Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Hakuna cha uportable wala ubonge. Mwanaume akikupenda atakupenda tu kwa hali yoyote labda uwe mchafu au ubadilike tabia ndo atakudis.Value inashuka hasa kwa jamii zetu za kiafrika pia inawezekana na mabadiliko baada ya kujifungua nayo yakachangia jamaa kuloose interest ie jamaa alikuta demu kipotabo sasa demu kawa ka simtankš. Atulize akili kabla ya kumface mskaji ajifanyie self assessment toka wanakutana je yeye alikuaje na Sasa yukoje kuanzia tabia,maumbile, mtazamo,saikolojia etc Kisha amcheki na mskaji kila angle ya maisha inawezekana anajistukia tu kumbe jamaa ndivyo alivyo sema hakupata nafasi kumchunguza alipofushwa na mapenzi
Na kama ni ubonge atakusaidia kupambana na hiyo hali kwa upendo urudi normal. Tangu mwanzo mwanaume hakuwa na upendo...sijaona sehemu amesema wamefunga ndoa ( nirekebishe kama nimekosea) bali wamevutana tu kuishi wote