snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
Hii habari ya kaa kwenye mji wako hii, it does work kama tu issue ni materials.
Kama kitu unachokihitaji ni zaidi ya tofali, bati na ardhi my dear nakuelewa!!
Skia,
Jiulize una miaka mingapi, halafu
Jiulize ikitokea umebarikiwa miaka 60 ya uhai.
Toa na miaka uliyonayo.
Miaka inayobaki ndo Kiwango cha miaka utakayoishi na hiyo agony and feelings of being abandoned.
Iwapo upo tayari kuanza kuihesabu miaka hiyo ,fresh baki na mji wako.
Iwapo haupo tayari na unahitaji zaidi ya mji, mama Tizama mengine.
Una kazi I bet
Una mtoto tayari.
Umeshajua uhalisia.
Anzia hapo.
Inaumiza yes, sana tu!
Wala sikwambii ni rahisi.
Utapoteza vitu na watu kibao along the process.
Ila mwisho wa siku hutakuwa pale alipoamini utabakia.
Hii ni kwa ajili yako binafsi.
Kuhusu mtoto, my dear tayari huyo ni absent father.
Haitakuwa na tofauti ukimlea mwanao hapo au mbali na hapo.