitaji mara kwa mara.

Kazi kwako, fanyia kazi hili swala.
images

Na ukisha fanikiwa kutatua tatizo, mtafurahia maisha hadi uzeeni
images
 
Back
Top Bottom